Is Kenya Preparing For War With Somali?

They just want to live like you and me (or maybe a better life) I guess.[/QUOTE]

SMATTA,
Does your above remark suggests that you are suppporting the evil activities za baadhi ya WASOMALI?

Not at all, but I admire their intelligence, business sense, and hard work. I detest the fact that they are corrupt, and can kill institutions (like immigration) so easily.
 
nimesoma habari nyingi sana kuhusu wasomali lakini wasomali wanamatatizo yao mwenyewe,hawa matatizo na waswahili,au bantu kumbuka waswahili wengi kutoka kenya,tanzania na uganda hujifanya ni makimbizi kutoka somalia ulaya,pia wasomali wanajua jambo hilo hila hawasemi kwa wazungu,ila waswahili kazi wasomali ni majambazi,roho mbaya n.k kumbuka somalia ni nchi tajiri kwa samaki na mafuta kama hujui hilo basi ujue hilo na wazungu wanajua hilo.Rwanda 1994 walikuwa wanachinjana lakini u.s.a hakutuma jeshi lakini 1992 u.s.a alikwenda somalia kwa sababu ya mali, congo wanapigana kwa sababu ya mali na watu weusi ndio vibaraka wazungu.hata kunta kinte aliuzwa na jamaa zake.Afrika ni bara tajiri na ni bara la umasikini ,omba omba ujinga na maradhi,nchi za ulaya zinaungana na afrika zinatengana,huyu msomal,nigerian,mtanzania,ghanania wote ni watu wanaishi afrika.Mhindi anasafiri kutoka asia anakuja afrika miaka mitano ni tajiri sana ila mwaafrika ni masikini kwa sababu ya roho mbaya na fitina kwani kuna kaburi la msomali na mtanzania bali ni kaburi kwa hiyo haya bob marley message africa unite lakini leo waafrika wa mashariki ni wajinga wa mwisho bora west afrika wanamaendeleo kuliko mashariki

DnTankers0106.jpg

PIX+2.jpg
[/QUOTE]
 
hilo basi ujue hilo na wazungu wanajua hilo.Rwanda 1994 walikuwa wanachinjana lakini u.s.a hakutuma jeshi lakini 1992 u.s.a alikwenda somalia kwa sababu ya mali, congo wanapigana kwa sababu ya mali na watu weusi ndio vibaraka wazungu.hata kunta kinte aliuzwa na jamaa zake.Afrika ni bara tajiri na ni bara la umasikini ,omba omba ujinga na maradhi,nchi za ulaya zinaungana na afrika zinatengana,huyu msomal,nigerian,mtanzania,ghanania wote ni watu wanaishi afrika.Mhindi anasafiri kutoka asia anakuja afrika miaka mitano ni tajiri sana ila mwaafrika ni masikini kwa sababu ya roho mbaya na fitina kwani kuna kaburi la msomali na mtanzania bali ni kaburi kwa hiyo haya bob marley message africa unite lakini leo waafrika wa mashariki ni wajinga wa mwisho bora west afrika wanamaendeleo kuliko mashariki
hebu eleza vizuri, ili kutupa nafasi ya kujua unalalamika ama unashtaki maana niko njia panda na post yako
 
Vita yeyote inapiganwa kwa ajili ya maslahi. Hivi kuan maslahi gani kenya wanapigania na wasomalia/
 
if they claim they have the strongets army in the region then its time to show off some of it, they have the reason dont they?
 
if they claim they have the strongets army in the region then its time to show off some of it, they have the reason dont they?

we have the strongest army.. military expenditure yetu si waifahamu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom