Iran: "We can hit 35 US bases in minutes'!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Iran: We Can Hit 35 US Bases in 'Minutes'

An Iranian military commander said that his country has detailed contingency plans to strike nearly three dozen U.S. military bases in the region should Iran be attacked, local media reported Wednesday.

Brig. Gen. Amir Ali Hajizadeh, the commander of the Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) Aerospace Force, told reporters the U.S. has 35 bases around Iran and all are "within the reach of our missiles" and could be hit "in the early minutes after an attack," according to an English-language report from Iran's semi-official Fars News Agency. The bases were no threat but instead an "opportunity" for the Iranian military, Hajizadeh said last month, according to Fars.

Hajizadeh's claims come as the IRGC conducts a major military exercise in which it has fired a barrage of missiles at "mock enemy bases" set up in the Iranian desert. Another IRGC commander, Brig. Gen. Hossein Salami, told reporters Tuesday the main aim of the drill "was to demonstrate the Iranian nation's political resolve to defend [its] vital values and national interests," according to Iran's state-run Press TV.

Press TV paraphrased Salami's description of the drills as a "firm response to those who threaten Iran with the option of military action."

The United States and Israel have for years been locked in a struggle with Iran over its nuclear enrichment program and the leaders of both the Israeli and American governments have said that any option -- including military action -- was "on the table" should it become clear Iran is pursuing nuclear weapons. Iranian officials have denied the nation seeks nuclear weapons and said Iran is only enriching uranium for domestic nuclear power purposes.

Press TV said that several different missile types were tested, including the Shabab-3, which reportedly has an operational range of over 900 miles, meaning it could reach potential targets throughout the Middle East. The U.S. and its allies have several military bases in the region, including the home of the Navy's 5th Fleet in Bahrain, a little over 120 miles from Iran's southern border. Israel's eastern border is about 600 miles from Iran's mainland.

Another base used by the U.S., the United Arab Emirates' Al Dafra air base, lies less than 200 miles from Iran's southern coast. In April, multiple American next-generation F-22 stealth fighters were sent to Al Dafra but an Air Force spokesperson stressed at the time that the jets should not be seen as a threat to Iran. However, a top official for the jets' manufacturer, Lockheed Martin, told ABC News in April 2011 that the planes -- which have never been used in combat -- could find a home in quick strike missions in countries like Iran or North Korea.

Iran's new drills also coincided with fresh tensions that followed a
new round of harsh sanctions against Iran that targeted the country's oil exports to Europe. Dozens of Iranian lawmakers have reportedly called on the Iranian military to shut down the Strait of Hormuz -- a narrow, strategic waterway that connects the Persian Gulf to the Arabian Sea through which an estimated one-fifth of the world's oil travels. As an apparent precaution against such action, the U.S. has quietly been building up its military forces in the Persian Gulf.

The Department of Defense declined to comment on Hajizadeh's claims.

ABC News' Martha Raddatz and Luis Martinez contributed to this report.
Also Read
 
H aha ha ha , War of Words, who cares, let them start. Is there any logic in giving out military strategy?
 
Bangi za jangwani mbaya sana! Huyo mjeda mbona hajatuambia maadui zao wana uwezo wa ku-strike target ngapi ndani ya iran 'in seconds?' Au anajidanganya kuwa iran imekuwa mbabe wa kivita duniani? Tena wangeifunga haraka ile Strait ya Hormuz ili wakoleze mambo.
 
Wairan bana nakumbuka Sadam alikuwa na waziri wake mwenye majigambo kama haya.....baada ya marekani kuteka Iraq yote walisema wala hawana shida na huyo waziri kwa jinsi walivyomuona hana maana yoyote. Nadhani huyu mjeda naye atakuwa hivyo hivyo kama yule wa Sadam
 
A cat is never scared of a mouse. Iranians are still amateurs in warfare, they are like mice when compared to US strike power and capabilities, they should better keep their mouth shut or else be embarrassed like Sadam
 
They are reading the same script that sadam husein was reading. Next they will be declaring the mother of all battles and running like rats. But there tactics are working because the arab spring is yet to reach them
 
ehheeeeeeeeeeeee!hivi waislamwanaweza vita kweli???watavunja record manake tumezoea ni watu wa maneno meeeengi!
 
Kama Yugoslavia ilishindwa hawa wataweza kweli?

Hao Wairan hawana tofauti na Ghaddafi au Idd Amin, ni kama Mbwa Koko; kelele nyingi lakini hang'ati.
Mara "tutaifuta Israeli kwenye uso wa dunia, mara hii wamekuja na hiyo ya kuvipiga vituo 35 vya kijeshi vya US ndani ya dunia!
Milosovic na Ghaddafi walikuwa na kelele hivyo hivyo, siku vita vilipoanza haikuchukua hata mwaka, leo wako wapi?
 
iran_missile_uni.jpg
 
sadam alianza hivi hivi akawapa mpaka anachora mistari ya kuwatishia eti mkivuka hapa mtakiona..mwisho wa siku akanyongwa...gadafi naye hivi hivi mwisho wa siku akazikwa kama kibudu..na hawa nao wameanza tena.....
 
vizuri sana iran,huo ndio uanaume,sadam alikuwa mwanaume hakukubali kudhalilishwa mbele ya mai waifu wake.
lakini chondechonde fanya hivyo ukijua mwisho wako utakuwa kama sadam ila ukirekebisha kidogo kichapo utakula ila hakikisha kisiwe cha aibu sana.
 
anaishi kwa nyumba ya vioo afu anatangaza vita ya mawe.......ohoo hatutaki kupaki vi vits vyetu kwa kupanda kwa bei ya petrol bana...
 
Wairan bana nakumbuka Sadam alikuwa na waziri wake mwenye majigambo kama haya.....
alikuwa anaitwa Mohamed Al Sahaf!.....'they are nowhere in Baghdad...' huku nyuma yake vifaru vya Amerika vinajivinjari mjini. Nadhani hawa watu hawajazoea utulivu, wamezoea vurugu na ndo maana dunia ya kiarabu imegubikwa na fujo!
 
Nadhani propaganda ndo zimewafikisha apa walipo kwani IRAN imekua ktk hali ya vitisho kwa muda mrefu sana na ata angekua ni wewe uzungukwe na military bases 35 za majini, angani na ardhini sijui ungefanya nini....ikumbukwe US,UK and ISRAEL all of them wanasema military options in the table if negotiations will fail to stop IRAN fro developing nuclear....na nchi hizo zote tatu zina silaha za nuclear ivi IRAN unadhani atafanya nini? Na US ilikkuja kugundua kua IRAK waliivamia kimakosa kwani ata hizo silaha za weapon of mass destruction yani za chemical and biological weapon hawakua nazo lakini IRAN hizo silaha za WMD anazo labda nuclear na IRAN kwa miongo 2 ime advance sana kwenye makombora marefu na ya kati tofauti na IRAK ilikua na scud tena za kizamani na nyingi aliziteketeza mwenyewe baada ya vita ya ghuba but IRAN ana maa elfu ya makombora with different ranges ata km atavamiwa kwani US haitakua pekeake likely ISRAEL,UK NATO pata picha ni lazima IRAN ijiandae kwani washirika wake wanaogopa nguvu ya NATO...So hii drill IRAN iliyoifanya juzi ilikua ni za kutaget military base za US ambazo zipo middle east tena jirani sana na Iran....Leo hatusikii North Korea wakitishiwa km IRAN simply ni kua tiyari nayeye wanaongea lugha moja ya nuclear na mataifa yanayomiliki silaha za nuclear....Na iran ikivamiwa nadhani middle east yote itawaka sidhani km ataziacha nchi zote za waarabu zinazo host hizo base
 
Kunguru mwoga huficha mbawa zake, na samaki wakubwa huwa hawaruki ruki hovyo baharini,samaki wadogo ndo wenye mbwembwe! Ukiikumbuka Nagasaki na Hiroshima, ionee huruma Iran, maana hawajui adui yao ananguvu kiasi gani
 
mi naona hata zile drone ni mtego tuu....wao wanajua wameziteka kumbe ni planned ziwe kwenye teritory yao kuchunguza na kutuma taarifa..
 
Kunguru mwoga huficha mbawa zake, na samaki wakubwa huwa hawaruki ruki hovyo baharini,samaki wadogo ndo wenye mbwembwe! Ukiikumbuka Nagasaki na Hiroshima, ionee huruma Iran, maana hawajui adui yao ananguvu kiasi gani
very true mkuu
 
Nadhani propaganda ndo zimewafikisha apa walipo kwani IRAN imekua ktk hali ya vitisho kwa muda mrefu sana na ata angekua ni wewe uzungukwe na military bases 35 za majini, angani na ardhini sijui ungefanya nini....ikumbukwe US,UK and ISRAEL all of them wanasema military options in the table if negotiations will fail to stop IRAN fro developing nuclear....na nchi hizo zote tatu zina silaha za nuclear ivi IRAN unadhani atafanya nini? Na US ilikkuja kugundua kua IRAK waliivamia kimakosa kwani ata hizo silaha za weapon of mass destruction yani za chemical and biological weapon hawakua nazo lakini IRAN hizo silaha za WMD anazo labda nuclear na IRAN kwa miongo 2 ime advance sana kwenye makombora marefu na ya kati tofauti na IRAK ilikua na scud tena za kizamani na nyingi aliziteketeza mwenyewe baada ya vita ya ghuba but IRAN ana maa elfu ya makombora with different ranges ata km atavamiwa kwani US haitakua pekeake likely ISRAEL,UK NATO pata picha ni lazima IRAN ijiandae kwani washirika wake wanaogopa nguvu ya NATO...So hii drill IRAN iliyoifanya juzi ilikua ni za kutaget military base za US ambazo zipo middle east tena jirani sana na Iran....Leo hatusikii North Korea wakitishiwa km IRAN simply ni kua tiyari nayeye wanaongea lugha moja ya nuclear na mataifa yanayomiliki silaha za nuclear....Na iran ikivamiwa nadhani middle east yote itawaka sidhani km ataziacha nchi zote za waarabu zinazo host hizo base
Sasa hao wa-Iran si walianzishe basi sisi tuone mambo Mr. 0101010101
 
Back
Top Bottom