Is it that the world is not fair or God does not exist.

Nadhani misahafu ndio imetufikisha hapa tulipo! Moja, kwa kuwa misahafu inasema tajiri ni ngumu kufika mbinguni. Matokeo yake ni kuleta dhana ya kupeana nafasi, ya kwamba tajiri atafaidi duniani, hana haja ya faida ya mbinguni. Maskini anahofu ya moto wa milele hivyo hayuko tayari kupigania haki yake, kuiba, kuwaadhibu majajiri ambao ni wezi wa share yake. Matarajio ya maskini ni kuwa tajiri ataadhibiwa na Mungu mwenyewe.

Hitimisho: nadhani kizazi cha maskini kilichopo sasa ni batili (hakina mtazamo wa mbali). Tumeambiwa tuitawale dunia na mambo yake. Sisi tumeshindwa, dunia ya wadhalimu inatutawala. Tumeshindwa kutekeleza maagizo ya Mungu. Kimsingi, nadhani Mungu ameamua kuteketeza kizazi hiki ili aanze upya na binadamu watakao kuwa tajiri na maskini wenye kujua haki na wajibu wao. Naamini Mungu yupo kwa kuwa napumua kwa msaada wake, nayo ni huruma tu kuona kama nitabadilika na kutambua wajibu na haki zangu, amasivyo ataniondoa siku yoyote!
 
Unajuaje kwamba unapumua kwa msaada wake ? Indeed, unajua au unaamini ?
 
The Judeo-Christian God of the Bible is constituted by these key characters: Love, Mercy, Grace, Justice, Rightenousness and Truthfulness - He only operates according to these characters, you may call that a limitation if you wish to that is why it is so important to understand the 'contradiction' inherent in the call for God to do actions that are loveless, merciless, graceless, unjust, unrighteous and untruthful; How can he act in contradiction to who He is? Is it possible for God not to be God - to undo His Godness nature?

If god cannot undo his "godness' nature, then god is not all powerful. He does not have the power to "ungod" himself, in fact he is a slave to his "godnes" and cannot control that one aspect of his existence.

So are you saying god is not all powerful? There is something god cannot do after all ?
 
Yeah, kama kafanya makusudi kuingia mbinguni kuwe kugumu namna hiyo kwa tajiri huoni kwamba hayuko fair ?

Nijuavyo mimi hamaanishi wote. Ila kuna wale ambao utajiri wao haujapatikana kwa njia halali na pia matajiri wanajisahau kwa kufanya anasa bila kuwasadia wanaotaabika.
 
If god cannot undo his "godness' nature, then god is not all powerful. He does not have the power to "ungod" himself, in fact he is a slave to his "godnes" and cannot control that one aspect of his existence.

So are you saying god is not all powerful? There is something god cannot do after all ?

Have I ever claimed that there is nothing that God cannot do? I don't think I have to put my words on God's mouth here! This is what God of the Bible says about Himself: "I change not" (Malachi 3: 6).
 
Maandiko yanasema hivi " jaribu halikuwapata ila lile lililo ndani ya uwezo wenu" so sioni connection ya Mungu na matatizo yetu, tumepewa utashi sie tofauti na wanyama lakini hebu oneni wenyewe, pale tandale taka zimezagaa, kweli tusife kwa kuhara? umeambiwa usizini, haya umepata ngoma, utasema ni Mungu kweli? umeona kura zako zimeibwa na CCM umekaa kimya? unaishia kulalama tu? kweli tumlaumu Mungu? sioni uhusiano wa Mungu hapa, Mungu anatuhimiza tufanye kazi ndipo atubariki na sio kushinda na kupiga stori
 
Umaskini mwingine unatokana na laana na kurithi kutokana na vizazi na vizazi vilivyopita.
 
Have I ever claimed that there is nothing that God cannot do? I don't think I have to put my words on God's mouth here! This is what God of the Bible says about Himself: "I change not" (Malachi 3: 6).

Then god is not all powerful, for he cannot change.

If he cannot change, I will not be surprised to find out he cannot do many things.

In fact ni rahisi kusema hakuna ushahidi kwamba mungu yupo at all.
 
Umaskini mwingine unatokana na laana na kurithi kutokana na vizazi na vizazi vilivyopita.

Kwa nini mungu muumba yote aliuumba umasikini in the first place? Kwa nini aliumba ulimwengu ambao umasikini unawezekana?

Alikuwa hana uwezo wa kuumba ulimwengu usio umasikini au hakutujali tu ?
 
Nijuavyo mimi hamaanishi wote. Ila kuna wale ambao utajiri wao haujapatikana kwa njia halali na pia matajiri wanajisahau kwa kufanya anasa bila kuwasadia wanaotaabika.

Umepata wapi hii? Au unaongezea maneno yako tu? Haijaandikwa "matajiri waliopata hela isivyo halali" imeandikwa "matajiri"
 
I say god does not exist, and that is why the world is not fair. It is inconceivable that there exists a just, all powerful god who made a world that is inherently unjust, with the law of the jungle ruling practically all over nature.

Ndiyo maana wajanja wakasema "God helps those who help themselves". Hii ni aina ya kidiplomasia tu ya kusema "look after yourself, god does not exist".

Mungu mwenye upendo na nguvu zote angekuwepo angewezaje kuwapelekea maskini WaHaiti majanga baada ya majanga? Mara matetemeko ya ardhi, mara cholera ?
every time i read this post, nachuma dhambi ya kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu!!! the main reason being the suffering of many "strongest" believers in the arm of strong believers (maskini wa mbagala waliobomolowa nyumba namabomu na RA - is my case)

Too sad
 
Umaskini mwingine unatokana na laana na kurithi kutokana na vizazi na vizazi vilivyopita.

Well said KJ, but one has golden opportunity to repent and change the trend. Akili na utashi tu do inatakiwa.

I say god does not exist, and that is why the world is not fair. It is inconceivable that there exists a just, all powerful god who made a world that is inherently unjust, with the law of the jungle ruling practically all over nature.

Ndiyo maana wajanja wakasema "God helps those who help themselves". Hii ni aina ya kidiplomasia tu ya kusema "look after yourself, god does not exist".

Mungu mwenye upendo na nguvu zote angekuwepo angewezaje kuwapelekea maskini WaHaiti majanga baada ya majanga? Mara matetemeko ya ardhi, mara cholera ?

Sounds logical but not practical. There more to causes of catastrophes than what God can do. But dont mean there things God cant do!
 
Huyo Mungu hamtaki kumtii then mnalalamika kwa nini duniani kuna matatizo! Ama kweli binadamu kiumbe wa ajabu sana!!!!
 
Sehemu kubwa ya matatizo inatokana na imani ya mungu, mauaji yamefanyika vitani kwa jina la mungu, wakoloni wametufanya watumwa kwa jina la mungu. Kama binadamu akijielewa yeye ni nani na kuondoa utegemezi kwa mungu angeweza kupunguza matatizo yake sana.
 
A consensus has been reached that life is what u make it, or how u make it. Do i make politics? Do i bring natural calamities? Am i the only one who shapes my destiny? How? Do i decide what to do and how and it happens exactly? What disposes what i propose? If by chance life was under my/your control, there would have been no laments. So long as life is grace and beyond our control, tribulation, hardships, joy, happines, etc. are part and parcel of our existence. Life and me/you are two parties who enter into a contract to adhere to life's orders. If that comes into your understanding, then you should be supple enough to life's ups and downs while playing your part
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom