TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Mmmmmhh!! Sasa naona Nchi yetu police wanaielekeza pabaya!
Hili jambo si la kupuuzwa hata kidogo!

Dawa ni ndogo tu.....ni kuwafanya hawa polisi wawe ni "endangered specie" huku mitaani tunakokaa nao.
Wananchi tuwe tunawawinda kama tunavyowinda nyati. Vizia, piga, ua, tupa kule. Choma kama mishikaki!

Watashika adabu wash.enzi hawa!
 
Unajua mazingira aliyokuwa wakati anapigwa risasi? polisi walikuwa wana-target waandishi wa habari, au alikuwa katikati ya umma?

ndo ashapigwa tena,,,,,,na kama wanavyosema ameshakufa maskini,,,,,,sasa tusubiri tume ya moro ihamie IRINGA,,,,,,IKITOKA HUKO SIJUI WAPI
 
Kwani kuna M4C inafanyika si iliahirishwa? Tupeni taarifa kamili pls
 
confirmed Mwangosi ameuliwa na polisi kwa bomu! Chanzo itv sasa hivi. We must do something.
 
Polisi inatumiaje risasi za moto kwa raia wasio na hatia wala silaha? upo wapi weledi wa polisi ya tz? je tunaweza kuwa wazalendo kwa jeshi letu hivi?
 
sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho
Kama huna cha kuandika acha kutujazia utumbo hapa, sisi tunasikitika watu wasio na hatia wanauawa wewe unaleta mzaha!!
 
hivi watasema tena kapigwa na kitu kizito? halafu si ni huko huko chanel ten ndo walitumia kujisafisha baada ya mauaji ya Moro? Jamani vyombo vyetu vya habari muwe mnatendea haki taaluma yenu. vinginevyo na nyinyi mjue hamko salama hata kidogo chini ya uongozi huu dhalimu.
 
kwa taarifa nilizozisikia mwandishi amekufa baada ya kukutwa kwenye chumba na waandishi wengine wakiwa ndani ya chumba
 
breaking nyuzi ya itv ni kwamba nwandishi amefariki na kamanda wa polisi mkoa wa iringa kagoma kuongelea
 
kwa taarifa nilizozisikia mwandishi amekufa baada ya kukutwa kwenye chumba na waandishi wengine wakiwa ndani ya chumba na kutupiwa bomu na askari walio kuwa wanatanya wafuasi wa Chadema
 
jamani kweli ccm wanatupeleka tusiko taka. ITV wamethibitisha habari hii ya mwandishi kuwawa wakati police walipo vamia mkutano wa cdm wakufungua tawi. JAMANI NATAMANI VITA ITOKEE ILI HUU UONEVU UTATOWEKA.
 
Na juzi polisi wameuwa wawili kule Nyamongo kwa niaba ya Wacanada! halafu yule RPC alikuwa anahalalisha kwamba kulikuwa wavamizi kama 1,000 na silaha za jadi na hivyo ilibidi wapige risasi kulenga miili ya ng'ombe, sorry, binadamu.

Waliokuwa kwenye tukio wasema wavamizi hawakuzidi 40!

Kweli polisi watatumaliza!

Huyu RPC alinishangaza sana wakati anatoa taarifa .....yaani aliongea kirahisi kama vile kuua mtu ni halali kwa police......inasikitisha kwa hapa tulipofikia!
 
Polisi wa Reading wanaweledi ndio maana cdm walifungua tawi kwa ustaarabu.
Je why Tanzania?
Stuka!
 
Back
Top Bottom