Is lema out?

TECHMAN

JF-Expert Member
May 20, 2011
2,651
1,125
Kunafununu nimezipata toka arusha kuwa kamanda G. Lema ametoka mahabusu, watu wa Arusha hembu mtujuze hili
 
Bado we subiri tu hawezi toka kimyakimya hivo bila maandamano ya kumpokea siku hiyo lazima watu wawekwe ndani nakushtakiwa hayo ndiyo yatakuwa mashtska halali si haya ya kubambikizwa.
 
Kumbeeeeeeeee! Huyu jamaa noma, Wafadhili wao" MTOTO SI RIZIKI" , mtaani hakuna wenye time nao. Kaamua kuwafuata Kisongo. Walivyo na ukame mbona atawasusa mwenye. Kazi kwenuuuuuu, Kisongo.
 
Kumbeeeeeeeee! Huyu jamaa noma, Wafadhili wao" MTOTO SI RIZIKI" , mtaani hakuna wenye time nao. Kaamua kuwafuata Kisongo. Walivyo na ukame mbona atawasusa mwenye. Kazi kwenuuuuuu, Kisongo.

masaburi at work
 
mhuni huyo ngoja kwanza anyee debe.

Kwako wewe na kwa jinsi ulivyo na akili za mbayuwayu hata Mandela ni Mhuni!
Harakati za Ukombozi wa Tanzania Lema ndiyo atakuwa mmoja ya alama ya ukombozi wa haki na uhuru wa Tanzania!

Godbless Lema alama ya Ukombozi wa Wanyonge!

Aluta Continue!
 
Back
Top Bottom