Irene Uwoya and hubby parting at Club Billicanas

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
They are still happily married long live the couple

DSC01652.JPG

DSC01665.JPG
 
huyo kaka wa chini kasahau kuwa hiyo ni starehe, nini kujikakamua hivyo?
 
Aaah shem kwani mimi hata hizo sinema naangalia basi...
wala huhitaji kuangalia sinema zao, ungekuwa bongo kila uchao utawaona kwenye magazeti ya udaku front pg na heading kuuuuuuuuuuubwa na utaisoma hiyoo!!!
 
When the news outlets outnumber the news, even empty podiums become newsworthy.
 
They are still happily married long live the couple

DSC01652.JPG

mtanzania1989 said:
du ! ngoja tusubirie muda tu ,tym ll tell the truth

Ni kweli mkuu .... ukiitazama sana hiyo picha nadhani kuna kitu unakipata hapo hasa ukimuangalia shemeji yetu ... seems mambo si shwari ... au labda siku hiyo tu kaupepo kabaya kalipita si unajua tena mambo ya ndoa ... mabonde na milima ni kawaida!!!
 
Ndio mambo ya ndoa
 
Sijaelewa, kuwa happily married unaangalia picha? Jamani, ndoa ni zaidi public display! Eeeh!
 
Nawatakia kila la heri. Maisha ya ndoa ni ya Milima na Mabonde sio Tambarare kwa kila mtu au kila siku..
 
A pre-mature marriage, will pre-mature break!!!

Ni hivi labda Irene awe karibu na Muumba wake... other than that, majaribu atakayokutana nayo mtoto wa wa2 kwa umri wake hatayaweza kuyavumilia.

Lets wait & see.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom