Iraq kwatisha jamanai

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
http://www.iraqbodycount.org

Wana JF,

Iraq ni Mahali pana tisha sana Duniani kila siku ikuchayo ya Mungu idadi ya watu kufa(kwa mabomu au kupigwa risasi) haipungui zaidi ya watu wata 5.

NB;
kama mkiweza kupata Documentary-Movie inaitwa Iraq The Hidden Story

My Take;
Mataifa ya magharibi yanapaswa tizama kwanza kabla ya kuvamia nchi fulani kwa mashinikizo yao na huku wakijua wataenda kuleta uhasama na uadui ndani ya nchi hiyo kati ya raia wa nchi hiyo eg Iraq,Libya

 
Hao ndio Wamerekani.

Nilikuwa nikitizama hii documentary ndio nikagundu behind war esp ni Iraq huwa kuna matukio ambayo esp kwenye red zote huwa hayaonyeshwi kwenye Channel tunazo zipata huku afrika lakini nchi zingine kama Germany huwa wanaonyesha mambo ya hatari mengini ndio hayo wamarekani kushambulia civilian wakitoa sababu zao za kitoto.

Bush G alichemka sana kwenda Iraq na nina uhakika hiyo vita ya Iraq itarudi tu Marekani siku hiyo ndipo watajuta na kumlaumu Bush G kwanini walienda kuivamia Iraq. Maana huko Iraq kweli wameenda kupandikiza matabaka ya watu na watu tena wa Iraq wao kwa wao hawaaminiani tena.

My Take;
Hizi resource tulizo nazo kweli tusiwahusishe wageni zitatuletea shida sana kama uongozi wa nchi zetu hazito simama kidete kutetea maslahi ya wananchi wao na kujigawia resource za nchi hii kwa kifamilia au kujuana au kimatabaka zitatuletea shida mbeleni kweli huwezi jua mapema ila ukikaa ukatulia na ukitizama mifano ya nchi zingine ndio utajua sasa twangojea Libya itakuwaje lazima tu kutakuwa na tabaka fulani kati ya walibya wao kwa wao
 
Back
Top Bottom