Mwanajamiione
Personally I believe inawezeka provided kuna clear lines as to what entails the said friendship relation.You need to make sure, that he is clear on what's acceptable and whats not. Also be ready to stand your ground as far as the consequences are concerned when and if the line is crossed.
Sidenote
Pole I know its easier said than done, but in the long run I think it's mighty important for the children's well being to have parents who are civil to each other
My self ni vigumu sana kuja kumpenda mwanamke yoyote yule with my all heart, nitakachojitahidi ni kumuonesha kwamba namjali na nampenda lakini whatever the case i have nothing to lose from any woman.Matola aksane. Hivi kuna kutengana pasipo maumivu iwapo lengo lenu tangu mwanzo ilikuwa ni kuwa pamoja forever?? But I think you are very right kuwa fuata moyo wako unavyokutuma but sometimes unajikuta unaudoubt hata huo moyo wako maana shinikizo linakuja kila pembe!
very good one,
Ila si lazima kuwa friends ili muwe civil... the most important ni kujua ramani ya kila mmoja... i would talk to her about kids, school, future plans, holidays of our kids but not inviting her around
Kwa kuanza kualikana mnaanza kuwanyima amani waliowazunguka, either new friends au hata ndugu
Usiombe ualike ex-wife halafu ndugu zako au wa mke mpya wawepo and watoto nao wawepo
very good one,
Ila si lazima kuwa friends ili muwe civil... the most important ni kujua ramani ya kila mmoja... i would talk to her about kids, school, future plans, holidays of our kids but not inviting her around
Kwa kuanza kualikana mnaanza kuwanyima amani waliowazunguka, either new friends au hata ndugu
Usiombe ualike ex-wife halafu ndugu zako au wa mke mpya wawepo and watoto nao wawepo
Elyer darling nimekupata vilivyo..... muelewe maana ya msamaha. Ila unajua bwana once a lover is always a lover ukimpa nafasi na ukaribu. Remember this time atakuwa tayari keshakujua udhaifu wako, nini hupendi na nini unapenda, anawezaamua kuku-manipulate through that friendship na wewe kwa kuwa ulishawahi kumpenda ukajikuta unaanza zile za may be amechange, may be amelearn his/her mistakes e.t.c. provided kuwa hakuna mwenye relationship mpya ambayo iko defined, mnawezajikuta mnajaribu tena .... au ni mie tu na mijiwazo yanguSweaty,kila kitu kinawezekana,lakini jambo moja tu muwe mnajitambua!Kama mtakua hamjui maana ya msamaha na kujua majukumu yenu,kumsamehe mtu haina maana kurudisha mahusiano ya kimapenzi,mambo mengine yataendelea ila sio love!
inategemea na kutengana kwenu. Na kama kila mtu yupo kwenye mahusiano mengine inawezekana bila longolongo
Aksante Nemo kwa hili bandiko lako. Nadhani utakuwa sahihi iwapo tu wote wawili mnakubaliana na hizo limits but kama kutakuwa na mmoja wenu ambaye anafikiria by you two getting close together in the name of friendship anaweza kuwin your heart back, I think it might be a wrong move au??
Sweetie nazungumzia wale ambao wametengana na kuwa bado hawako supposed to have other relationships au hata kama wanazo basi hawako tayari kuonyeshana pengine kwa sababu maalumu.
Hapo kwenye namna mlivyotengana unazungumzia kutengana kwa ugomvi au amani ((kuna kutengana kwa amani??)?
nakubaliana na wewe BADILI TABIA. Ni kweli kabisa kuwa inategemea kama uko kwenye mahusiano but supposed uko kwenye kipindi cha mpito!? Una mahusiano but kwa kuwa tu this chapter ya kwanza haijakuwa closed officially, huwezidisclose mahusiano mapya and the only way ni kuavoid getting closer to your ex.
The Boss, kusema ukweli kwangu imeniwia vigumu sana yaani zaidi ya salamu na kilichokuleta siweziendelea kustorisha. Sasa hapa ninapoambiwa eti tuwe friends hata kama we are not getting back together!!! Ah na kozi yenyewe naacha kwa kweli.
h
Unaweza sana, hujaiweka akili yako kwenye kufanikisha hilo. Na usiache hizo kozi ya anger management. Labda bado uko kwenye denial period, so ukifuatilia kozi waweza ikubali hali halisi kwa urahisi zaidi.
Friends?? Mnatoka out kabisa? Sidhani kama inawezekana, mtashirikishana tu kwenye matters zinazohusu watoto!!
Friends?? Mnatoka out kabisa? Sidhani kama inawezekana, mtashirikishana tu kwenye matters zinazohusu watoto!!
Inawezekana sasa, kama watakua wote wamesha kua na maisha mapya. Don't force it lakini...
Mi najua na naamini inawezekana, tena sana!