Is sex addiction real?

Kikungu i have been thinking sasa huyu babu yenu
kama amewarithisha hiyo addiction
hasaa Kaunga lol....

You must be nuts, mimi ni all weather; naweza kuwa anything kutokana na utamu. Kama ni ++ au + au -! LOL
 
Last edited by a moderator:
Kikungu i have been thinking sasa huyu babu yenu
kama amewarithisha hiyo addiction
hasaa Kaunga lol....

Mmmh The Boss,kweli kwa mwanamke kuwa sex addicted sijui inakuwaje hasa kwa mfumo dume wetu huu.Kwa wazungu wenzetu waliojitambua ni rahisi kuomba sex muda wowote hata hivyo nafikiri dadaangu Kaunga nikati ya wadada wanajitambua kwa hiyo kama ni addict sio issue sana kwake hata hivyo haya mambo sijui kama yarithiwa.
 
Du ati mtu kukaa mwaka mzm? siamini km inawezkana km upo na mahabuba wako pembeni msifanyane........ k tamu sana acheni masihara.
 
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)

Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)

Lara 1 inategemea kuna wengine ni alcoholism na wanapenda mdododooo vile vile.Jirani yangu ni alcoholism na kila siku utasikia mikelele nyumbani kwake anagombana na mke wake kisa mpododoo jamaa kawa adicted na kudinyanaa.unaambiwa anaweza kufanya zaidi ya mara5 kwa siku kama kalewa.

Nazani pia inategemea na mwenza wako.kama mnapendana kwa dhati mwaweza kufanya mara kwa mara
japo ina madhara kwa upande mwingine kama utafanya na watu tofauti tofauti.hasa kwa upande wa akina mama misuli ya Uvinza inalegea.
 
wewe ni mdada au mkaka?
 
Kuna watu wanapenda ngono kuliko hata oxygen
Kuna mwanamme mmoja sasa ni mzee, lakini tangu nimfahamu, kwa mwaka alikuwa anabadili wanawake si chini ya 400, sasa ukipigia na umri wake wa kungonoka labda miaka 30, utaisoma namba.

Hata kama madaktari hawajachunguza, nina uhakika kuna kitu katika hawa watu
Haiwezekani mtu ashindwe kujizuia kabisa
Siku zingine hadi analala na wanawake wawili chumba kimoja, hii si kawaida aisee​

  • nimeipenda hiyo kauli,,
 
Kila kitu kikiwa too much, kina kera, sasa ukiwa na mpenzi anaependa sex sana sana kila mara nayo inaboa, sijui maumbile yetu wanawake au vipi, nachojua tukisha pata orgasm tunachoka sana na kutamani kukaa mbali na dushelele kwa muda, sasa utakuta umemaliza tu mtu anadandia tena, hapo lazima usome gazeti, sijui wenzangu vipi,ila wengi naoongea nao huwa the same
 
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)

Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)
Kwaresima lakina Lara1
 
Back
Top Bottom