Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

Mie nadhani kwao wako so aggresive kwa asili katika kazi.

Angalia hata dada yake na mdogo wake.

Mtu kazi, na ni kazi kweli
Ila sio wanasiasa

I feel sorry for her too, angebaki kwenye private sector tu

my point ni kwamba alitaka kupanda juu zaidi in professional/career ladder... na hiyo imeaffect jina lake negatively, ile nafasi ina siasa, hata wakati wa mchujo ilikua na vita kubwa hivyo kwenye mazingira kama hayo lazima upiganiwe na wanaokupigania wengine lengo lao ni kupata japo nafasi za biashara

hayo ni mabwabwajo yangu, no need to be speechless.... did you have any speech???:wacko::wacko:
 
Mie nadhani kwao wako so aggresive kwa asili katika kazi.

Angalia hata dada yake na mdogo wake.

Mtu kazi, na ni kazi kweli
Ila sio wanasiasa

I feel sorry for her too, angebaki kwenye private sector tu

Very true... inasikitisha sana kajiingiza kwenye machafuchafu na watu tunamjadili humu....

IF I WAS HER, NINGEJIUZULU TU KUPISHA WATU WENGINE, SIDHANI KAMA YUPO DESPERATE KIASI HICHO
 
umeona eeh,

she did'nt deserve this, ila ndio hivyo
sh*t happens for a reason, labda ajue kuwa she had enough.

Very true... inasikitisha sana kajiingiza kwenye machafuchafu na watu tunamjadili humu....

IF I WAS HER, NINGEJIUZULU TU KUPISHA WATU WENGINE, SIDHANI KAMA YUPO DESPERATE KIASI HICHO
 
Mimi nina miaka 36, nimechishwa kazi ktk kampuni niliyoitumikia kwa miaka 12 kama muhudumu wa ofisi. Uhaba wa kazi tena za uhudumu unajulikana, na hata wakitoa matangazo wanataka aliye chini ya miaka 35. Je nisubiri miaka 20 mingine ndipo nipate mafao yangu?

Meanwhile nitaishije? Au nijiajiri kwa kujianika usiku nikosubiri wateja mitaa ya Sinza (natumaini walio kwenye mfungo hawatanichapa fimbo kwa 'kuwadhambisha'). Niambieni bila kutumia viingereza vyenu hiyo Social Security Fund niliyoichangia for the good 12 years itanisaidia nini zaidi ya kutoa mafao ya mazishi yangu!

pole san dada yangu.
 
WanaJF,

Ninaomba CV ya huyu mama Ndg. Irene Charles Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA.

Hii ni kutokana na umuhimu wa mamlaka hii ya SSRA anayoiongoza katika ustawi wa watanzania na uchumi wa taifa kwa ujumla. Leo mifuko ya hifadhi ys jamii iliyoko chini ya SSRA inaidai serikali kiasi cha 8 trillions.

Ni muhimu kujua uwezo wa kiongozi mkuu wa mamlaka muhimu kiasi hiki.

Akhsante.
 
Nadhani angles za magazeti yetu hazikuipata kwa uzuri hii story...ukubwa wa story hii mbali ya kuwa kwenye hiyo figure, uko kwenye namna Serikali inavyokopa hizo fedha za mifuko ya jamii...Serikali inakopa wafanyakazi wake na wasio wake.

Ukubwa uko kwenye namna hiyo mifuko inavyoikopesha serikali hayo mabilioni ya fedha.

Uliza kama kuna mfuyko hata mmoja umetiliana saini na Serikali katika mikopo hiyo na namna ya kuirejesha?

Uliza mkopo uliotumika kujenga UDOM utarejeshwa lini na namna gani? And some many other projects ambazo zinafanywa na hao NSSF, PPF, PSPF kwa maelekezo tu ya akina Bwana Mkubwa, Ofisa Miradi Mkuu au Ofisa Manunuzi kwa sababu wanataka sifa ya kutimiza ahadi huku 'wanaibia' wafanyakazi wanaohenyeka katika mazingira magumu ya kazi.

Sasa cv inahusiana nini na hayo mambo? Unaweza ukawa na cv kubwaa lakini wakubwa wakitaka pitisha yaliyo yao,cv hiwezi zuia.
Jealous
 
Nadhani angles za magazeti yetu hazikuipata kwa uzuri hii story...ukubwa wa story hii mbali ya kuwa kwenye hiyo figure, uko kwenye namna Serikali inavyokopa hizo fedha za mifuko ya jamii...Serikali inakopa wafanyakazi wake na wasio wake.

Ukubwa uko kwenye namna hiyo mifuko inavyoikopesha serikali hayo mabilioni ya fedha.

Uliza kama kuna mfuyko hata mmoja umetiliana saini na Serikali katika mikopo hiyo na namna ya kuirejesha?

Uliza mkopo uliotumika kujenga UDOM utarejeshwa lini na namna gani? And some many other projects ambazo zinafanywa na hao NSSF, PPF, PSPF kwa maelekezo tu ya akina Bwana Mkubwa, Ofisa Miradi Mkuu au Ofisa Manunuzi kwa sababu wanataka sifa ya kutimiza ahadi huku 'wanaibia' wafanyakazi wanaohenyeka katika mazingira magumu ya kazi.

Kuna mtu aliniambia hii mifuko imefilisika kwsababu ya kujiingiza kwenye projects zisizokuwa na faida.
 
WanaJF ninaomba CV ya huyu mama Ndg Irene Charles Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA.

Hii ni kutokana na umuhimu wa mamlaka hii ya SSRA anayoiongoza katika ustawi wa watanzania na uchumi wa taifa kwa ujumla. Leo mifuko ya hifadhi ys jamii iliyoko chini ya SSRA inaidai serikali kiasi cha 8trillions.

Ni muhimu kujua uwezo wa kiongozi mkuu wa mamlaka muhimu kiasi hiki.

Akhsante

Ndugu zangu yule dada aliwekwa pale alinde Mifuko ya Hifadhi ya MAFISADI!
 
Ni hatari sana kumjadili mtu mwenye "mabastola" if you know what I mean!

DSC_0048.JPG
 
Nadhani angles za magazeti yetu hazikuipata kwa uzuri hii story...ukubwa wa story hii mbali ya kuwa kwenye hiyo figure, uko kwenye namna Serikali inavyokopa hizo fedha za mifuko ya jamii...Serikali inakopa wafanyakazi wake na wasio wake.

Ukubwa uko kwenye namna hiyo mifuko inavyoikopesha serikali hayo mabilioni ya fedha.

Uliza kama kuna mfuyko hata mmoja umetiliana saini na Serikali katika mikopo hiyo na namna ya kuirejesha?

Uliza mkopo uliotumika kujenga UDOM utarejeshwa lini na namna gani? And some many other projects ambazo zinafanywa na hao NSSF, PPF, PSPF kwa maelekezo tu ya akina Bwana Mkubwa, Ofisa Miradi Mkuu au Ofisa Manunuzi kwa sababu wanataka sifa ya kutimiza ahadi huku 'wanaibia' wafanyakazi wanaohenyeka katika mazingira magumu ya kazi.

Tusiangalie tu 8trions zimekopwa na serikali, unaweza kufahamu "multiplier effect" ama faida na hasara gani zimetokea kabla/baada ya UDOM kujengwa na kudahili wanafunzi? Au jifanye UDOM isingekuwepo!
 
Mkuu, unaongelea hii Mifuko ya Hifadhi ya CCM au mingine? Unyonge na umbumbu wa wafanyakazi wa nchi hii ndio uliotufikisha hapa?
 
Tusiangalie tu 8trions zimekopwa na serikali, unaweza kufahamu "multiplier effect" ama faida na hasara gani zimetokea kabla/baada ya UDOM kujengwa na kudahili wanafunzi? Au jifanye UDOM isingekuwepo!

kuwepo au kutokuwepo kwa UDOM kunahusianaje na serikali kurejesha fedha za wanyonge? Watu wanastaafu lakini wanafuatilia mafao yao hadi wanakufa hawajalipwa mafao yao...huu ni mwaka wa 5 sasa tangu mama yangu astaafu, kila akienda anaambiwa fedha hakuna halafu kuna mijitu hapa inajitoa fahamu inajifanya haijui ugumu wanaoupata watu pindi wakistaafu! Unaweza ukaniambia MULTIPLIER EFFECT ya mama yangu kutolipwa mafao yake kwa miaka 5 sasa? Unataka afe hela zake wafaidi mafisadi wa CCM? Jitazame sana mkuu.
 
Mie nadhani kwao wako so aggresive kwa asili katika kazi.

Angalia hata dada yake na mdogo wake.

Mtu kazi, na ni kazi kweli
Ila sio wanasiasa

I feel sorry for her too, angebaki kwenye private sector tu

Dada ake yupi unae mzungumzia maana Irene ndio first born kwao.
 
siku moja Lowassa alihojiwa kwenye tv kuhusu ujenzi wa udom,akasema yeye alipokuwa waziri mkuu aliwaita wakurugenzi wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuhusu mifuko hiyo kutoa fedha za ujenzi wa udom na akawaambia mkurugenzi ambaye angetaa mfuko wake kutoa pesa basi aandike barua ya kujiuzulu.
 
shida sio Irene wala uwepo wake pale, tatizo ni mfumo kandamizi ktk nchi hii. mfumo wa excutive na adminstrtv ni shiiiiiida.
Ngoja ili rasimu ya sheria ya mafao ipite, mbona tutatafutana!!!
 
Back
Top Bottom