Is it the end of Adobe flash ?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Adobe wametangaza kuwa wanastopisha development flash player kwa mobile kwa sasa na wanajikita kwenye future Web standard ambayo ni HTML5. So mpaka hapa ina maana flash inaoenakan inafaa kwa Desktop application Lakini je
  • Hizi sio dalili kwau adobe flash imefikia au itafikia mwisho hata kwenye desktop?
Soma habari zaidi DALY TECH hana Technocruch

Kwa hiyo japo HTML5 ni recomendation tu na bado haijawa standard rasmi wadau tunatakiwa kunaza ufahamu fahamu zaidi na kujua tofauti ya XHTML na HTML 4.1 na HTML5.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom