is LIKE equal to LOVE

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
Mimi napata kizungu mkuti kidogo hapa,
hii LIKE ni sawa na LOVE maana nashindwa kuyaweka katika kiswahili kizuri
hata hapa jamvini ukimgongea mtu ka like kuna alama ya moyo yanaani sweatheart kwenye jina lako
hapo kwenye like
sasa hii LIKE na LOVE ni sawa au ni mlolongo huo huo
wengine bado kujua hii kitu natka kujua ili kama ni love nikome kugonga LIKE kwa wanaume hapa jamvini
ili nikiwa raisi nisije semwa nilikuwa gay
 
Vikwazo i do like you... BUT loving.. Sorry hell NO!

Hapo like ina maana natambua uwepo wako ha uwepo wako naukubali hivyo kukupenda ile ya kusema sikuchukii...

Love inaweza kua pawili..

I love you yaani kwa dhati kabisa tokana na umuhimu wa uwepo wako
kwangu kwani nafurahishwa na hata kukukumbuka na kuku miss usipokuwepo..

I love you yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumiss
sijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako.. kwa ufupi ni hali ya kudondokea..
 
vikwazo i do like you... but loving.. Sorry hell no!

Hapo like ina maana natambua uwepo wako ha uwepo wako naukubali hivyo kukupenda ile ya kusema sikuchukii...

love inaweza kua pawili..

i love you yaani kwa dhati kabisa tokana na umuhimu wa uwepo wako
kwangu kwani nafurahishwa na hata kukukumbuka na kuku miss usipokuwepo..

i love you yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumiss
sijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako.. Kwa ufupi ni hali ya kudondokea..

haya chagua mji lol
 
Vikwazo i do like you... BUT loving.. Sorry hell NO!

Hapo like ina maana natambua uwepo wako ha uwepo wako naukubali hivyo kukupenda ile ya kusema sikuchukii...

Love inaweza kua pawili..

I love you yaani kwa dhati kabisa tokana na umuhimu wa uwepo wako
kwangu kwani nafurahishwa na hata kukukumbuka na kuku miss usipokuwepo..

I love you yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumiss
sijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako.. kwa ufupi ni hali ya kudondokea..

Inategemea anayosema hayo ni mwanaume au mwanamke. Meanings ulizotoa zinaapply kwa mwanamke. Kwa mwanaume ni hivi:

Love means he wants to sleep with you, or perhaps marry you
Like means he genuinely likes you, or may be just your body.

lol
 
Why am i not surprised mzee wa vice versa...
Hata hivyo nimewakilisha wadada i don't believe you go thru the same
procedures when you fall Imagine EMT feeling/saying the following way...lol..

yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumiss
sijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Vikwazo i do like you... BUT loving.. Sorry hell NO!Hapo like ina maana natambua uwepo wako ha uwepo wako naukubali hivyo kukupenda ile ya kusema sikuchukii...Love inaweza kua pawili..I love you yaani kwa dhati kabisa tokana na umuhimu wa uwepo wako kwangu kwani nafurahishwa na hata kukukumbuka na kuku miss usipokuwepo..I love you yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumisssijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako.. kwa ufupi ni hali ya kudondokea..
Partner eti mi niko wapi vile???!Vikwazo we LIKE tu hata ukitaka LOVE post ziwe za ID ya kike au ya kiume.Atakaekufikiria kivingine ndo mwenye matatizo na sio wewe!
 
Partner Ashadii kaumia kweli kua hujui.. wewe uko kipengele A cha I love you kipengele B unajua cha shemejio eeeh??

Lizzy my Partner I love you, of course i do not get love sick!!!
if i don't see you... but you friend of mine i do miss you..
 
Why am i not surprised mzee wa vice versa...
Hata hivyo nimewakilisha wadada i don't believe you go thru the same
procedures when you fall Imagine EMT feeling/saying the following way...lol..

yaani nakufikiria, nakuwaza, nakuota, ninamafilingi, naumwa kwa kukumiss
sijiwezii kabisa hata kama haupo walau nipigie nisikie sauti yako..

Difference between "somebody you Love" & "somebody you Like":

1 - In front of the person you love, your heart beats faster.
But in front of the person you like, you get happy.

2 - in front of the person you love, winter seems like spring.
But in front of the person you like, winter is just beautiful winter.

3 - If you look into the eyes of the one you love, you blush.
But if you look into the eyes of the one you like, you smile.

4 - In front of the person you love, you can't say everything on your mind.
But in front of the person you like, you can.

5 - In front of the person you love, you tend to get shy.
But in front of the person you like, you can show your own self.

6 - You can't look straight into the eyes of the one you love.
But you can always smile into the eyes of the one you like.

7 - When the one you love is crying, you cry with them.
But when the one you like is crying, you end up comforting.

8 - The feeling of love starts from the eye But the feeling of like starts from the ear.
So if you stop liking a person you used to like, all you need to do is cover your ears.
But if you try to close your eyes, love turns into a drop of tear and remains in your heart forever...

I hate the way you tell me you think of me
I hate the way you tell me dream about me
I hate when you tell me you miss me
I hate the way you make me think of you
I was getting over you
But you had to call
And tell me you still love me
I hate you.

jamani i wish ningepata mdada wa kuniambia haya....lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Partner Ashadii kaumia kweli kua hujui.. wewe uko kipengele A cha I love you kipengele B unajua cha shemejio eeeh??Lizzy my Partner I love you, of course i do not get love sick!!!if i don't see you... but you friend of mine i do miss you..
Just wanted to make sure partner...really appreciated!!Me love you too!!
 
Difference between "somebody you Love" & "somebody you Like":

1 - In front of the person you love, your heart beats faster.
But in front of the person you like, you get happy.

2 - in front of the person you love, winter seems like spring.
But in front of the person you like, winter is just beautiful winter.

3 - If you look into the eyes of the one you love, you blush.
But if you look into the eyes of the one you like, you smile.

4 - In front of the person you love, you can't say everything on your mind.
But in front of the person you like, you can.

5 - In front of the person you love, you tend to get shy.
But in front of the person you like, you can show your own self.

6 - You can't look straight into the eyes of the one you love.
But you can always smile into the eyes of the one you like.

7 - When the one you love is crying, you cry with them.
But when the one you like is crying, you end up comforting.

8 - The feeling of love starts from the eye But the feeling of like starts from the ear.
So if you stop liking a person you used to like, all you need to do is cover your ears.
But if you try to close your eyes, love turns into a drop of tear and remains in your heart forever...

Mamamia!! Lucky ME...
That is exactly how i feel when i am with my man... mmmh..
I wish asi notice exactly how i feel for kwa kuongezea hapo sinaga nguvu kwenye joints zoooote!!!

I hate the way you tell me you think of me
I hate the way you tell me dream about me
I hate when you tell me you miss me
I hate the way you make me think of you
I was getting over you
But you had to call
And tell me you still love me
I hate you.

You hate me because you feel the same way but don't want to admit
You hate because when ever i do so you are defenseless
You hate because you know am the only one who gets you
you hate because you are scared that i would leave you anytime and you will suffer
you hate because when ever i am around you are no longer you
you hate because whenever you think you don't want me i call and you find it is vice versa...lol
 
jamani i wish ningepata mdada wa kuniambia haya....lol
Boss...where were you today!?I called three times...left two voicemails and sent about five texts!!Inawezekana ulikua busy ila nimeboreka sana kwamba ulishindwa hata kunijulisha kwa text.Hata hivyo naona nikwambie tu nilichokua nakutafutia maana nisipofanya hivyo ntakua sijitendei haki ya kujitua mzigo nilioubeba moyoni mwangu.Wengine wanapenda kwaajili ya pesa na magari ila mimi sio.Hata ungekua unaishi kwenye nyumba ya nyasi na kuendesha baiskeli bado ningekupenda sana.Wengine wanapenda kwaajili ya majina na sifa ila mimi hata ungekua huna jina bado ningevutiwa nawe.Sauti yako nzito inapendeza masikio yangu...macho yako yenye kuonyesha busara yanapendeza macho yangu....mwili wako uliojengeka unapendeza nafsi yangu...moyo wako uliotulia unapendeza nafsi yangu.Mapenzi sio maneno bali matendo...nipe nafasi nikuonyeshe upendo!!
 
LOVE is deeper feeling ( you have physical changes ,
your heart beat faster ,temperature rise, pupil dilate etc
can be used to express sexual feelings etc
can be used to people who your emotional connected to eg.. family members etc)

LIKE is a bit less than love no big changers in your body..
can be used to any one and every one

asanteeni
 
aah
now u said it..
am speechless ...........
 
  • Thanks
Reactions: EMT
LOVE is deeper feeling ( you have physical changes ,
your heart beat faster ,temperature rise, pupil dilate etc
can be used to express sexual feelings etc
can be used to people who your emotional connected to eg.. family members etc)

LIKE is a bit less than love no big changers in your body..
can be used to any one and every one

asanteeni

Love is the thread that ties us together
A%20S-rose.gif

Afrodenzi (JF)
 
Back
Top Bottom