Is Fina Mango back to Clouds FM?

Opportunist

Member
Mar 19, 2009
17
12
Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
 
Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?
Mkuu, at least uwe na uhakika na japo kitu kimoja kati ya vingi unavyosema au kuuliza!...ona hapo kwenye rangi unavyobahatisha!
 
Mkuu, at least uwe na uhakika na japo kitu kimoja kati ya vingi unavyosema au kuuliza!...ona hapo kwenye rangi unavyobahatisha!

Ukweli ni kwamba sikumbuki kama ni juzi au jana, lakini ni kati ya siku hizo mbili. Na pia ni kweli sina uhakika kama nilisikia sauti yake niliifananisha...ningekuwa na uhakakika nisingeuliza!
 
Juzi ama jana ni kama nilisikia sauti ya Fina Mango ktk kipindi cha Power Breakfast? Karudi tena Clouds FM?

mimi pia nilisikia hiyo sauti ila sina uhakika kama ni jana au juzi ila kukujibu ni kwamba yule anaitwa Seven na huwa anafanya kazi MTV kama sikosei......sina uhakika:wink2:
 
na me sina uhakika kama karudi au la ila nilickia sauti yake ila cna uhakika kama ni yake
 
mimi pia nilisikia hiyo sauti ila sina uhakika kama ni jana au juzi ila kukujibu ni kwamba yule anaitwa Seven na huwa anafanya kazi MTV kama sikosei......sina uhakika:wink2:

Seven na Fina, wote walishiriki kwenye kipindi. Kwamba w/amerudi ama la, hilo sijui.
 
Kila mtu hajui sasa sijui na mimi sijui kama hujui kwanini useme hujui.........................
 
Ni kweli, kipindi cha Power Breakfast cha jana alikuwepo Fina Mango,Seven,na lady JD, former presenters Clouds FM. ni kwamba Clouds FM ni moja kati ya Redio iliyoshinda tuzo za SuperBrands, hivyo kwa ushindi huo waliona ni vyema kuwaleta tena former presenters katika kutambua mchango wao kipindi hicho walipokuwa hapo Clouds. lkn hawajarudi Clouds FM,
 
Yupo dada mgeni. Fina hawezi kupooza vile

Ni kweli, jana Fina na seven walikuwepo kwenye power breakfast. Jana kulikuwa na kama siku ya kufurahia ushindi wao wa Super Brand, hivyo kuonyesha shukrani, waliwaalika wengi kati ya waanzilishi/washiriki/watangazaji waliosaidia redio yao (Kituo chao cha Redio), kifikie mafanikio hayo. Walikuwepo pia kina ML Chris kwenye kipindi alichowahi kukiendesha pia nilimsikia Lady Jaydee, waliahidi kwenye Bambataa angekuwepo MC Charles Muhamiji (aka MR. C) Sikukisikiliza hivyo naomba wakuu msiniulize kama alikuwepo au laa!!
Kama Fina alipooza ni lazima iwe hivyo maana nakumbuka hakuondoka vizuri pale!
 
Nusu ya wachangiaji hawajui,wanahisi,wanadhani,hawana uhakika,hawakumbuki,kama hawakosei WTF!!!
 
Fina Mango ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo na uelelewa wake ni mpana. Toka aondoke sina hamu kabisa ni hiyo power breakfast!! Namshauri aingie kwenye anga za vipindi kama Talk Show awe ndiyo Oprah wetu. Ajaribu kuishawishi station moja ya TV
 
Who is fina by the way? And why people take a lot time discusing on her? Maneno yote dr slaaaaa ! Our next presidaaa
 
na me sina uhakika kama karudi au la ila nilickia sauti yake ila cna uhakika kama ni yake

hata mie jana ama juzi nilsikia sauti yake ila sjui kama n yyeye na sidhan kama anaweza rudi
 
Back
Top Bottom