chuo ni sua from horticulture 2 food science &technilogy
Kwa Sua usiwe na shaka hawana usumbufu kwenye kubadili, mkishafungua chuo, huwa kuna muda wanatoa kwa anayetaka kubadili couse..
Hayo ni ya mwaka jana kurudi nyuma, kwa mujibu wa mwongozo wa tcu kuanzia mwaka huu kuendelea huruhusiwi kubadilisha program u're admitted in due to ur choice of preference. Source TCU Students guidebook 2012/13. Pia uliza baadhi ya wanao anza registeration kwani hii ni kwa vyuo vyote. Sababu ni kurahisisha utunzaji record kwa tcu.