Is sex addiction real?

KIKUNGU

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
845
585
Does sex addiction exist? Mie sio medical doctor wala sio Psychologist lakini uzoefu wangu katika maisha nimekutana na watu ambao wako addicted na sex.Ila kwa ukweli sijui kama kuna solid diagnostic criterion that exists with regard to sex addiction na wala sijui kama ni Mental Health Disorders or just behaviour.Ila tunajua kwamba kuna watu wanatabia zao tofauti,zaweza kuwa tabia nzuri au mbaya, Sex addiction yawezakuwa moja ya tabia hizo lakini kusema sex addiction ni tabia nzuri au mbaya ni kitu ambacho naomba tukiongelee hapa kama greater thinkers.
Nilibahatika kuwa close na bibi mzaa baba(RIP) na tulikuwa tuna ongea mambo mengi na kwa ufupi naweza sema bibi yangu alinipeleka "Jando" kwa busara zake kuhusu maisha kwa jinsi alivyomuona mumewe(RIP) na tabia zake.Na moja ya mambo ambayo bibi sijui kama alikuwa anasifia au anabeza ni tabia ya mumewe kupenda sex kupita kiasi,yaani bibi anasema alikuwa anachezea mpododo hata mara tano kwa siku kama babu akiwepo nyumbani siku nzima,mpaka ilifikia bibi alikimbia kurudi kwao kwa muda kwani ilikuwa too much.
To be honest,am not creating an idea that if you seek out too much sexual pleasure you are doing something unhealthy or even wrong but also depends on someones background,beliefs,values etc. Or Multiple cheating while in commited relationship or having multiple partners can constitute an addiction too
Wana JF hebu naomba tu-share uzoefu,inawezekana partners/Bfs/Gfs/husbands/Wives wana seek out too much sexual pleasure kutoka kwako na je unaenjoy hiyo hali na je ni addiction kwako wewe ambae unafanya au wewe upande wa pili wa shilling.

Nawatakia Idd alhajj njema kesho.
 
Kuna watu wanapenda ngono kuliko hata oxygen
Kuna mwanamme mmoja sasa ni mzee, lakini tangu nimfahamu, kwa mwaka alikuwa anabadili wanawake si chini ya 400, sasa ukipigia na umri wake wa kungonoka labda miaka 30, utaisoma namba.

Hata kama madaktari hawajachunguza, nina uhakika kuna kitu katika hawa watu
Haiwezekani mtu ashindwe kujizuia kabisa
Siku zingine hadi analala na wanawake wawili chumba kimoja, hii si kawaida aisee
 
Kuna watu wanapenda ngono kuliko hata oxygenKuna mwanamme mmoja sasa ni mzee, lakini tangu nimfahamu, kwa mwaka alikuwa anabadili wanawake si chini ya 400, sasa ukipigia na umri wake wa kungonoka labda miaka 30, utaisoma namba.Hata kama madaktari hawajachunguza, nina uhakika kuna kitu katika hawa watuHaiwezekani mtu ashindwe kujizuia kabisaSiku zingine hadi analala na wanawake wawili chumba kimoja, hii si kawaida aisee
yah kuna watu wako adicted na ile kitu usipime!
 
Rais miaka ile alisema HIV/AIDS imeangukia pabaya......waliooa wengi addicted, wasiooa wanatamani waoe....na mkipendana kila siku mnadunguana hadi siku zetu zileeee mnapumzika
 
kama ilivyo BIA, KWA WACHANGIA MAPATO...lazima wanywe mvua inyeshe, jua kali n.k
Hata sex pia ni kawaida sana kuwa addicted kwa ke na me, lakini zinatofautiana kutokana na tabia.....
 
Alafu sex adiction ni INVERSE PROPOTIONAL to Alcoholism!!!! Yaani watu wasikunywa WANAPENDA KUDINYANA HAOOOO! Coz ndo starehe yao kubwa! Haswaa watu wa dini wasiopenda ya DUNIA, basi akikuoa ujue KAZI UMEPATAAA!!! Kutwa mara 3 kama dozi ya dawa. (Ni mtazamo binafsi sio msimamo wa JF wadau, hamkawii kunipa za uso!!!!)

Sie wanywaji na walevi shurti UTAFUTE STIMU KWANZA ndo zile mambo zikoleeee mahali yake. ( Oooooopppppps!!!!! NILISAHAU KAMA MIMI NI UNUSED!!!!! The Boss)
 
Last edited by a moderator:

Hehehe ..nilimwambia wife naacha pombe ..jioni kurudi nakuta fridge limejaa kesto, kucheki store kuna kama kreti na nusu hivi mbichiiii hazijaguswa..... kuingia bafuni kutoka nakutana na MUG inatoa jasho imejaa kesto iko mezani chumbani alafu yeye hayuko...... sikuiacha niliipiga fasta...kabla sijapoa nikakamata ya pili ,alafu ya tatu ndo nikavalia nguo sasa.
Kumuuliza akasema alinipenda nikiwa nakunywa hivyo shurti niendeleee. Akasema kama naacha basi kuna kilevi kingine nimegundua.
 
adje all status? k2 kutiana nkubudulishana nakupeana maradha flan mwilin ila icwe kelo kwampenz wako yang hayo.
 
mungu niepushie mbali huu ulevi
mi natamani kiu yangu iwe mara moja kwa mwaka
 
Kuna watu wanapenda ngono kuliko hata oxygen
Kuna mwanamme mmoja sasa ni mzee, lakini tangu nimfahamu, kwa mwaka alikuwa anabadili wanawake si chini ya 400, sasa ukipigia na umri wake wa kungonoka labda miaka 30, utaisoma namba.

Hata kama madaktari hawajachunguza, nina uhakika kuna kitu katika hawa watu
Haiwezekani mtu ashindwe kujizuia kabisa
Siku zingine hadi analala na wanawake wawili chumba kimoja, hii si kawaida aisee

Umesema kweli Kongosho kuna watu yaani kabisa hawezi kupitisha siku bila kugonoka lakini sasa sio tabia mbaya kama anaegonoka nae ni mke wake kwa mtazamo wa kidini.Na hata sio tabia mbaya kama anagonoka na mtu yoyote kwa mtazomo usio wa kidini.Ila swali is this wrong or unhealthy kwake mwenyewe na kwa watu wanaomzunguka?.Walimu gfsonwin na snowhite hebu njoni mtupe uzoefu wenu kwenye hili
 
wapo, kuna mwanaume namjua, anaweza fanya asubuhi mchana jioni, kwenye gari kichochoroni na yoyote yule hachagui habagui....mwanzoni tulimshangaa baadae tukaja hundua ni ugonjwa....yaani addicted
 
ingekuwa pombe zinaruhusiwa kazini, ofisi nyingi zingekuwa na grocery.............
 
Kuna watu wanapenda ngono kuliko hata oxygen
Kuna mwanamme mmoja sasa ni mzee, lakini tangu nimfahamu, kwa mwaka alikuwa anabadili wanawake si chini ya 400, sasa ukipigia na umri wake wa kungonoka labda miaka 30, utaisoma namba.

Hata kama madaktari hawajachunguza, nina uhakika kuna kitu katika hawa watu
Haiwezekani mtu ashindwe kujizuia kabisa
Siku zingine hadi analala na wanawake wawili chumba kimoja, hii si kawaida aisee

Huyo mtu bado yuko hai kweli?
 
Back
Top Bottom