Iranian nuclear infrastructure under attack

MNDEE

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
491
68
Zile teteze zilizotolewa na New York Times mwaka jana zimekuwa confirmed.

Hatimae Marekani na Israeli wamefanikisha mkakati wao wa muda mrefu wa kuishambulia mitambo ya nuclea ya Iran kwa kirusi (ABC News). Detail chache nilizodaka kirusi ambacho ni 'sleeper' kinamefanikisha kuwarudisha Irani nyuma kitechnologia miaka kadhaa. Wahabarishaji hawakueleza baada ya shambulizi la kwanza kirusi kitakapoamka kitafanya nini.
 
Hao ndio wanatumia akili zao vizuri. Sisi tumekalia blah blah tu!
 
Dah, kweli hawa jamaa ni noma, na hapo inamaana, kama wamefanikiwa kucheluwesha uundwaji wa hizo nuclear weapons till 2015 therefore they can discover another computer programs for total distruction of iranian's nuclear plans!
What a really and wonderful scientists!
 
Kwa vile worm mwenyewe ni sleeper kuna uwezekano mkubwa kabisa hiyo delay iliyowekwa ikiexpire kuna awamu nyingine ya uharibifu itatokea, unless wa Iran wafanikiwe kumuondoa huyo worm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom