Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
Tutajua baada ya vita hiyo kutokea nani atakung'utwa kwasasa nikuomba itokee basi...maneno matupu hayana maana kila siku wanatambishiana ..let them go to war..atakayeshinda amheshimu jirani yake na akae kwa adabu..Halafu ndugu zako wakikung'utwa utasema mnaonewa. Hivi wewe umeshindwa kujiuliza, kwanini Israel mpaka hii leo haiwalazi usingizi wafuasi wa allah?!!
Israel hii, imezungukwa na mujahidina kila kona, lakini wameshindwa kuigusa!