Is it Ethical to monitor your spouse?

It is still ethical and i will go to extremes by saying that `its part and parcel of daily life!

Jamani, watu mbona wanapoagana asubuhi, mke na mume wanaambiana ....take care!!!

Ya nini hiyo kama mnaaminiana?

Mwache basi ajiendee kama unaamini atajilinda!

Kuspy ni muhimu mno, na linatakiwa kuwa zoezi endelevu!

Bila hivyo, wanawake watakuueni na maisha mnayapenda!

Pakajimmy mimi na wewe tunaongea lugha moja (isipokuwa hapo kwenye wekundu) si wanawake peke yao hata wanaume. Ungesema tu kuwa spouses wenu watawaueni lol

Kusema kweli nakuunga mkono kabisa yaani liwe zoezi endelevu mimi nafikiri zile methali za ukimchunguza bata sijui kuku kwa maisha ya sasa tuziache. ni wazee wetu peke yao walioweza kuishi maisha ya kutochunguzana kwa sababu the only fear they had ilikuwa ni mimba za nje na gono kama ugonjwa mkubwa wa zinaa. Na si zama zertu hizi ambazo uaminifu umepungua kwa kiasi kikubwa tena kwa wanawake na wanaume na magonjwa ya hatari zaidi yakiwa yametanda.

Jamani precaution is better than cure- especially ukiona dalili za kusalitiwa please shtuka, chunguza kuconfirm! (Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha private detective services specifically for uncovering the cheating spouses)
 
...inapofikia 'unachunguzwa' umeandika nini kwenye JF-mahusiano na mapenzi, ujue mwenzio keshapatwa na kaugonjwa ka akili!

...ndoa vituko kweli wallahi!...:D
Mh kaka ni ujumbe unajaribu kuufikisha kunako au? maana nimecheka kwa nguvu ati
 
Pakajimmy mimi na wewe tunaongea lugha moja (isipokuwa hapo kwenye wekundu) si wanawake peke yao hata wanaume. Ungesema tu kuwa spouses wenu watawaueni lol

Kusema kweli nakuunga mkono kabisa yaani liwe zoezi endelevu mimi nafikiri zile methali za ukimchunguza bata sijui kuku kwa maisha ya sasa tuziache. ni wazee wetu peke yao walioweza kuishi maisha ya kutochunguzana kwa sababu the only fear they had ilikuwa ni mimba za nje na gono kama ugonjwa mkubwa wa zinaa. Na si zama zertu hizi ambazo uaminifu umepungua kwa kiasi kikubwa tena kwa wanawake na wanaume na magonjwa ya hatari zaidi yakiwa yametanda.

Jamani precaution is better than cure- especially ukiona dalili za kusalitiwa please shtuka, chunguza kuconfirm! (Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha private detective services specifically for uncovering the cheating spouses)

Ok MJO, NASAHIHISHA HAPO MAHALA PASOMEKE 'SPOUSES"
Nafurahi kwamba tumekubaliana at least kwa hili.
 
Nakuomba hii kauli usielte hapa jamaa wanaweza kukutafuta na kukupeleka sehemu ya tukio sijui utasemaje.

Kingine huwa ukijitangaza hivyo ujue hujapatikana naomba muombe mungu aendelee hivyo ila kama humu JF wanakufahamu na wanamfahamu my waifu wako basi utakuja kushuhudia hapa.

ndio hapo dada.......
 
Chaku nimekuelewa kabisa ila sasa hapo pa kumwacha afanye atakalo asije akakuletea magonjwa bure humo ndani na si unajua ni mume/mke wako huruhusiwi kumnyima?
It is still ethical and i will go to extremes by saying that `its part and parcel of daily life!

Jamani, watu mbona wanapoagana asubuhi, mke na mume wanaambiana ....take care!!!

Ya nini hiyo kama mnaaminiana?

Mwache basi ajiendee kama unaamini atajilinda!

Kuspy ni muhimu mno, na linatakiwa kuwa zoezi endelevu!

Bila hivyo, wanawake watakuueni na maisha mnayapenda!

....pheeeeeeeeew! Mj'1 na pakajimmy makombora mnayoyarusha balaa... ingekuwa mnakaa nyumba moja kama mume na mke kwa mentality hizi 'pangekuwa hapatoshi'! , huenda hata kufuli (aka 'chupi') zingenuswa...:D:D:D

Jinsi unavyozidi kumlinda na kumchungua naye ndivyo anavyobuni mbinu mpya na kukutoka vile vile... utalindaje 24hrs bana? ndio kusema asipokuwa machoni unampigia video-call au?

Hamjawahi sikia bi mrembo anamdekea mumewe ilhali yupo kiunoni mwa mwanaume mwingine? Mnatafuta kujipa presha na kisukari bure...ukifa mwenzio ajinafsi kwa raha zake....

wacha!
 
Pakajimmy mimi na wewe tunaongea lugha moja (isipokuwa hapo kwenye wekundu) si wanawake peke yao hata wanaume. Ungesema tu kuwa spouses wenu watawaueni lol

Kusema kweli nakuunga mkono kabisa yaani liwe zoezi endelevu mimi nafikiri zile methali za ukimchunguza bata sijui kuku kwa maisha ya sasa tuziache. ni wazee wetu peke yao walioweza kuishi maisha ya kutochunguzana kwa sababu the only fear they had ilikuwa ni mimba za nje na gono kama ugonjwa mkubwa wa zinaa. Na si zama zertu hizi ambazo uaminifu umepungua kwa kiasi kikubwa tena kwa wanawake na wanaume na magonjwa ya hatari zaidi yakiwa yametanda.

Jamani precaution is better than cure- especially ukiona dalili za kusalitiwa please shtuka, chunguza kuconfirm! (Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha private detective services specifically for uncovering the cheating spouses)

MJ1 utastahimili?.....lol
 
....pheeeeeeeeew! Mj'1 na pakajimmy makombora mnayoyarusha balaa... ingekuwa mnakaa nyumba moja kama mume na mke kwa mentality hizi 'pangekuwa hapatoshi'! , huenda hata kufuli (aka 'chupi') zingenuswa...:D:D:D

Jinsi unavyozidi kumlinda na kumchungua naye ndivyo anavyobuni mbinu mpya na kukutoka vile vile... utalindaje 24hrs bana? ndio kusema asipokuwa machoni unampigia video-call au?

Hamjawahi sikia bi mrembo anamdekea mumewe ilhali yupo kiunoni mwa mwanaume mwingine? Mnatafuta kujipa presha na kisukari bure...ukifa mwenzio ajinafsi kwa raha zake....

wacha!

hapo ndipo panaponichosha, ndio mana naonaga ajilinde mwenyewe bwana..acpoweza tutalindana kwa kuwindana tu mpaka kieleweke.
 
Mh kaka ni ujumbe unajaribu kuufikisha kunako au? maana nimecheka kwa nguvu ati

... naaaaaaam (msg delivered). Hujidhani mjaaanja kuchungua mbu kaposti nini leo. Hatelezi mtu wala kujikwaa ulimi hapa, hili ni game la 'Draft' bana, tunalamba dume tu...

...Kuchunguzana ni kujitafutia 'malaria' bureeee! :D
 
....pheeeeeeeeew! Mj'1 na pakajimmy makombora mnayoyarusha balaa... ingekuwa mnakaa nyumba moja kama mume na mke kwa mentality hizi 'pangekuwa hapatoshi'! , huenda hata kufuli (aka 'chupi') zingenuswa...:D:D:D

Jinsi unavyozidi kumlinda na kumchungua naye ndivyo anavyobuni mbinu mpya na kukutoka vile vile... utalindaje 24hrs bana? ndio kusema asipokuwa machoni unampigia video-call au?

Hamjawahi sikia bi mrembo anamdekea mumewe ilhali yupo kiunoni mwa mwanaume mwingine? Mnatafuta kujipa presha na kisukari bure...ukifa mwenzio ajinafsi kwa raha zake....

wacha!

................................. Hahahah Mbu bwan ahapana wajua ni katika kuwaza kwa sauti. Ni kweli kabisa nilikuwa naamini kuwa ukitaka kuishi kwa amani hapa duniani acha kumspy mwenza wako na nimejitahidi kwa muda kufanya hivyo lakini naona kwa kadri siku zinavyosonga na mabadiliko ya kitabia, mahusiano ndani ya ndoa nyingi yamenifanya niamini kabisa kuwa kuna umuhimu wa abiria kuchunga mzigo wake mwenyewe. Kwa sababu madhara ya kupuuzia ni makubwa kuliko madhara ya kugundua ukweli!

Mbu nikigundua pakajimmy anacheat baada ya kumchunguza si itanipa wakati mzuri wa kupanga namna ya kumsaidia aache au hata kujikinga na madhara kuliko kuona kabisa dalili lakini nikapuuza nitakujalia kilio cha ningejua ningefanya hivi vile.

na kumchunguza Mbu haimaanishi kumchunga NO. Yaani ninapoona dalili then naspy kuona kama ni kweli au la nikijua ni kweli then tutajua kuwa s/he is not to be trusted that much so kinga ni muhimu
 
... naaaaaaam (msg delivered). Hujidhani mjaaanja kuchungua mbu kaposti nini leo. Hatelezi mtu wala kujikwaa ulimi hapa, hili ni game la 'Draft' bana, tunalamba dume tu...

...Kuchunguzana ni kujitafutia 'malaria' bureeee! :D

na dawa mseto ndio hizo cjui wameza vidonge rundo, mie nadhani mtu ajichunge mwenyewe tu.
 
[/COLOR]

MJ1 utastahimili?.....lol

.................... Dda si wanasemaga kinga ni bora kuliko tiba?? au haiapply huku kwa wakubwa? Basi kama ni hivyo ndoa ni misalaba kiukweli kwa sababu kama humchunguzi mwenzio what if ni fataki in nature then wewe wakaa akuletee tu?
 
.......................... Na hapo dada unamaanisha nini? umeniacha ferry

mie natakaga niletewe data tu, mtu kakutwa mahali naambiwa huku ni hivi na vile, cku ya cku nikimuibukia huko anajua kitakachoendelea, yani niache shughuli zangu nimuwinde mtu mzima na akili zake? hell no hizo mie nizickie tu.
 
.................... Dda si wanasemaga kinga ni bora kuliko tiba?? au haiapply huku kwa wakubwa? Basi kama ni hivyo ndoa ni misalaba kiukweli kwa sababu kama humchunguzi mwenzio what if ni fataki in nature then wewe wakaa akuletee tu?

hivi unajua MJ1 kuna mtu ambae achungiki? nina frnd wangu ana wivu na mumewe kichizi na anamchunga cjapata kuona, lakini ni kwa vile hana moyo wa ujacri, akiambiwa yanayoendelea kwa mumewe atafariki na kuacha watoto wake, na huwa nashuhudia mara kibao nakutana nae kwenye starehe, na kurudi home yeye ni saa 1 pm yupo ndani, sasa fikiria huo ushenzi wa nje anaufanya saa ngapi, wacha kabisa MJ1 kuna watu wataalamu....
 
mnh, jamani mwenzenu hapa nahisi presha inapanda, presha inashuka.
 
Sasa nyamayao ukishaletewa hiyo hint si ndo unaanza kufuatilia au huko si kumspy? Ninachomaanisha ni kuwa siyo mtu out of no where unaanza kumchunguza kuku wako no ni kama umeona kuna mabadiliko ya aina flani katika tabia zake au kitu chochote ambacho kinakufanya utilie shaka uaminifu wake- je hutafuatilia kujua ni nini? au utaprefeer kumwuliza mwenyewe ili akupe explanation?
 
kuna wengine hawaonyeeshi tofauti yoyote lakini ni washenzi wa ku2pwa, yangu mie ilionyesha badiliko na ckufatilia mana nilijua tu iwe icwe mambo yame change na lazima kwa namna moja au nyingine kuna kitu, ktk muda wote huo nataarifiwa kuwa fulani yupo hivi na vile na mazingira yanatatanisha, cku nilipomfata mpaka hapo alipo alihamaki mana tifu lake analijua, na hakuwa na cha kubisha coz kona zake zote anakutana na watu wangu wa karibu sana, ndivyo ninavyosongesha lyfe mami, ile kusema ufatilie kila nukta ni presha tena kwa wewe ulivyo na roho ndogo uwiii.....
 
Back
Top Bottom