Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The problem with this war is that kenya watakwenda kupigana "Proxy war" that is pretty sure though not politically correct
Alshabab gets financial support from whom? there are conspiracy theory which suggest that US is behind this, they support alshabab, and others militarily for economic gain (kuuza silaha)
Now wasiwasi wangu ndugu zangu wakenya (wakwe by the way I have kikuyu beutiful wife) watauwa wengi bila sababu "playing tactics is better than real field battle" mtaondoka kwa aibu "US will support you inone hand and will support alshabab on other hand" mtauwana wao wanauza silaha....
America and Alshabaab is what my English teacher used to call an oxymoron, they cant be together.
Somalia ni eneo hatari sana kwa usaslama wa kenya na hasa eneo la mpakani mwa bahari na hoja ya msingi hapa ni kenya kujihami na magaidi wa al qaeda ambao wanaweza ingia kupitia somalia na hivyo kuhatarisha usalama wa maeneo ya uwekezaji ya utalii huko kenya hasa mombasa na lamu....
Haya mambo yanatisha sana. Wasomali hawa, sijuwi wanataka nini hapa duniani. Maana hata meli sasa hazipiti mitaa yao.
msiongelee kenya hata sisi hatuko salama sana...juzi wasomali wameingia Tanzania kwa mbinu mpya walikuja na majahazi hadi kwenye delta ya mto ruvu....then wakachukua mitumbwi midogo hadi ndani ndani...kukawa tayari kuna gari inawasubiri [lori]....ikawapakia wakashikiwa bagamoyo baada ya wasamaria wemma kuona....
cha kuchangaza surveillance ya NAVY kama ipo tangu kuanzia somalia,kenya, hadi wanafika kwenye delta yetu haikuwaona.....nahisi walisafiriswa na ,meli kubwa ya kisomali kwenye maji makubwa ..kabla ya kuchukua ngalawa.....
Pia inaaminika kuna wimbi la wafanyabiashara wakiubwa wa kisomali...wengine wao wakiwa walikuwa mawaziri kwenye serikali ya siad barre ...ambao wako hapa Tanzania ...wakiaminiwa na serikali na kupewa fursa na kazi mbalimbali ...ndio wanaofadhili kuleta wasomali Tanzania..na wengine huwaajiri wenyewe....na pia wanatumia faida wanayopata hapa tanzania na nchi nyingine kufadhili vikundi vya kigaidi ndani ya somalia ...ili waweze kurudisha ndugu zao madarakani!! this is seriuos problem!!

Ni kweli kabisa, hata pale Bagamoyo kuna hoteli mbili kubwa za kitalii zinamilikiwa na mtu aliyekuwa waziri katika serikali ya Siad Barre. Wapo wengine wengi tu wanaomiliki vituo vya petroli, makampuni, na mahoteli katika miji ya Bagamoyo, Dar na Morogoro.

Mkuu.
Paradise Hotel imeshaanza kufanya kazi?
Nakumbuka habari za mwisho nilizo nazo ni kwamba iliungua, lakini mmiliki wake alisikika akitamba kuwa hoteli yake ina bima ya mamilioni ya dola, kwa hiyo angeibuka na kitu kipya muda mfupi baadae. Sijui kama alishatimiza hilo.
They just want to live like you and me (or maybe a better life) I guess.[/QUOTE]
SMATTA,
Does your above remark suggests that you are suppporting the evil activities za baadhi ya WASOMALI?