Irene Uwoya na Makande, Mastaa wetu bhana

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,001
26,305
3Ftf8U


Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Irene Uwoya leo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM ameabandika picha akiwa anakula- MAKANDE na kuandika kuwa hicho ndio chakula anachokipenda kuliko vyote, kitu ambacho baadhi ya watu walipinga na kusema mrembo huyo ameFEKI kusema hivyo.

"Namshukuru MUNGU kwakunipa BIBI anae nipendaaa asante sanaaa bib yangu kipenz kwa chakula kitamu nachokipenda kuliko vyote"-Uwoya aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Mvutano kati ya wale amabo wanaona kaongea kiukweli na wale ambao wanaona anaigiza tu , ulipelekea posti kumiminiwa komenti kibao.

"We muongo sikwel eti unakipenda hicho chakula kulko vyote coz chakula chenyewe umekikuta kwa bibi yako inaonesha kwako huwa hukipiki"mmoja aliandika.

Lakini wengi wameonyesha-kukumbuka mbalii na kuelezea utamu wa makande. Mimi pia nayapenda wewe je?

Mzee wa Ubuyu

31.03.2015----Tags:- UWOYA-
 
Hilo jicho tu.......

Inaonekana hizo kande amepigia picha tu, kwa uzoefu wangu wa kula kande hilo jicho, pozi na mdomo havionyeshi kama anakula kande.!
 
Hahaha Watu8 noma mkuu yaani umeaichunguza hiyo screen shot hahaha
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom