Is It True Tz And Ug Ladies Are Better Than Kenyan

Tukiongelea uzuri ni sahihi!! Tunaongelea maisha ya kifamilia, unaweza kuwana mke/mume mzuri wa sura lakini furaha ndani ya nyumba hakuna!
Yah navosema uzuri ni pamoja na hayo yote nimejumuisha, kila mtu anasababu za kumpenda msichana fulani
 
TZ's women are the best but unfortunately TZ's men are the worst!
 
TZ's women are the best but unfortunately TZ's men are the worst!

Aisee Ennie, hebu ipe uzito sentensi yako bana!
Halafu hii si ya kwanza kuiskia, hasa kwa wadada wa aina flan faln wakiponda mameni wa kibongo!.....hebu tupe uzoefu wako kidogo

!
 
Mi nina mtazamo tofauti,elimu ni tatizo.Wanawake wengi(si wote) wakishapata elimu,degree,masters,PhD e.t.c ,hawashikiki kabisa,kiburi na jeuri kwa saana.Most of kenyan gals are highly educated compared to Ugandan and Tanzanian gals!
 
Mwanamke ukishasoma unajisahau na kujilinganisha na mwanaume, kumbe unapotea tu,mbona hata hapa pia wengine wako hivo?
 
Aisee Ennie, hebu ipe uzito sentensi yako bana!
Halafu hii si ya kwanza kuiskia, hasa kwa wadada wa aina flan faln wakiponda mameni wa kibongo!.....hebu tupe uzoefu wako kidogo

!

Madada gani hao? Mamen wa TZ wanajiona miungu watu na hawathamini wake zao.
 
tuko tofauti hata kenya kuna warembo pia kama walivyo tz na uganda wacheni ubaguzi........:A S 103:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom