hakuna sheria kwa wabongo is a pick & choose na wengi mnapenda sheria ifanye kazi kama iko upande wenu mfano angalia mnavyoshabikia kuua watu mtaani kwa sababu niwezi na sababu mnayotoa ni kusave pesa ya serikali,hiyo hiyo system ndio inawezesha kina Aziz kujichotea wanavyotaka...mkijua kufuata sheria na taratibu zote haya mambo hayawezi kutokea