Iran Will Strike Israel Nuclear Sites If Attacked

Nyie wasomi wa humu JF, ivi mmeisoma hii thread na kuielewa au mmeruhusu jazba zitawale fikra zenu, kiasi ya kwamba mnashindwa hata kuelewa somo?

JF kweli kijiwe kinacho tamani kuwa the great thinkers.... kwa mtindo huu mna safari ndefu sana...!
We are great thinkers among low thinkers:D
 
We are great thinkers among low thinkers:D
Kwa bahati nzuri mimi sipo uko... ilmu yangu madrasa tena mwaka mmoja na hata huo sijaumaliaza... shule darasa la pili...! Haya nitawaweza wapi nyie wasomi wenye pi-chi-dii!
 
Back
Top Bottom