Iringa

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,133
16,195
tumezoea kuwasifu ndugu zetu wamasai kuwa wanadumisha mila hasa kwa mavazi yao, swali langu lipo kwa jirani zangu wanaotokea iringa. Je ni mambo gani ya msingi ambayo wakifanya wataonekana nao wanadumisha mila?
 
Nachukizwa na threads zenye Elements ya Ukabila kwa sababu inaonesha dhahiri kuwa hali hii haitokaa iishe Tanganyika!!
 
wanaume hawatahiri, utakuta jamaa kubwaaa lkn mkono wa sweta. ulanzi hawawezi acha. watani zangu hawa. lkn i love tha city.
 
Nachukizwa na threads zenye Elements ya Ukabila kwa sababu inaonesha dhahiri kuwa hali hii haitokaa iishe Tanganyika!!

kwa kweli kila kabila lina mazuri na mabaya yake...tuiachie history..
lets talk as one nation!
 
Back
Top Bottom