LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Mmmmmhh!! Sasa naona Nchi yetu police wanaielekeza pabaya!
Hili jambo si la kupuuzwa hata kidogo!
Hili jambo si la kupuuzwa hata kidogo!
Ni kama kuna thread moja iliandika jambo hili kama taarifa kuwa litatokea hili. Pole wafiwa na R.I.P mwandishi wa habari. Tusubiri polisi kulikanisha hili utasikia " rimarehemu rinepigwa na kitu chenye ncha kari". wapii.
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka
kwahiyo una maana hao watanzania ni less of the citizens?kwasababu ni watu wa chini basi hawana haki?sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho
Na juzi polisi wameuwa wawili kule Nyamongo kwa niaba ya Wacanada! halafu yule RPC alikuwa anahalalisha kwamba kulikuwa wavamizi kama 1,000 na silaha za jadi na hivyo ilibidi wapige risasi kulenga miili ya ng'ombe, sorry, binadamu.
Waliokuwa kwenye tukio wasema wavamizi hawakuzidi 40!
Kweli polisi watatumaliza!
ushaambiwa ni mwandishi lakini bado unahoji alikuwa anataka nini?Na yeye alikua anafanya nn huko?
Confirmed amefariki wakuu inauma naandika huku machozi yananitoka