Is it true....?

ukinipa nafasi nitakuonjesha ...

...Mungu wangu! :eek: !!! mke wa mtu sumu baba'ke... hujawahi sikia tego wewe?

hehehehe kama unajua kitakacho tokea kwa nini na wewe usifikirie kama jamaa atakuwa amesha maliza na hii ni defence mechanism ikija kukufikia kisiwe kitu kigeni kwako.

sijakupata

...anamaanisha, mume anakwambia fulani ananifuata fuata, kumbe tayari keshatembea naye. Anatumia mbinu hiyo kujikinga ili hapo baadae utapokuja ujua ukweli akwambie ni wazushi tu hao, unaujua ukweli!
 
...Mungu wangu!
icon_surprised.gif
!!! mke wa mtu sumu baba'ke... hujawahi sikia tego wewe?

Mzee ujanja wote wake za watu no....nadhani pia wadada waume za watu balaa !
 
...

...anamaanisha, mume anakwambia fulani ananifuata fuata, kumbe tayari keshatembea naye. Anatumia mbinu hiyo kujikinga ili hapo baadae utapokuja ujua ukweli akwambie ni wazushi tu hao, unaujua ukweli!
Yeah!
Na kweli wakati mwingine lazima upime sana kile unachoambiwa vinginevyo ubaweza kuanzisha vita na mtu ambaye siye! Au utakuta kamfuata akatolewa nje na anajua utakujaambiwa - defence ni kuwahi kutoa taarifa!
 
Hongera, kunawengine wakipewa hio viza ndo kama umempa chizi rungu...ila kama hiyo viza inatoka kwa wote wawili basi mambo poa! Mimi binafsi napenda mambo yetu yaende at par (sijui nimepatia yani kwa kikwetu sambamba).

Mamii ni kweli ruhusa sambamba inapendeza isiwe nashindano tu!
Sema kwa mwanamke haipendezi kurudi asubuhi, ukitoka na shosti zako angalau mpaka midnight siku imeisha na mmefurahia ladies outing.
 
Ukirudi kwangu asubuhi utakuta begi mlangoni linakusbili tena bila maelezo na barua 3 ukafungulie kwenu
 
...dooooh! sidhani kama nilivyomuelewa, ngoja aje mwenyewe hapa BJ atuhabarishe! :D

Mbu!
Ni kwamba mara nyingi Mr huwatoka naye, benet benet...ila kwa kuwa ana marafiki wazuri mara chache atakuwa anapata visa ya kuwa na rafiki zake ....najua Masa si toto tundu....pia wakati mwingine na mimi ninaweza toka na best zangu mara kadhaa ila nitawahi kurudi no pressures japo mpaka kumekucha itakuwa hapashikiki halafu kwa mwanamke haipendezi, familia na watoto watashangaa ni mama wa aina gani!..
 
Ukirudi kwangu asubuhi utakuta begi mlangoni linakusbili tena bila maelezo na barua 3 ukafungulie kwenu

...:D ha ha haa... una wivu sana wewe!

Mbu!
Ni kwamba mara nyingi Mr huwatoka naye, benet benet...ila kwa kuwa ana marafiki wazuri mara chache atakuwa anapata visa ya kuwa na rafiki zake ....najua Masa si toto tundu....pia wakati mwingine na mimi ninaweza toka na best zangu mara kadhaa ila nitawahi kurudi no pressures japo mpaka kumekucha itakuwa hapashikiki halafu kwa mwanamke haipendezi, familia na watoto watashangaa ni mama wa aina gani!..

...kule mitaani kwetu mdundiko, taarabu na mkesha mpaka "salaaaah, salaaah...!" sidhani kama wale 'kina mama-vidole' juu wote ni wajane,..sijui lakini! :(
 
Mbu!
Ni kwamba mara nyingi Mr huwatoka naye, benet benet...ila kwa kuwa ana marafiki wazuri mara chache atakuwa anapata visa ya kuwa na rafiki zake ....najua Masa si toto tundu....pia wakati mwingine na mimi ninaweza toka na best zangu mara kadhaa ila nitawahi kurudi no pressures japo mpaka kumekucha itakuwa hapashikiki halafu kwa mwanamke haipendezi, familia na watoto watashangaa ni mama wa aina gani!...

Haya mama, ila mambo haya ndo yamewafanya wanaume wawe na vichwa nazi kwa kuwalelea na mambo kama haya...nashukuru wakwangu tulishakubaliana toka awali na ninafurahia kupata mme kama huyu. Endeleeni kuwafuga mkidhani ndo watawaheshimu...kumbe wanawang´onga wakiwaacha ndani mpaka asubuhi. Yeye kama kichwa cha familia nivizuri kuonyesha mfano mzuri. Hata hivyo na wapa pole hao wanaume maana hao wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.
 
...pheeeeeeeeeeewwww, Penny weye huyo ama? :D nimefurahi kusikia hilo. zile posts zako za awali zilikuwa zinakila dalili umeuvaa mkenge!
 
Mweee, ilikuwa ni harakati ya kujinoa baba na nyingine kutoka kwa mashogaa. Ila sio siri mbu, hapa ni mwisho wa mawazo. JF oyeeeeeh!
 
wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.

Penny

Usituharibie wake zetu bana....my honey can not do that to me....believe it....kwanza hana mambo ya kiswahili...got it?
 
Jamani shem za leo, vipi hang over! oops sorry kumbe it is tuesday...jamani sio kwamba nawaharibia, nilikuwa najaribu kuwapa ukweli halisi, kama unaonekana uharibifu, am very sorry my shem.
 
Haya mama, ila mambo haya ndo yamewafanya wanaume wawe na vichwa nazi kwa kuwalelea na mambo kama haya...nashukuru wakwangu tulishakubaliana toka awali na ninafurahia kupata mme kama huyu. Endeleeni kuwafuga mkidhani ndo watawaheshimu...kumbe wanawang´onga wakiwaacha ndani mpaka asubuhi. Yeye kama kichwa cha familia nivizuri kuonyesha mfano mzuri. Hata hivyo na wapa pole hao wanaume maana hao wanawake wanaojidai kuwalea ndo balaa! maana mr. akirudi asubuhi ujue kuna njemba ilitolewa asubuhi hio hio. Kaziii kweli kweli.

Shorti mwenzangu kila shetani na mbuyu wake!..Mfano kwa mtu niliyenae ndo tunavyoishi kwahiyo maisha safii,viji-arguments vidogo vidogo havikosekani na kuna muda wa kuwa mbogo pia candy!...
Ukishindana na mwanaume utaumia tu mwisho wa siku mamii..kwanza ukimpa ruhusa atoke unafikiri atarudi asubuhi kweli? Nope, mwanaume anayeheshimu familia hawezi kufanya hivyo..Tatizo utibaigana ukizidi lazima aone home kama Arsenal..he he
 
Jamani shem za leo, vipi hang over! oops sorry kumbe it is tuesday...jamani sio kwamba nawaharibia, nilikuwa najaribu kuwapa ukweli halisi, kama unaonekana uharibifu, am very sorry my shem.

Its Wednesday! Well it depends where you're....maana Bellies akisoma hii mmmmhh.....hawezi lakini....niko poa sana aisee pressure ya kazi na maisha...unajua tena na mipango ya kuvuta mwenza basi ndo vile...ndugu yangu simsikii kabisa ama mambo ya economic recession?

Wasalaam

Shemejio Masa
 
...kule mitaani kwetu mdundiko, taarabu na mkesha mpaka "salaaaah, salaaah...!" sidhani kama wale 'kina mama-vidole' juu wote ni wajane,..sijui lakini! :(

LoL..siyo wajane, hata mdumange mimi nacheza lakini goma haiwezi kunipanda kichwani kama kichaa nikajisahau yakhee..Tunatofautiana mwisho wa siku..
 
Its Wednesday! Well it depends where you're....maana Bellies akisoma hii mmmmhh.....hawezi lakini....niko poa sana aisee pressure ya kazi na maisha...unajua tena na mipango ya kuvuta mwenza basi ndo vile...ndugu yangu simsikii kabisa ama mambo ya economic recession?

Wasalaam

Shemejio Masa

Pole na kazi shem si unajua tena ndo zituwekazo humu duniani tena...kwa kweli beiberry (Balantanda) is very fine, ni huo ubize tuu wa hapa na pale ila ataonekana hivi karibuni. Mimi naamini nyinyi na your Bellies you are fine...tatizo ni kwa hao miguberi mingine wasioelewa what goes around comes around.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom