Watu wanachuma laana! ....nimekasirishwa sana na maneno ya shigela kwenye taarifa ya itv....eti anashauri uongozi wa CDM uachie ngazi ndiyo unauua watu!!!!this guy is abnormal,.......
Ipo haja ya kujihoji kwa nini hawa watu kutoka Mbeya wanaandamwa na matukio ya kutishiwa uhai? Kulikuwa na Mwandosya, Mwakyembe, Ulimboka na sasa Mwangosi. Wameikosea nini CCM?