Iran to unplug from Web to escape West’s ‘Internet monopoly’

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Tehran plans to remove its key ministries and state bodies from the Internet next month, calling the worldwide web “untrustworthy.” The action is the first phase in a planned Iranian project to replace the Internet with a domestic intranet.
*The country’s key ministries will be unplugged from the global network as early as September, in a move Tehran said is aimed at protecting sensitive intelligence.

Iran’s Ministry of Communications and Technology announced earlier this year that it would launch a domestic intranet to replace the Web. The system will reportedly be operational in 18 months.

"The establishment of the national intelligence network will create a situation where the precious intelligence of the country won't be accessible to these powers," Iranian Minister of Communication and Information Technology Reza Taqipour said on Sunday.

Taqipour went on to blast the monopoly control of the Internet by a handful of Western countries.

"The Internet should not be in the hands of one or two specific countries," Iran’s FARS news agency quoted him as saying at a conference at Tehran's Amir Kabir University. Taqipour explained his argument by citing how the Internet has become an indispensable element of economic, security and social policy.

The decision to switch to an internal network is believed to have been caused by a series of hacking attempts and cyber attacks against Iran. Iranian nuclear facilities were reportedly attacked by a musical virus in July, turning on lab computers at night and blasting AC/DC’s ‘Thunderstruck.’

Experts at Russia’s Kaspersky Laboratories exposed a Trojan virus called Flame in May 2012, which was designed to spy on web activity in Iran and some Middle Eastern nations. Russian cybersecurity experts labeled Flame “probably the most complicated virus ever.” Flame was believed to have targeted Iran's oil ministry and main export terminals.

The country’s nuclear program also suffered serious setbacks from the state-of-the-art Stuxnet virus. Stuxnet targeted computers running uranium enrichment centrifuges at Iran's nuclear facility in Natanz, destroying thousands of centrifuges and setting the country’s nuclear program back months, experts said.

Both Flame and Stuntex are believed to have been a joint development by the US and Israel.

The only other country to have its own intranet is North Korea. Dubbed Kwangmyong, the system was deployed in 2000 and is the only network available to North Korean citizens. Only a small number of government-authorized individuals are allowed to use the Internet.

Source:Iran to unplug from Web to escape West
 
Congratulations IRANIAN engineers! kwa kuweza kufanya hivyo unakua umejihakikishia usalama wa inchi yako na kuondoa monopoly ya internet ya US i.e Google,yahoo,amazon , eBay, Wikipedia and all search engines zinazomilikiwa na US/UK/ zina close link na CIA,FBI,MOSAD,M16 so wana virus kama hao flame yani zilikua ni spyware za hali ya juu ambazo zilikua zinaweza ata kupiga picha, kudaka mawasiliano ya maongezi na maandishi yani emails na kuzipeleka CIA so ni kama vile dunia nzima tupo kwenye mikono yao..Kwa kufanya hivyo IRAN itakua imejihakikishia usalama wake kwa asilimia kubwa thats why spy wa CIA,FBI wamekua wakipata shida sana kujua kinachoendelea North korea...Na tukumbuke ni juzi UN ambayo ipo chini yao wameiweka mawasiliano ya internet kua ni basic human right ili tuwe under watch.,,,BRAVO IRAN FOR BRAKING THAT MONOPOLY
 
Hata mimi nimependa lakini je hawa watu watakuwa wanafanyeje maana bila net huwezi kufanya kitu chochote kile!!
 
Congratulations IRANIAN engineers! kwa kuweza kufanya hivyo unakua umejihakikishia usalama wa inchi yako na kuondoa monopoly ya internet ya US i.e Google,yahoo,amazon , eBay, Wikipedia and all search engines zinazomilikiwa na US/UK/ zina close link na CIA,FBI,MOSAD,M16 so wana virus kama hao flame yani zilikua ni spyware za hali ya juu ambazo zilikua zinaweza ata kupiga picha, kudaka mawasiliano ya maongezi na maandishi yani emails na kuzipeleka CIA so ni kama vile dunia nzima tupo kwenye mikono yao..Kwa kufanya hivyo IRAN itakua imejihakikishia usalama wake kwa asilimia kubwa thats why spy wa CIA,FBI wamekua wakipata shida sana kujua kinachoendelea North korea...Na tukumbuke ni juzi UN ambayo ipo chini yao wameiweka mawasiliano ya internet kua ni basic human right ili tuwe under watch.,,,BRAVO IRAN FOR BRAKING THAT MONOPOLY

Na mimi nawapa sana hongera Wairan kufanikisha hilo, kuna kitu ambacho huwa kinanishangaza kidogo ni hii habari ya kusema eti virus aina ya Stuxnet vilifanikiwa kuingilia mfumo mzima wa computers zilizokuwa zinaendesha uranium enrichment centrifuges na kuziharibu?

Hii ilitokea kivipi? Mbona hizo aluminium centrifuge zinaendeshwa na PLCs ambazo hazina uhusiano wowote na applicaton programs za intranet let a lone Internet!

PLCs nyingi zinatoka Ujerumani(Siemens), Japan(Mitsubishi) na Modicon(Merikani) mtumiaji anaweza kuzi-customize kwa kuziprogram zikafanya shughuli anayo kusudia kwa kutumia ladder/rung au statement listing - swali ni, je Wamerikani/Wayahudi walifanikiwa kivipi ku-upload program za kirusi cha Stuxnet kwenye PLCs zinazo ongoza Aluminium centrifuge canisters za Wairan bila ya kuwa kwenye eneo husika phsically?

Je, kuna uwezekana wa Wairan wasaliti kubeba virusi hivyo kwenye laptop zao au Memory sticks zao na kwenda ku-upload virusi hivyo kwenye control system ya mitambo hiyo? Je Wairan wanaweza kweli kujisahau wakatumia laptop wanazotumia ku-surf internet wakiwa ofisini zikatumika tena ku-upload/modify program za PLCs not knowing that their laptops have already been compromised by Stuxnet virus kwa kujisahau kwao kuzi-connect kwa ISP wakiwa ofisini! Mbona Wairan ni watu makini sana wanawezaje kujisahau namna hiyo, wakati wakijuwa wazi wazi kwamba wana mahadui mahili ambao ni ma IT gurus i.e Jews na Wamerikani ambao wangeweza kabisa kuhujumu jitahada zao katika nyanja za NUCLEAR kwa kupitia virusi vya mtandaoni.

Suala zima kwangu niliona ni kitendawili kweli kweli, sina shaka kama Wairan for some reason walijisahau, basi watakuwa wamejifunza a lesson the hard WAY.
 
Na mimi nawapa sana hongera Wairan kufanikisha hilo, kuna kitu ambacho huwa kinanishangaza kidogo ni hii habari ya kusema eti virus aina ya Stuxnet vilifanikiwa kuingilia mfumo mzima wa computers zilizokuwa zinaendesha uranium enrichment centrifuges na kuziharibu?

Hii ilitokea kivipi? Mbona hizo aluminium centrifuge zinaendeshwa na PLCs ambazo hazina uhusiano wowote na applicaton programs za intranet let a lone Internet!

PLCs nyingi zinatoka Ujerumani(Siemens), Japan(Mitsubishi) na Modicon(Merikani) mtumiaji anaweza kuzi-customize kwa kuziprogram zikafanya shughuli anayo kusudia kwa kutumia ladder au statement listing - swali ni, je Wamerikani/Wayahudi walifanikiwa kivipi ku-upload program za kirusi cha Stuxnet kwenye PLCs zinazo ongoza Aluminium centrifuge canisters za Wairan bila ya kuwa kwenye eneo husika phsically?

Je, kuna uwezekana wa Wairan wasaliti kubeba virusi hivyo kwenye laptop zao au Memory sticks zao na kwenda ku-upload virusi hivyo kwenye control system ya mitambo hiyo? Je Wairan wanaweza kweli kujisahau wakatumia laptop wanazotumia ku-surf internet wakiwa ofisini zikatumika tena ku-upload/modify program za PLCs not knowing that their laptops have already been compromised by Stuxnet virus kwa kujisahau kwao kuzi-connect kwa ISP wakiwa ofisini! Mbona Wairan ni watu makini sana wanawezaje kujisahau namna hiyo, wakati wakijuwa wazi wazi kwamba wana mahadui mahili ambao ni ma IT gurus i.e Jews na Wamerikani ambao wangeweza kabisa kuhujumu jitahada zao katika nyanja za NUCLEAR kwa kupitia virusi vya mtandaoni.

Suala zima kwangu niliona ni kitendawili kweli kweli, sina shaka kama Wairan for some reason walijisahau, basi watakuwa wamejifunza a lesson the hard WAY.

Wanajidanganya Israel Wananjia Nyingi ya Kuichunguza Iran na Maadui Wengine... Mkuu Unashangaa why Virus wameweza kuharibu Uranium Enrichment .!! Elewa kuwa ukiwa unadeal na mambo ya Uranium basi karibu kila kitu kinaendeshwa na Robot NA computer kwa kiasi kikubwa so Hizo virus zikishika hatamu basi kazi yake ni kufanya ndivyo sivyo.

mwanzoni wairan walipata shida sana hawakuelewa walipogundua na kuwapigia sana waisrael kuwa wanaingilia Mitambo yao kwa Virus Israel wakatuma mtu kumuua Mtaalam wa Nuclear wa Iran... wakkajifanya wamedhibiti.... ili waonekane wajanja ... sasa mambo imekula kwao na washagunduliwa kila walichokuwa wanakifanya .... na Wapo Njiani kulipuliwa Subiri tu Utaona....
 
Dont mess with the americans... Hata wakijitoa CIA bado watapata access wakitaka coz some of them are in iran anyway
 
Kuhusu virus waliingiaje kwanza inasemekana SEMEN walihusika kutoa sectret code kwa US/israel though haijathibitishwa ni nchi gani zilihusika kuwatengeneza..Njia nyingine inayadaiwa ni hizi memory sticks kua ndio zilozosambaza...Lakini cha hajabu hao virus sio tu wali athiri IRAN tu bali ni nchi nyingi za middle east ikiwemo ISRAEL...Pia kuna VIRUS walio athiri mifumo ya ISRAEL na baada ya tafiti zilionekana code zimeandikwa kwa persian languages na IRAN ikadhaniwa ndio muhusika,, Na pia kuna VIRUS wengine wamegundulika wanataka kufanana na flame wanaitwa GAUS na wameathiri mifumo ya baadhi ya nchi za middle east...INDIA inahituhumu CHINA kwenye mambo km haya kwani PC nyingi za INDIA ni za CHINA so huwezi jua kuna program zipi wameweka thata y nchi nyingi wanatengeneza PC zao ikiwemo IRAN kiasi wemeshatengeneza super computer kwa ajiri ya tafiti nadhani ni nchi ya 7 duniani kua na uwezo huo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom