Is it true....?

Penny za siku mbona umeadimika jamani kwenye jukwaa letu tukufu hili? Au umeamia kwenye siasa?

Nipo my shem, ni ubize tuu my dear, mwenzangu siasa niziweze wapi! mimi mtu wa malove tuu na mengineo sio siasa. Kama ni siasa ya uwanjani hapa basi utanipata tuu.
 
...itakamilisha 'effective' communication, got it?
Kumbe huwa napatiaga kumweleza Mr. nikitongozwa, especially kama jamaa sina mvuto naye na hana deal...otherwise vise versa, mwenzangu nakula kobis! napurura kwanza then nikimaliza ndo namuelezea. Lol, msinitolee mimacho ndio hali yenyewe bwana...wanasemaga tutabanana humuhumu!
 
He he..unataka watu wamseme kuwa amekaliwa na mkewe au amepigwa kipapai...

Wapo wanaume wanaosaidiana na wake zao vizuri ila wengine wakiona,aaah jamaa kwisha kazi hadi vyombo anaosha!LOL

Kama wanandoa kuulizana na kujibu maswali ni muhimu japo jinsi ya kupresent maswali na majibu yake inabidi iwe ya kistaarabu.

Bila shaka belinda waongea from the experience....wazungumza husema get it from horse's mouth. hahaha mi siwezi bwana hiyo ni kazi yake hawezi atafute beki tatu
 
Bila shaka belinda waongea from the experience....wazungumza husema get it from horse's mouth. hahaha mi siwezi bwana hiyo ni kazi yake hawezi atafute beki tatu

Fiksiman!
Haupo peke yako, mpo wengi maana kila mtu na lifestyle yake.. Kuna mazingira mengine kusaidiana muhimu, wote mnafanya kazi na mpo buzy na wawili tu. Kuhurumiana kupo muda mwingine, pia beki 3 unaweza mpeleka ughaibuni? Au waifu ajajiju afanyaje ilimradi kazi zake akamilishe?!
Halafu bora umetoa wazo awe na msaidizi kuna wengine wanataka waifu afanye kila kitu, kwamba ndo majukumu yake..mapenzi/ndoa ni kuhudumiana siyo kumhudumia mtu mmoja peke yake!
 
kwa kweli i've enjoyed reading this thread these past few days!

i used to chuna nikitongozwa na washkaji wa mr. but nikajisahau siku moja wakati tumekaa kwenye stuli ndefu namsindikiza mr na visavanna vyangu, si nikamwambia mshkaji live, 'he, we mbona unanikonyeza tena karibu kila siku?!?!' duh, ukazuga ugomvi nikakoma. nikaona duh as boring as my life may be... this drama is not for me! Now what i do is tell them upfront, 'mi siwezi kukaa na kitu, ni mmbeya sana... sometimes najisahau natangaza siri zangu mwenyewe, so proceed with caution coz ntakuja jisahau na kuropoka kusipo afu mtajuana wenyewe!' it has kinda been working, not 100% foolproof but inanisogezea siku.
 
Sio lazima ila ni vizuri kumwambia mkeo au mumeo kwa kila kitu unachokifanya, inaleta maana nzuri pia mahusiano mazuri.
 
binadamu wote wana mambo yao binafsi.........

na ukiwa wewe upo kama open book kwamwenzio mwisho ata lose interest

watu wanakuwa na interest na mystery.......

ndio maana sometime watu hushauriwa kukaa mbali kidogo na wapenzi wao ili kutengeneza hamu

wanasema how am i gonna miss you if you always here???????????????????
 
binadamu wote wana mambo yao binafsi.........

na ukiwa wewe upo kama open book kwamwenzio mwisho ata lose interest

watu wanakuwa na interest na mystery.......

ndio maana sometime watu hushauriwa kukaa mbali kidogo na wapenzi wao ili kutengeneza hamu

wanasema how am i gonna miss you if you always here???????????????????


Okay I see!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom