Is it true?.... Please enlighten me!

....There is no guarantee guys...inategemea na nyinyi wanandoa wenyewe mbona kuna rafiki zangu wawili ndoa zao zilivunjika ndani ya miaka 2 tu? Mimi mpaka sasa ni 8 years nasonga mbele licha ya ups and downs za hapa na pale ambazo ni jambo la kawaida kabisa.

So people haya mambo yasiwaumize kichwa sana kama umeamua kuoa au kuolewa basi you have to accept that na ubadilike accordingly. Kitu kikubwa nilichogundua ambacho huchangia ndoa kuyumba wengi wa wanandoa kutokuwa tayari kukubali kuwa ukishaoa au kuolewa unatakiwa kusahau kabisa your past. Kama ulikuwa na girl friend (s) au boy friend (s) kwa kweli bila kuwatema hao kuna uwezekano mkubwa wakakuyumbisha katika ndoa yako. Uzoefu unaonyesha kuwa jamaa akigundua umeoa au kuolewa kuna tendency ya kukumbukia zama zile kuwa mlipendana na kuzoeana so na mawasiliano yanaendelea mwisho mwenza anagundua songombingo linaanzia hapo.

Kwa mtazamo wangu hakuna jambo linaloleta shida katika ndoa kama mke au mume akigundua mwenza anamsaliti. Matatizo mengine yote kama matumizi ya pesa sijui, vitu gani ni mambo yanayoweza kuzungumzika na mtu aka-reform.

So people if you are planning for marriage habari ndio hiyo!!!!!

Kitufe cha like sina..kaka
na kikubwa ni kila mtu kuwa na nia ya kudumu katika ndoa. so mtatikisika but mta dumu.ila kama mmoja anajiona yuko karibu na exit door lazima jahazi liyumbe.yangu chaliiii after 7 yrs.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom