Iringa Kama Dar Mgomo wa Wauza Mafuta

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Jamani Wauza mafuta Iringa wameanza Mgomo Rasmi Leo, Ni kiyuo kimoja tu cha MT ndio wanauza mafuta, Foleni usiseme tena.

Jamani hii serikali inatupeleka wapi sasa, Mgao wa umeme, tumeenda kwenye magenarator sasa mafuta hamna!!!

JK. sikia kilio chetu popote ulipo. Achana na hao UWURA hawana lolote, wanapewa mshahara na hao hao wauza mafuta.
 
Vivian kumbe upo Iringa, mambo vipi huko, poleni hata bongo mafuta hakuna ni shida mtindo mmoja, tunaingoja serikali irudi kutoka likizo pengine itasema lolote.
 
Jamani Wauza mafuta Iringa wameanza Mgomo Rasmi Leo, Ni kiyuo kimoja tu cha MT ndio wanauza mafuta, Foleni usiseme tena.

Jamani hii serikali inatupeleka wapi sasa, Mgao wa umeme, tumeenda kwenye magenarator sasa mafuta hamna!!!

JK. sikia kilio chetu popote ulipo. Achana na hao UWURA hawana lolote, wanapewa mshahara na hao hao wauza mafuta.

Red: Hapo sijakupata:rapture:
 
kwanini tusiwatwangwe hawa ewura na hao mbwa wenzao....si unaona hali ilivyo tete mlimani citypale kobili unaambiwa watu wanadundana huko asa ivi (scrambling) na hakuna FFu yoyote alitia mguu hapo, washenzi wakubwa hawa, ambulance hazina mafuta nchi inakaribia kulipuka.....jama yuko ikulu anaalika watumishi wakale futari kila siku...sijui kama kweli hawa viongozi wetu wana nanihii kweli....au ndio kama alivyosema masaburi(wanafikiria kwa kutumia makalio)
 
Poleni sana; Tulichukua hatua nusu nusu 2010, lazima sasa tuumie zaidi ili 2015 tuchukue hatua kamili.
Nilikuwa maeneo ya misenyi huko Bukoba juzi nikasikia redio moja ikitangaza kuwa kilo moja ya sukari Tshs 3,000 wakati kiwanda cha kagera sugar kiko pale pale. Inashangaza sana!
Bei ya mafuta dsm (karibu na bandari) shs 1,800 Kagera shs 2200 kisa ni umbali wa kutoka dsm; ikija kwa sukari Misenyi shs3,000 wakati dsm shs 2,000! (sukari hiyo hiyo ya kagera)
Je mchawi tumeshamjua?
tafakari - chukua hatua
 
Hongera JK kwa maisha bora, naomba ongeza bidii ili tupumue baada ya 2015
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom