Is sex addiction real?

kama natendewa haki kiukweli wacheni tu iwe ni addiction!why not!
ah bana weee maisha yenyewe ndo haya haya !niazne tu kujinyima nyima kisa ntaonekana niko addicted!
wengie kazi hazifanyiki vizuri jamani makazini huku kama mpyari haukuwa wakueleweka usiku oh!
sijui wengine lakini kusema ukweli ule wa moyo kabisa mimi ile habari na hubby chubby naipenda i see!
NISAHAULIWE

Mwalimu snowhite,kama model ya Kaunga ilivyosema wewe utakuwa Hyper kama sikosei,je kaka angu nae atakuwa hivyo?na kama hayuko hivyo au vyovyote vile hebu tupe uzoefu wako,hako ni kaugonjwa,tabia nk ?lazima utakua unaenjoy haswa, je kuna ubaya kama wote mna-enjoy au mmoja hai-enjoy.Mwalimu gfsonwin naona leo kagoma kutupa kaperience (experience ya koplo wa JKT enzi zetu,te te te)yake.
 
mzabzab,sasa huu utamu tunaoupata ukizidi kuutafuta au wingi wake,is it unhealthy or wrong kwa mtazamo wowote ule?Hebu tupe uzoefu wako

well mie naona hamna shida mtu kupata utamu au kutafuta utamu. la msingi ni kujilinda wewe na huyo unayeshiriki nae hilo tendo. healthy? well sex is not a killer as far as i know....infact ni stress releaver lol.
kwa uzoefu wangu sex is fun and we shuld all enjoy it jamani na nilazima tuwashukuru wanawake ambao nao wanapenda sex na sio kuwaita majina kama malaya changu, hii inatupozea wanawake kuwa huru kutupa utamu bila makashkash kibao
 
well mie naona hamna shida mtu kupata utamu au kutafuta utamu. la msingi ni kujilinda wewe na huyo unayeshiriki nae hilo tendo. healthy? well sex is not a killer as far as i know....infact ni stress releaver lol.
kwa uzoefu wangu sex is fun and we shuld all enjoy it jamani na nilazima tuwashukuru wanawake ambao nao wanapenda sex na sio kuwaita majina kama malaya changu, hii inatupozea wanawake kuwa huru kutupa utamu bila makashkash kibao

mzabzab,you are right kusema kweli kwamba sex ipo ili tu-enjoy lakini sasa ikitokea wewe unapenda kufanya kupita kiasi na your other half hapendi kama hivyo wewe, si kutakuwa na matatizo?

Kuna watu ningetaka kusikia maoni yao hapa lakini sijui wako wapi,eti Bazazi,MziziMkavu,Sikonge na Itegamatwi, mpo?
 
mzabzab,you are right kusema kweli kwamba sex ipo ili tu-enjoy lakini sasa ikitokea wewe unapenda kufanya kupita kiasi na your other half hapendi kama hivyo wewe, si kutakuwa na matatizo?

Kuna watu ningetaka kusikia maoni yao hapa lakini sijui wako wapi,eti Bazazi,MziziMkavu,Sikonge na Itegamatwi, mpo?

well hiyo inatokea na ni muhimu kuhakikisha unakuwa open na huyo mtu mapema kuwa wewe unapenda sana sex hivyo mtu anajua kama ataweza kumudu mapigo yako
 
Does sex addiction exist? Mie sio medical doctor wala sio Psychologist lakini uzoefu wangu katika maisha nimekutana na watu ambao wako addicted na sex.Ila kwa ukweli sijui kama kuna solid diagnostic criterion that exists with regard to sex addiction na wala sijui kama ni Mental Health Disorders or just behaviour.Ila tunajua kwamba kuna watu wanatabia zao tofauti,zaweza kuwa tabia nzuri au mbaya, Sex addiction yawezakuwa moja ya tabia hizo lakini kusema sex addiction ni tabia nzuri au mbaya ni kitu ambacho naomba tukiongelee hapa kama greater thinkers.
Nilibahatika kuwa close na bibi mzaa baba(RIP) na tulikuwa tuna ongea mambo mengi na kwa ufupi naweza sema bibi yangu alinipeleka "Jando" kwa busara zake kuhusu maisha kwa jinsi alivyomuona mumewe(RIP) na tabia zake.Na moja ya mambo ambayo bibi sijui kama alikuwa anasifia au anabeza ni tabia ya mumewe kupenda sex kupita kiasi,yaani bibi anasema alikuwa anachezea mpododo hata mara tano kwa siku kama babu akiwepo nyumbani siku nzima,mpaka ilifikia bibi alikimbia kurudi kwao kwa muda kwani ilikuwa too much.
To be honest,am not creating an idea that if you seek out too much sexual pleasure you are doing something unhealthy or even wrong but also depends on someones background,beliefs,values etc. Or Multiple cheating while in commited relationship or having multiple partners can constitute an addiction too
Wana JF hebu naomba tu-share uzoefu,inawezekana partners/Bfs/Gfs/husbands/Wives wana seek out too much sexual pleasure kutoka kwako na je unaenjoy hiyo hali na je ni addiction kwako wewe ambae unafanya au wewe upande wa pili wa shilling.

Nawatakia Idd alhajj njema kesho.

Mengine tunaweza kusema ni sex addiction, ambayo ni ugonjwa wa akili kama ilivyo addiction nyengine za pombe, sigara, bao, movies n.k. lakini nyengine kwa wabongo ni tabia mbaya! wewe huwezi kumuona mwanamke tu ndani ya dakika moja au kwenye basi ukaanza kutongoza, huku una maiwaif/gf wako. wengine hata sio binadamu ni majini yanaenda shopping lakini utakutia mtu yuko busy anataka namba, hii ni tabia chafu wala si ugonjwa!!
 
Are you one of them? Hakuna addiction wala nini bali kuendekeza tu. Ni suala la mila na kumomonyoka kwa maadili sex inapokuwa zaidi ya oxygen
 
bahati nzuri na yeye hapendi k huwa tunalala hata wiki mbili bila kufanya kitu

Smile wacha kufanya mchezo hebu fanyeni, unajuaje kama mzee wako nae hapendi, wengine mpaka washawishiwe
kidogo kwa sababu wanakua na uchovu wa kazini. hebu mpige masaj kidogo halafu uone kama usiku utaisha!!!
 
Nina marafiki kadhaa ambao wanapenda sana ngono lakini mtazamo wao ni kuwa wawe namwanamke mpya kila mara na sio yule yule wa kila siku, kiufupi wnahamasika kingono kuwa na mwanamke mpya kila siku.
 
Jini mahaba anaweza kukufanya usipende ngono.

mama mchungaji mwenzangu hulali?au ndo unafanya maandalizi ya ile deliverance yetu,kazana mama manake foleni inazidi huku booking kibao!ila si unajua namba moja ni nani enh?
 
Kuna baadhi ya watu ni tabia mbaya tu kama nyani wanaopenda kung'ata mahindi shambani alafu hawayali

Kuna baadhi ni sexholics

Kuna baadhi ni sex addicts

Kuna baadhi ni Nympho

Na kuna baadhi ni Nymphomaniacs

KAma kuna anaejua tofauti atufafanulie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom