Naturally, sex is achieved with an erection that takes the manhood away from the body and therefore cannot be bent towards ones own body for self-sex.
Mkuu inategemea steam zimejaa upande upi, kuna wengine wanajinsia mbili lakini moja huwa inaizidi nyenzake. Matatizo haya South Africa ni mengi sana, na kuna hata hospitalin zinajaribu kukata jinsia moja wakati wa utotoni. Kasheshe inakuja pale mzazi anapo ng'ang'ania jinsia ikatwe then mtoto anakua na ana base katika jinsia aliyo katwa.Ngoja tumulize Semenya mwanariadha wa bondeni kwa mkulu Zuma