Is it safer to mess up with someones husband than someones wife?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Ni rahisi kutamkika na hata humu JF sio uncommon kukutana na statement ya "mke wa mtu sumu". Kwa upande wa pili, ni rahisi kukutana na statement "achana na nyumba ndogo, utaharibu ndoa yako". Hizi statement mbili zote ni nzuri na naamini zina nia njema. Lakini ukizi-analyse kidogo unaona kuwa watu wanaamini kuwa mahusiano kati ya mwanaume fulani na mke wa mtu yanakuwa na hatari zaidi kwa huyo mwanaume mwizi pindi akikamatwa, while mahusiano kati ya mwanamke fulani na mume wa mtu yanakuwa na hatari zaidi kwa ndoa ya huyo mwanamume pindi wakikamatwa. Kwa maneno mengine "nyumba ndogo haipo katika hatari kubwa sana as compared to "kidumu".....

........ Is that correct that it is safer for a woman to mess up with someones husband than it is for a man to mess up with someones wife?
 
emotional pain ni ile ile ila kwa mwanaume akijua unakula mkewe jua utapata kichapo cha maana kwa kuwa uwezo na nia anayo. Kwa mwanamke akijua unakula mmewe si rahisi kutembeza kipigo kwa kuwa wanawake wengi hatuna nguvu za kupigana. Ukiangalia hata incidence nyingi za kufumania ni zile ambazo mwanaume kamfuma mkewe ndio kunatokea madhara kama mauaji au kuumizana. Mwanamke akimfuma mmewe anaishia kulia na sana sana kutukana.
 
Back
Top Bottom