JOEL WAKAYIMA
New Member
- Jan 6, 2012
- 2
- 0
:A S embarassed:
I like this open ended question and genuine concern ya mtoa mada.Personally i dont think we are ready for that, bearing in mind the differences in political dynamics of member nations which may be hinderence to the progress of the federation especially when one of the member's interests are at stake something that is very likely as far as political systems are concerned.:A S embarassed:
Land Land Land! Tanzania has abundant land which she is not ready to make easily available (and for good reasons too) to citizens of other member countries. And that is where the problem lies. The abscence of almost all heads of states of EAC during the celebrations which took place in Dar on 9 December 2011 was not accidental. Political Federation? Very unlikely and unworkable!

Tukiachana na maneneo kuhusu ardhi, hizi migawanyiko na shida za marais wa EA kutopenda kuonana ana kwa ana katika mikutano, tumeanza kuzishuhudia hivi karibuni. Wakati wa B.Mkapa, M7 na Mo1, kulikuwa na uhusiano mwema na heshima fulani baina ya viongozia hao watatu. Kuna kitu kinachoendelea sio chema, au pengine marais hawa walioko sasa wako na advisors ambao wana upeo mdogo.
Mzee mmmoja aliwahi kuniambia ya kuwa Jumuiya ilikufa mwaka 1977 baada ya viongozi kukataa kukutana, Nyerere alikataa kabisa kukaa meza moja na Amin. Sio siri kwamba Kikwete na Kagame hawapatani kabisa, na wakati huo huo ishu ya Migungo ingawa inaonekana kama imeisha imewaweka Kenya na Uganda katika wakati mgumu. Mimi nadhani hii jumuiya ilianzishwa haraka haraka sana bila public's consent and it seems that its fate is doomed.
Shida sio marais kutoaminiana, shida ni uhusiano mbovu kati ya Tz na kenya tangu mwanzo. Kwani huoni maoni ya watu hapa jamvini hasa wakenya na watanzania kwenye threads zinazohusu EAC? Hapo utasingiziaje marais hapo?Kwa hivyo tusemeje, kwa kuwa dhana kuu ni kwamba kenya ndio ina nyoshewa kidole kwa kuwa waliharibu mipango ya EAC mwaka wa 77. Ashante, naona kumbe ni kitu kinahusiana na historia. Kumbe shida ni marais kutoaminiana
Shida sio marais kutoaminiana, shida ni uhusiano mbovu kati ya Tz na kenya tangu mwanzo. Kwani huoni maoni ya watu hapa jamvini hasa wakenya na watanzania kwenye threads zinazohusu EAC? Hapo utasingiziaje marais hapo?
KABALASH,
I still don't understand why other EAC's countries think they are entitled to Tanzania's land. Pertaining to federation, can someone explain the importance of it.
Tukiachana na maneneo kuhusu ardhi, hizi migawanyiko na shida za marais wa EA kutopenda kuonana ana kwa ana katika mikutano, tumeanza kuzishuhudia hivi karibuni. Wakati wa B.Mkapa, M7 na Mo1, kulikuwa na uhusiano mwema na heshima fulani baina ya viongozia hao watatu. Kuna kitu kinachoendelea sio chema, au pengine marais hawa walioko sasa wako na advisors ambao wana upeo mdogo.
Mzee mmmoja aliwahi kuniambia ya kuwa Jumuiya ilikufa mwaka 1977 baada ya viongozi kukataa kukutana, Nyerere alikataa kabisa kukaa meza moja na Amin. Sio siri kwamba Kikwete na Kagame hawapatani kabisa, na wakati huo huo ishu ya Migungo ingawa inaonekana kama imeisha imewaweka Kenya na Uganda katika wakati mgumu. Mimi nadhani hii jumuiya ilianzishwa haraka haraka sana bila public's consent and it seems that its fate is doomed.
moyo, let's start by imagining a kikuyu having a lot of supporters in the deep luo land, and then move from there!....imagine CCM having supporters in the deep villages of Uganda or Kenya or still Museveni's party having support from Mbeya or Garissa!...