OsamaBinLaden
JF-Expert Member
- May 2, 2009
- 706
- 3
bbc dakika chache zilizopita walikuwa wakionyesha live raia wakiwavamia polisi na kuvunja vitu mbali mbali katika jiji la tehran. Hawa ni wale ambao hawakuridhika na matokeo ya uchaguzi huo. Nchi za magharibi pia zitakuwa zimepigwa na butwaa kwani nyingi zilikuwa hazitaki kuona 'mkorofi' ahamadinejad akirudi tena madarakani.
hao magharibi ni raisi yupi wa irani alikuwa kwao wao si mkorofi ?
Bali bali anaeabudu umagharibi kwao ndio mzuri na anaepinga umagharibi basi huyo ni gaidi .....idiot.