Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

Mjuni lwambo,
Umesema neno. Katika sheria za Tanzania hakuna msamaha unaotolewa kwa wauaji. Iweje leo watu waliopatikana na hatia ya mauaji ya Kombe wasamehewe na Mkapa? Sina ushahidi lakini naamini serikali ya Mkapa ilihusika katika mauaji ya Kombe.

Kuna kitu ambacho Watu wanashindwa kujuwa labda kwa tamaa ya fedha ....once unakubali kutumwa operations nzito Kama kuuwa target ...unatakiwa Ujuwe mbali ya fedha utakazopata.....lazima na wewe utauliwa tu ....maana hutaaminika kuficha Siri
mnajuwa wale Polisi walioachiwa msamaha wa Rais wameshakufa mmoja hadi mwingine??? ninkama Yule aliyekuwa anajuwa ukweli Kesi ya zombe alivyokufa same style....waliuguwaa.....we'll ndio maana professional operatives huwa wanapanga plan ....lakini kwenye utekelezaji wanakodi Watu ambao hawajuwi RULE OF THE GAME....kutekeleza.....na baadaye wanawa compromise....... Ndio maana ukienda nchi wanazojuwa Sheria ya kutumika ...akishachukuwaa pesa mtu ...anakimbia nchi kwa miaka kadhaaa hadi issue iwe haina uzitoo
 
Kuna kitu ambacho Watu wanashindwa kujuwa labda kwa tamaa ya fedha ....once unakubali kutumwa operations nzito Kama kuuwa target ...unatakiwa Ujuwe mbali ya fedha utakazopata.....lazima na wewe utauliwa tu ....maana hutaaminika kuficha Siri
mnajuwa wale Polisi walioachiwa msamaha wa Rais wameshakufa mmoja hadi mwingine??? ninkama Yule aliyekuwa anajuwa ukweli Kesi ya zombe alivyokufa same style....waliuguwaa.....we'll ndio maana professional operatives huwa wanapanga plan ....lakini kwenye utekelezaji wanakodi Watu ambao hawajuwi RULE OF THE GAME....kutekeleza.....na baadaye wanawa compromise....... Ndio maana ukienda nchi wanazojuwa Sheria ya kutumika ...akishachukuwaa pesa mtu ...anakimbia nchi kwa miaka kadhaaa hadi issue iwe haina uzitoo

Duuh! sikujua wale polisi wameshakufa. Nilishangaa kusikia wameachiwa kumbe wakuu walikuwa wanajua kitakachofuata!!!
 
"5. Regarding individuals who executed Kagame’s orders to down the presidential airplane, or those who transported the missiles to Kigali and then to the firing site in Masaka, it is my opinion that the international community should undertake a close monitoring of their whereabouts lest they be spirited away to remove them as potential witnesses. I’ll name a few so that they are kept under tight surveillance:

Major RUZAHAZA: A Captain at the time, he headed a team of 6 soldiers in charge of transporting the missiles on a convoy from Mulindi to Kigali. The convoy was escorted by a UNAMIR team of Ghanaian soldiers, who were not informed the missiles had been loaded onto the truck.
Warrant Officer 2 Eugene SAFARI (Demobilized): He had adopted the nickname KARAKONJE (the cold one), in a direct reference to his love of cold beer. He was the driver of the truck that ordinarily ferried firewood from Mulindi to Kigali, and on which the 2 missiles were concealed in 2 big boxes under the firewood.
Sgt Moses NSENGA: A Corporal at the time and a brother to Charles Kayonga, he has now fled to Uganda. Of the group that loaded the missiles onto the truck, he is the only one living, along with Sgt TUMUSHUKURU. The others, Warrant Officer 2 Stanley RWAMAPASI, a Corporal at the time, was killed in 1998, and Warrant Officer 2 SEROMBA, a former corporal as well, was also killed in 1997. Also present during the loading of the missiles were Private Joseph NZABAMWITA, currently a Lt Col if my guess is right, and Major BIRASA, then a Captain. The latter has already been killed by Kagame.
Sgt Didier MAZIMPAKA: Very likely a 2nd Lt currently, this is the guy who drove the Toyota Stout 2002 that transported to their launching site the 2 missiles that brought down Habyarimana’s airplane. He also drove the shooters to the site, and drove them back to the CND Parliament Building Compound once their diabolical job was done. He has survived several attempts to get rid of him, sometimes by being warned ahead of time, sometimes by just pure luck.
Captain Frank NZIZA: He was a 2nd Lt at the time, an ace at firing SA16 group missiles that we commonly referred to as SAM16 missiles. He is the one who hit the airplane dead on. Prior to sending 3 other people for training in Uganda, he was the only one in the entire RPF Inkotanyi organization with expertise on how to fire these weapons. The 3 others who received training on these weapons were: Sgt Andrew NYAMVUMBA, Sgt Steven TWAGIRA, and Cpl Eric HAKIZIMANA, all of whom at the time were part of a High Command team in charge of Kagame’s personal security protection.
Former Cpl, now Lt Eric HAKIZIMANA: He is the one who fired the first missile at Habyarimana’s airplane, hitting it slightly at its right wing. Although hit, the airplane could have landed successfully, but exploded in mid-air on dead-on impact by the 2nd missile.
Sgt Pontiano NTAMBARA, currently a Lt: He was on the Toyota that transported the missiles to the firing site as a security protection officer, back and forth.
Sgt Aloys RUYENZI: A 2nd Lt, he has fled to Uganda. At the time, he had taken over temporarily from Lt Silas UDAHEMUKA, Kagame’s top intelligence officer. Ruyenzi had been at the room where the final decision to down the airplane was made, in a meeting chaired by Maj Gen Paul Kagame himself, and attended by Col Kayumba Nyamwasa, Lt Col James Kabarebe, Col Theoneste Lizinde, Maj Jacob Tumwine, Capt Charles Karamba. The day was March 31, 1994. All these people are still living except Lizinde who fled the country, and was later assassinated for having been privy to this secret meeting. Also, Sgt Paul KARABAYINGA, now a Lieutenant, had guarded the room where that meeting took place, along with Sgt Peter SEMPA, who died mysteriously in Bukavu in 1996.

The list is longer, because information leaked out to many people, especially among members of the Network and the 3rd battalion deployed in Kigali. It is particularly alarming, however, that anyone suspected of having been involved in this leak will be eliminated by Kagame if they are not protected. It’s no secret how he ordered the immediate killing of Captain Hubert KAMUGISHA, who was the head of our advance Intelligence Operations in Kigali and within the Interahamwe militia. He was gunned down in Bugesera, and his escort was instructed to testify that he had killed himself. Anyone in disagreement with Kagame or seen as likely to break the airplane shooting secret has been eliminated or is waiting to be. In an effort to continue to inform the Rwandan Community about the underlying truth behind all these events, I will publicize before too long the names of fellow “technicians” that I can remember, who operated in Kigali and elsewhere inside Rwanda."

zaidi soma hapa:

Hungry for Truth, Peace and Justice: Testimony of Abdul Ruzibiza about how mistakes by both the Rwandan Government and the RPF led to the Rwandan genocide of 1994
 
du mambo ya politics za east africa aisee ni magumu sana jamani.......
 
Polisi waliomuua Kombe walihukumiwa kunyongwa baada ya ukutwa na hatia ya kuua. Lakini wiki chache zilizopita kuna gazeti [I guess ni Mwananchi] liliripoti kwamba polisi hao walishasamehewa kwa msamaha wa Rais. Siku mbili baadaye Salva Rweyemamu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kwamba Kikwete hajawasamehe hao wauaji.

Kombe aliuawa zama za utawala wa Mkapa, na ni Mkapa huyo huyo akiwa Rais aliwasamehe hao wafungwa. Je, ni kwanini Mkapa aliwasamehe hao wafungwa?

So, lazima serikali ilikuwa inajua kilichokuwa kikiendelea na hata hao polisi walioua, inawezekana waliua kwa amri kutoka juu na ni hao hao wa juu ndio walioamua kuwasamehe baada ya kusoma gerezani for some years.

Kagame ana mkono mrefu na siyo mkono mrefu tu, ameishi Tanzania na Uganda so anajua mengi sana na anafahamiana na watu wengi tu. Kwa hiyo akitaka kufanikisha chochote ni rahisi sana na wala sio lazima atumie mashushu wake wa ubalozini, mtaani anaweza kuwa ana informers wengi sana ambao ni watanzania.

Kwa mujibu wa mwanajamvi mmoja humu hata hao Polisi waliosamehewa wamepukutika mmoja baada ya mwingine! Labda waandishi wetu wajaribu kufatilia ukweli huu! (swali tunao waandishi wa kufatilia?)
 
Kagame ameanza kukimbia kivuri chake mwenyewe, sasa anajiuliza watu wote aliowamaliza atajibu nini kwa allah, na ni malaika gani atakayempokea ukifika wakati wake wa kuondoka hapa duniani.

Hebu kagame tumuulize au ajiulize yo wapi welson Rataisise na alimfanya nini?

Wapo wapi akina kayumba Nyamwasa,wapo wapi akina kalegeya aliyekuwa msiri mkuu wa kagame kwenye kampuni ya kuuza madini ya goltan iliyoibiwa congo.

Namwambia kagame ajibu juu ya wale watu 200 aliowakata shingo mwaka 2004 kwenye shamba la james kabarebe lililopo njia ya kwenda nyautarama.

kagame ukijibu maswali hayo rudi nyumbani tz uongeze ulinzi dhidi ya rais kikwete kwa sababu kagame anatabia ya kuwafuata hukohuko walipo anaowaita maadui zake.

Kagame unakumbuka jinsi ulivyommaliza senda shonga aliyekuwa amekimbilia nairobi na wewe ukamfuata na kwenda kummaliza hukohuko?

Kagame kama kweli unaakili timamu doma kwanza taarifa za CIA who killed habyaimana ukitoa majibu hayo nitakukumbusha jambo lingine.lakini kwa vile unawatawala warwanda kwa mabavu unaweza usikumbuke unyama huu uliofanya na unaoendelea kuufanya.
 
Huyu jamaa anaichokoza Tanzania. Kabla ajafika mbali na ukatili wake tummalize mapema iweze kanavyo.
Yeye amekuwa Rais wa nchi 2 Congo na Rwanda. Naona anaitaka Tanzania.
Nasema nia tunayo, sababu tunazo tumpige.
 
Tanzania inataka AMANI iwepo katika nchi zote za jirani hususan "The Great Lakes" kwa hiyo nchi yetu haitojali kumshauri
yeyote mhusika katika jambo la usalama na amani ipasavyo. hii ni haki ya Tanzania na siasa zake. ( awe furauni au dikteta au raisi gani ataambiwa la ukweli ) Kagame yeye nani asifundishwe "maadili na haki za binadamu".
Amani itadumu na Shari zitoweke.
 
Kagame ameanza kukimbia kivuri chake mwenyewe, sasa anajiuliza watu wote aliowamaliza atajibu nini kwa allah, na ni malaika gani atakayempokea ukifika wakati wake wa kuondoka hapa duniani.

Hebu kagame tumuulize au ajiulize yo wapi welson Rataisise na alimfanya nini?

Wapo wapi akina kayumba Nyamwasa,wapo wapi akina kalegeya aliyekuwa msiri mkuu wa kagame kwenye kampuni ya kuuza madini ya goltan iliyoibiwa congo.

Namwambia kagame ajibu juu ya wale watu 200 aliowakata shingo mwaka 2004 kwenye shamba la james kabarebe lililopo njia ya kwenda nyautarama.

kagame ukijibu maswali hayo rudi nyumbani tz uongeze ulinzi dhidi ya rais kikwete kwa sababu kagame anatabia ya kuwafuata hukohuko walipo anaowaita maadui zake.

Kagame unakumbuka jinsi ulivyommaliza senda shonga aliyekuwa amekimbilia nairobi na wewe ukamfuata na kwenda kummaliza hukohuko?

Kagame kama kweli unaakili timamu doma kwanza taarifa za CIA who killed habyaimana ukitoa majibu hayo nitakukumbusha jambo lingine.lakini kwa vile unawatawala warwanda kwa mabavu unaweza usikumbuke unyama huu uliofanya na unaoendelea kuufanya.
Labda muandikie kwenye twitter yake ni verified,Presidency | Rwanda Verified account

@UrugwiroVillage

Official Twitter account of the Office of the President of Rwanda.Your unique opportunity to follow the work of President Paul Kagame on a daily basis.

Kigali, Rwanda · paulkagame.com
 
Ukimalizana na Kagame rudi huku muulize Kikwete yuko wapi Daudi Mwangosi???

Yuko wapi Ally Zona aliyechomwa na kitu Kikali pale round about ya Msanvu - Morogoro??

Yuko wapi yule Mama Mjamzito aliyepigwa risasi na polisi wa Mtwara wakati hakuwepo kwenye maandamano ya kudai gesi??
 
Why Paul kagame should be in the ICC with Bosco Ntaganda

Mo most Congolese, the sidelining of the"Terminator" will not change anything on the ground-in terms of security. Especially as Bosco Ntaganda was a pawn in the banditry cartel of Rwanda and Uganda. So, the real sponsors of insecurity in the region are still at large – that is to say their ability to murder,rape,plunder,enslavement,displacement and enlisting child soldiers, is still very intact.

Many people within the Rwandan community have listened to this testimony including, dictator Paul kagame's former inner circle such as;

1.Jerome Nayigiziki
2. Gervais Condo
3. Lt. Gen. Kayumba Nyamwasa
4. Dr. Gerald Gahima
5. Jonathan Musonera
6. Col. Patrick Karegeya
7. Dr. Theogene Rudasingwa
8. Joseph Ngarambe
9. Dr Emmanuel Hakizimana
10.Jean Paul Turayishimye


Why this testimony is genuine, it was aired by a blog radio owned by them and non has disputed the content of the testimony.

"I'll give you my testimony about what happened in the Congo, where I was a soldier of the RPA, (now known as the RDF, Rwandese Defense Force, before being assigned to the DMI (Directorate of Military Intelligence). At the time, we were sent to kill the refugees in Kisangani at the command of Captain Shema of the DMI and Lieutenant Frank Bashimake. In their escape the refugees walked on the roads until Kisangani, and when arrived at Kigangani, they were blocked by the river; it's there that they perished. I will tell you about what occurred there, Rwandan friends", declared the former DMI member who recognizes himself as a former RPF killer, now a refugee in Europe, and who did not want to reveal his name or address for his safety and that of his family. He delivered his story in Kinyarwanda on Itahuka radio on Saturday February 9th . Radio Itahuka is a web radio founded by the platform of the Rwandan National Congress (RNC), a platform initiated and directed by old personalities of the RPF, formerly close to Paul Kagame.

A refugee transformed into a killer

Born in Rutshuru in Eastern Congo, this former DMI is a descendant of the former Tutsi refugees driven out of Rwanda in 1959. He joined the rebellion of the RPF in 1993, a year before the victory of the movement on the Habyarimana's reign. Shortly after, he was assigned to the infamous DMI (Directorate of Military Intelligence), the Rwandan military intelligence agency indicted for its role in the execution of thousands of Rwandans and foreigners.

""I want to give my testimony on Rwandan leaders in general and what they have done since the RPF launched the war of liberation. I'll tell you because it makes me very sick at heart and that is what pushed me into exile again", he said.

Objective: to liquidate any Hutu on Congolese soil

"We attacked and massacred Rwandans brutally and in unimaginable ways, the one who commanded us and who, on his turn, was under the command of General Paul Kagame and Jacques Nziza, asked for all Hutu refugees on Congolese soil to be assassinated and they further announced that those who refuse to do so will be executed on the spot. (…) Among my colleagues there were some who were executed because they refused to obey orders. "We put refugees fleeing Tingi-Tingi NDRL a refugee camp) in trucks and sent them off to several places: we led some of them on the other side of the river, a place they called "left bank". Thousands and thousands were massacred there. Another place is Devansende, it is within 59 kilometers of the town of Kisangani: in this place we massacred several thousands of people. We had dug holes where we threw the bodies, we did not make any distinction: children, women and aged people, everyone had to go because the orders were to kill every Hutu on Congolese soil. We employed all means that were at our disposal: bullets, agafuni (used hoes), plastic bags over their heads, tying their hands behind their backs, etc…..", he continued.

"We killed until we were exhausted. Some refugees were even dying of hunger. Captain Shema told us that we tired ourselves for our country. 'There are many of them.If we do not eradicate them they will come back to chase us out of the country', he liked to repeat.This witness also sheds light on the perpetrated massacres in Mbandaka, in the area of the Equateur: "On the left bank of Mbandaka, we also massacred a lot of people, because refugees were stuck there, they could no longer move. Religious individuals who tried to intervene suffered the same fate on their turn. After their death, we pillaged their vehicles and later used them to transport and burn the bodies.

"People whom we massacred were all civilians. For example, in Rafasenti, we made the refugees believe that we were going to bring them back to Rwanda. We made them get into several trucks, especially the men, and more than 4000 of them were loaded. They were all killed on the same day.

"Those who escaped death are those who were picked up by the UNHCR from the forests. They are the only ones who were able to escape us. (…) Our criminal activities proceeded from 1997 up to 1998 when Laurent Kabila asked us to leave", the former agent of the DMI specified.

Leave no trace

According to the witness, every effort was made ​​in order to not leave any traces of these massacres, because the international community was already following the situation of these refugees. "We had dug pits in the surroundings of the city of Kisangani; everything was well-planned and highly driven by General Paul Kagame. Bodies piled up in these mass graves as the cubic meters of firewood. At the top we covered the graves with tarps, this allowed us to easily open and put other bodies in.Once the holes filled we would burn them. Each night we used motor boats to carry the ashes and throw them in the Zaire River (Congo River). Throughout what we did, we were ordered not to rest, it was obliged to carry out orders so we wouldn't get executed on our turn. We were small soldiers under the orders of General Paul Kagame, General Nziza and General Kabarebe,who was our direct leader on the field. Captain Shema commanded our section'', the witness reported.

The killers were carefully selected

According to the witness, the killers were thoroughly chosen, they were selected among Tutsis from Congo, because according to him, the command of the APR did not trust Tutsis from Uganda, Burundi and Tanzania to carry out this mission which was to be fast, well made and especially discrete. The choice was made mainly on Tutsis originating from the Congo. The witness even affirmed that the guards closer to Paul Kagame, who ensure his security and property, are those coming from the Congo, because the strong man of Rwanda would not trust his compatriots from Uganda, Tanzania and Burundi.

"Before the massacres, a meeting was held in the town of Kisangani one evening, led by captain Shema, now a Major, and his assistant lieutenant Bashimake who today is Captain and chief of brigade 408 of the police force in Ruhengeri. During this meeting, we were asked a question: ‘According to you, why are you here from only one ethnic group?' We answered: ‘We do not know anything of it'. Thus they explained us that if we were onlyTutsi, it was that we had a job todo, without specifying what it this job was . We did not know each other because we came from different battalions, (…). Captain Shema explained to us that it was the General staffthat had chosen us for this work; this is why we could not say "I refuse to do it or I am sick". In Kigali we were selected by where we were born, our family and our country of origin", said the witness.

Keep away unwanted witnesses

The witness also delivers his account of why his squadron was to take away witnesses, especially NGOs which were likely to take steps in order to know the ground of refugees. "We were ordered to retain the humanitarians in the town of Kisangani, if necessary to shoot at them to make them believe that certain places were dangerous. I give you the example of the Red Cross; we killed some of its members because they were obstinate to know the truth" he said.

In his opinion the humanitarians were prevented from going to the spot of the massacres before the executioners finished their work. "We contained the humanitarians in Kisangani until we transferred the bodies to 150km inside the forest to not leave evidence for the investigators. (…) Captain Shema and Lieutenant Frank Bashimake ordered us to work over 24hours without resting". He affirms that they even fired on aircrafts of the United Nations with heavy weapons. The planes were flying over the area of the killings in an attempt to try and understand what was happening. "When we fired on a plane, it did not pass above the same zone again " he says.

"When the United Nations started to raise suspicions on our atrocities regarding Kisangani, the press questioned Paul Kagame on the massacres which were made on the ground. The latter did nothing but deny. Kabarebe who directed the Rwandan soldiers to Congo, answered the same thing and Kabila (NDRL Joseph Kabiba, the father ) also denied the facts. They all said that no Hutu refugee was killed on the Congolese soil. We were astonished to hear that on the spot , we followed BBC all the time".

The former soldier also gave the examples of unquestionable officials who were eliminated because they had supervised the massacres. "The regime wanted to ensure their eternal silence". It is the same case for majors Ruzindana and Birasa, who were eliminated by the DMI and Bagire who died poisoned. "What I am sure of is that everyone who was used for the massacres went into exile or was killed after" Me too, when I left the country in March 2006, they wanted to kill me. Major Birasa, chief warrant officer Abbas who supervised the massacres in the Kami camp, lieutenant Rushoke who was known to be the cruelest of all, all of them were assassinated in the Kami camp and then transported towards Nyungwe forest " the witness affirmed.


The massacres in Rwanda


The witness also told the radio operator Itahuka about certain cases of massacres in Rwanda to which he assisted directly or indirectly. He reconsidered the massacres which were made at the regional stadium of Ruhengeri (in the North of Rwanda) in 1998, on the orders of Gasheja who directed the battalion 408 of Ruhengeri, and Gasana, who directed brigade 408 of Ruhengeri. According to the ex-soldier, these officers picked up people from Nyakinama, Kinigi, Nyamutera and Giciye, and gathered them in the stadium of Ruhengeri. People arrived to the stadium tied up in container trucks, and then they were gradually led to the Mukamira camp to be killed. According to the witness, the bodies were transported in the same trucks towards the forest of Nyungwe in a place that they called "Icyokezo" (Kinyarwanda word meaning "grill", to be burned there.

The former DMI agent affirmed that Nyungwe forest was useful in 1997 and 1998, as the place where they burned the bodies of the people who were killed all over Rwanda. According to him, at Kugiti Kinyoni (near Kigali) there were feared barriers. ''People from Ruhengeri, Kibuye, Gitarama and Butare were arrested; we looked at the origin of the person and [their] facial characteristics. We chose especially those who still had the strength to fight, it was called" guca Imbaraga Abahutu" (to discourage Hutus)". He affirmed that this climate of terror had ended up persuading people to not take taxis because once inside, one was not sure to return, especially those who were coming from Gisenyi and Ruhengeri did not cross any barrier. They were stopped and led to camp Kami, a camp that, according to him, shelteredin its cellar a prison where people were kept before being killed. "All these massacres were coordinated and supervised by Jacques Nziza", he said. To transport the bodies of Kami camp towards the Nyungwe forest, the witness affirmed that they used a blue Benz mark truck plundered in Congo.

Massive use of poison

The witness also evoked the cases of assassinations through poison. "There were also people who were poisoned. The market of poison was in the hands of the Indians, it is them who imported it to Rwanda to sell it to the DMI. This poison was often injected by syringe. The poison was generally used to assassinate known people of whom it was impossible to eliminate in the mass without drawing attention. This is why it were the tops graded, like captain Mutiganda and captain Burabyo who personally occupied themselves to use this method. The person to be eliminated was invited to a meeting or was approached in a festival; one waited until he was inattentive to put the poison in his glass", affirmed the witness who said to have been in charge of a mission of eliminating a colleague himself:

«One day I was given poison to put in the milk of Sankara who was in prison at that time. I did not do it because he was a man of integrity. In his songs, he defended the rights of soldiers. . They did not know that I had not poisoned Sankara's milk, and said to him: "you're really lucky, you ingested poison and you're still alive''. »

The massacres of Tutsi refugees at Mudende

The former DMI officer also returned to the massacres of Tutsi refugees from 1959 who returned to Rwanda in 1995 after 30 years of exile in Congo. The witness was shocked that Paul Kagame and Nziza decided to eliminate them and attribute their death to the Hutu rebels (abacengezi) from Congo, while in this period, the eastern border of Congo was under the control of the new Rwandan government

Indeed, these refugees upon their return to Rwanda were installed at Mudende, not far from the university that bears the same name, and in Nkamira. "The massacres proceeded at night, in the morning all the soldiers who were guarding the camp had been recalled." The General Munyakazi who directed brigade 211 of Gisenyi, and to who the victims reached out during the events, wanted to go to the place of the massacres to intervene but he was prevented from doing so because those who were in charge of the assassinations were the men of Kagame who came from Kigali. However, the majority of the guards who are close to Paul Kagame comprise out of sons of these assassinated people. "These guards do not know it, this is why I deliver this testimony", declared the former agent of the DMI. "At that time, several military personnel including the relatives of the murdered that night, wanted to demonstrate, but they had to resign and return to their camps after general Kagame threatened to liquidate them all».

On October 1st , 2010, the massacres of the Hutu refugees in the Democratic Republic of Congo between 1996 and 2002 generated a report of investigation of the High Commission of the United Nations on the Human Rights, known under the name of Mapping Report. According to this document, these massacres could, if proven in front of a competent jurisdiction, be described as genocide.
 
rwanda-kagame-millicompk.jpg



malipo ni hapahapa Duniani Kagame huwezi kimbia kivuli chako, hata Idd Amini aliwakandamiza Waganda lakini alipoondolewa nao eti wakaibuka kusema alikuwa muovu.
Najua kabisa Rwanda hakuna wa kuwasemea hata DRC ila MUNGU yupo pamoja nanyi,bado kitambo kidogo tu, huko kung'anga'nia Urais kutakoma, maana mpaka mama wa watu umemfunga kisa kugombea nafasi yako.
Dami ya Habyarimana na WaCongo haitakusamehe asilani
 
Mimi nadhani tuondoe boriti kwenye jicho letu kwanza kabla hatujaondoa la jirani zetu. Maswali kama haya anatakiwa kuulizwa na Kikwete pia. Ukimuuliza mjane wa Mwangosi nani muuaji kati ya Kagame na Kikwete atakwambia Kikwete.
 
[h=1]Rwanda: "Kagame assassinated Kabila", Rudasingwa[/h]
Apr 2nd, 2012 | By Amani Tuyishime | Category: NewsThe Rwandan President Paul Kagame was "the instigator of the assassination against Laurent Desire Kabila, the Congolese former president." This was announced on Saturday, March 31, 2012 by Theogene Rudasingwa, the former chief of staff of Paul Kagame, during a joint town hall meeting of political parties FDU-Inkingi and RNC in Brussels. Although the hypothesis of the involvement of the strongman of Rwanda in the assassination against Kabila has never been ruled out by the people who led investigations into this murder, such accusations from Kagame's former close collaborator are unprecedented.
 
Kabla ya kuona kilichomo kwenye jicho la mwenzako, toa boliti lililomo kwenye jicho lako! Ila kama wewe nui mkimbizi ulikwisha jichanganya bongo, utuache na bongo yetu ya kifisadi. Hatuwezi kupigana eti kwa sababu un hasira na Kagame. Sisi tuna hasira na nchi yetu yenye kila rasilimali lakini bado ni masikini kuliko Rwanda.

Ukiona hasikiii, mfute huko huko Rwanda ukamwambie hayo.
 
Watanzania twaweza achama saana juu ya Kagame kama mabepari wa Ulaya ila ukweli ni kwamba ukiachia mbali baba wa taifa, hatujawahi kuwa na kiongozi anaye mkaribia huyu jamaa hata kwa mbali. Hebu tu-solve matatizo yetu kama vile janga la kuwa na risi wa sampuri hii ya kwetu ndio tuwasemee warwanda ambao hawana habari zaidi ya kupiga hatua kuelekea maendeleo ya kweli
 
Watanzania tuna ugonjwa wa kurukia matatizo ya watu wengine ama nchi zingine, wakati kwetu ndo kumeoza zaidi yao. Rekebisha matatizo ya nchini kwako kwanza.
 
Back
Top Bottom