Irene Uwoya and hubby parting at Club Billicanas

wala huhitaji kuangalia sinema zao, ungekuwa bongo kila uchao utawaona kwenye magazeti ya udaku front pg na heading kuuuuuuuuuuubwa na utaisoma hiyoo!!!

Nilisikia tetesi kuwa they pay to get headlined....................mwenye uthibitisho............atusaidie tafadhali!
 
Lets be fair jamani, waombeeni heri, na sio kuwasubiria..like 'lets wait and see',...'time will tell'...you are not being fair kabisa...
 
Ni kweli mkuu .... ukiitazama sana hiyo picha nadhani kuna kitu unakipata hapo hasa ukimuangalia shemeji yetu ... seems mambo si shwari ... au labda siku hiyo tu kaupepo kabaya kalipita si unajua tena mambo ya ndoa ... mabonde na milima ni kawaida!!!

yupo kama kakumbatiwa kwa nguvu alikuwa hataki, na yeye angepitisha mkono nyuma basi kuonyesha ushirikiano, hata hamwangaliimpiga picha?
 
Back
Top Bottom