Elections 2010 Is JF a "coward cluster"?

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Wakati REDET na Synovate wanaita waandishi wa habari na kutangaza "utumbo" wao kwa watanzania, nimekuwa nikijiuliza kwa nini JF nasi tusiwaite waandishi wa habari na kuwatangazia matokeo ya kura ya maoni?? Je JF ni waoga au wahariri ndio waoga?

View Poll Results: Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

Voters 9169. Jakaya Mrisho Kikwete (CCM) 21.92% Willibrod Slaa (CHADEMA) 68.62% Ibrahim Lipumba (CUF) 2.86% Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi) 5.28% Mutamwega Mugahywa (TLP) 1.32%
 
Best tushaijadili hii, ila kimsingi kunataratibu za kufuata kiserikali kabla ya kutangaza matokeo ya utafiti, ndo maana itakuwa ngumu kwetu kuyatangaza kwenye gazeti la serikali ukizingatia ni jinsi gani serikali isivyopenda kusema ukweli. Juzi synovate walitoka na kauri kuwa hawajafanya utafiti kwa urais sasa leo wanatoka na hayo. Kimsingi hawatatukubalia(serikali). tulia tu 31st yaja!
 
House of Great Thinkers indeed! Sasa wanataka kuita waandishi wa habari kutangaza matokeo ya "utafiti wao". Teh teh teh!!!! :tonguez:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom