Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
A philosophical mind game. Do we have to change or we don't have any other option but change. Je yawezekana kuendelea bila ya kubadilika au kuendelea kwenyewe kunaashiria mabadiliko? Mfumo usiobadilika unaweza kweli kudumu au kudumu kwake kunategemea kubadilika kwake (kuadapt)?
Inakuwaje pale ambapo mfumo unagoma kubadilika na matokeo yake kulazimishwa kubadilika kama tunavyoshuhudia kule Iran? Which is easier, to change or to oppose change?
Inakuwaje pale ambapo mfumo unagoma kubadilika na matokeo yake kulazimishwa kubadilika kama tunavyoshuhudia kule Iran? Which is easier, to change or to oppose change?