Iran to announce "Very Major" Nuclear Advance!

marekani watakuwa wanakasirika sana bila shaka vita ipo njiani hata kam ni after 10 years
 
Marekani yuko makini na kupigana na Iran.
Kura ya veto waliyopiga Russia & China, kuhusu swala la syria, ni message tosha kwamba wamechoshwa na mambo yake ya hovyo.
Another ishu, Iran iko fit kijeshi, afu inakua back na Russia na China, ambao wangependa kuona USA ikianguka. Hili swala USA analifanya with high calculation, otherwize inakula kwake!
 
i can smell war tena yakutisha lakini hii itakula kwa Iran yenyewe, hakuna taifa lililo na uwezo wakuipiga Israel. Mungu wao yuko active muda wote, hajalala wala kuwa likizo. Hata dunia yote ikiwa against Israel....still Israel will win.
Pray for the Peace of Jerusalem
 
Huko Midle east sidhani kama kumeshawahi kuwa na amani, na pia sioni ni kwa vipi kutakaa kuwe na amani.
 
i can smell war tena yakutisha lakini hii itakula kwa Iran yenyewe, hakuna taifa lililo na uwezo wakuipiga Israel. Mungu wao yuko active muda wote, hajalala wala kuwa likizo. Hata dunia yote ikiwa against Israel....still Israel will win.
Pray for the Peace of Jerusalem
Hivi dogo wewe unadhani mungu wa mwarabu na myahudi ni tofouti au?

Akili kweli mali.

Haya na mwafrika mungu wake nani?

Taifa la mungu Hazboullah alipokuwa anarusha scud zake Mungu wao alikuwa wapi:biggrin:
 
i can smell war tena yakutisha lakini hii itakula kwa Iran yenyewe, hakuna taifa lililo na uwezo wakuipiga Israel. Mungu wao yuko active muda wote, hajalala wala kuwa likizo. Hata dunia yote ikiwa against Israel....still Israel will win.
Pray for the Peace of Jerusalem

kama unamzungumzia Mungu yule yule ambaye kwa mujibu wa vitabu vitakatifu inasemekana aliziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, basi maelezo yako yana walakini.
 
i can smell war tena yakutisha lakini hii itakula kwa Iran yenyewe, hakuna taifa lililo na uwezo wakuipiga Israel. Mungu wao yuko active muda wote, hajalala wala kuwa likizo. Hata dunia yote ikiwa against Israel....still Israel will win.
Pray for the Peace of Jerusalem
Kumbe wengine Mungu wao kalala na pia anaenda likizo ! Duuh ! Wayahudi wana mungu wa peke yao, sasa mbona walimuua mungu wa wenzao ?
 
US admiral says forces prepared to confront Iran

MANAMA, Bahrain (AP) — The top U.S. Navy official in the Gulf said Sunday he takes Iran's military capabilities seriously but insists his forces are prepared to confront any Iranian aggression in the region.
Vice Adm. Mark Fox, commander of the 5th Fleet, told reporters at the naval force's Bahrain headquarters that the Navy has "built a wide range of potential options to give the president" and is "ready today" to confront any hostile action by Tehran.

He did not outline specifically how the Navy might answer an Iranian strike or an effort to shut the entrance to the Persian Gulf, though any response would likely involve the two U.S. aircraft carriers and other warships cruising the waters off Iran.
"We've developed very precise and lethal weapons that are very effective, and we're prepared," Fox said. "We're just ready for any contingency."

Faced with tightening Western sanctions, Iranian officials have stepped up threats to close the Strait of Hormuz if the country's oil exports are blocked. A fifth of the world's oil supply passes through the narrow waterway, which is only about 30 miles (50 kilometers) across at its narrowest point.
Iran and Oman share control of the waterway, but it is considered an international strait, meaning free transit passage is guaranteed under international law.

More information hapa
http://www.yahoo.com/_ylt=AlcNZ9iSkt81Py26y1_PIVabvZx4;
 
i can smell war tena yakutisha lakini hii itakula kwa Iran yenyewe, hakuna taifa lililo na uwezo wakuipiga Israel. Mungu wao yuko active muda wote, hajalala wala kuwa likizo. Hata dunia yote ikiwa against Israel....still Israel will win.
Pray for the Peace of Jerusalem

Nafahamu nguvu za kijeshi za Israel, lakini ukweli ni kuwa hakuna suala la Mungu hapo, kama lingekuwepo Hitler asingiliweza kuwauwa kinyama waisrael zaidi ya milioni 6, au makombora yale ya scud ya Sadam yasingeweza kutua Israel, au wasingeweza kushindwa vita na wanamgambo wa Hisbolah ambao hawana hata kifaru kimoja wala ndege. Maguvu yale ya Israel ni techonlogia tu waliyowezeshwa na Marekani, na kwa kuwa sayansi hubadilika kila siku ipo siku wataangushwa. Historia inaonesha hakuna taifa liliwahi kuwa na nguvu za kijeshi milele.
 
Ndiyo maana nikasema there will never be peace on middle east, dunia imegawanyika kiushabiki wa kiimani kuhusiana na migogoro yao.

Ukichangia na huo utajiri wa mafuta, sioni ni kwa namna gani hizo superpowers zinazohitaji energy hiyo zitaondoa miguu yao huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom