Is it possible?: One in Four Egyptians,is Illiterate!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
735
Nimeshangazwa na nchi kongwe ya Misri ambayo ndiyo mwanzilishi wa Hesabu duniani na tena Algebra in particular, kuwa na idadi ya wajinga ya kiasi hicho! Hata the so called modern civilization,ilianzia kwao.. Ama idadi ya watu nayo ni chanzo cha nchi kushindwa kujiendesha vema? Source ya habari hii ni Press TV: Iran
 
Tofautisha baina ya Misri ya mafarao na hawa waarabu koko wahamiaji kutoka arabuni waliopo ktk Misri ya sasa. Usichanganye madesa. Algebra haikuanzia Misri, kitovu cha elimu ya kale kwa waarabu ilikuwa Baghdad (akina al Khawarizmi) kama ilivyokuwa akina Einstein walivokuwa Ujerumani na Austria. Halafu unaposema modern civilization sijui una maanisha nini?

Lakini ukumbuke hata akina al Khawarizmi wakati wanafanya shughuli zao, sio kwamba umma wote ulikuwa umeelimika. Kwa nionavyo, ukosefu wa elimu bora (kama huduma bora zingine za kijamii) ni matokeo ya serikali isiyoongozwa na watu sahihi. It has been that way kwa nchi zote za dunia ya tatu.
 
abdulhalimu nakubali maelezo yako. Lakini wewe kama mfuatiliaji wa habari mbalimbali za mataifa ya kiarabu. Egypt inasifika kwa lipi/yapi Africa? Tunajua Zanzibar ilikuwa nchi ya kwanza ya Africa kuwa na TV ya rangi..TVZ.
 
Wanasema ni first civilization,Egypt na Mesopotamia. Naomba kujuzwa,Mesopotamia ndiyo Iraq ya sasa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom