Iran tankers adopt Tanzania's flag to avoid embargo

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
NEWS

oil-tanker.jpg

An oil tanker off-loading crude oil in Mombasa in 2011. The international news agency Bloomberg reported on Tuesday that an oil tanker company known as NITC, owned by the Iranian Pension Fund, has renamed at least 10 of its vessels and switched to the Tanzanian flag. Photo/File

By The Citizen Reporters

Posted Wednesday, June 27 2012 at 12:51

Reports that an Iranian oil-tanker company has renamed at least 10 of its vessels and switched them to Tanzania's flag to get round international sanctions sent shockwaves through the country's leadership on Tuesday.

Government ministers and public officials went into overdrive following reports that the company had changed the registration of several of its ships and was now passing itself off as a Tanzanian firm. The vessels were apparently registered in Zanzibar.

The Minister for Transportation, Dr Harrison Mwakyembe, said he was aware of the development and had taken action. But his Foreign Affairs counterpart, Mr Bernard Membe, was in the dark about the saga.

The international news agency Bloomberg reported on Tuesday that the oil tanker company known as NITC, which is owned by the Iranian Pension Fund, has renamed at least 10 of its vessels and switched to the Tanzanian flag.

Mr Membe, who described the news as "shocking, strange and irregular according to the governing laws", said thorough investigations would be conducted to establish the truth.

Bloomberg reported that NITC renamed five of its very large crude carriers, each holding about two million barrels of oil, and five Suezmaxes with a capacity for one million barrels.

Quoting the Equasis shipping database maintained by the European Commission, the reports pointed out that ownership of the ships was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran. NITC remains the operator, though. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus.

This development comes a few days before the full European embargo on Iranian crude exports, which starts next Monday, is extended to insuring vessels that carry the oil. Some 25 NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said.

The US and Europe plan to impose the embargo on Iranian crude oil export amid fears that Iran nuclear programme is aimed at developing atomic weapons.

Mr Membe said: "That's very strange and it's irregular, in accordance with the governing laws. I will need to consult authorities in Iran for this matter."

He spoke at Julius Nyerere International Airport shortly before boarding a plane for an official trip abroad. The minister has directed various departments to investigate how it was that a foreign company was able to fly a Tanzania flag on its properties.

Dr Mwakyembe said he was aware of the matter but did not have details, which he said the authorities were still working on.

Since the vessels were registered in Zanzibar, he added, it was important that his Zanzibari counterpart comment first.

"I can't comment before the Zanzibar minister for Communication and Transport has done so," he said. "Contact me after he comments."

The Surface and Maritime Regulatory Authority (Sumatra) acting Director General, Mr Ahmad Kilima, echoed the sentiments but added that the Tanzania Maritime Act prohibits foreign companies from registering their ships in the United Republic. But Zanzibar, which has separate laws on the issue, does allow open registration.
Efforts to reach the Zanzibari minister, Mr Hamad Masoud, proved futile and the Zanzibar Maritime Authority (ZMA) boss, Mr Abdallah Hussein Kombo, would neither confirm nor deny the reports.

He did say, though, that Zanzibar's Marine Act does not prohibit foreign companies from registering their vessels in the Isles.

"I can only confirm it if you send me the name of the ships and the company," Mr Kombo said. "As for now, I am not aware of the news."

But when contacted later, Mr Kombo denied knowledge of any transaction involving ZMA and NITC. He added: "We have not registered any vessel owned by NITC. Maybe the vessels were registered under another company's name."

Reported by Frank Kimboy and Mkinga Mkinga

Meli za Iran karibia 10 zimeandikishwa Tanzania lakini sio Tanganyika ni Zanzibar; kwahiyo Mwakyembe hawezi kuongelea

Jambo hilo, sio suala la Muungano ni suala la Zanzibar na Waziri Uchukuzi Zanzibar ndie anayetakiwa kujibu swali hilo.

Tanzania Jina Letu litakuwa baya Kimataifa Sababu tutakuwa tunasafirisha bidhaa zilizopigwa stop na mataifa mengine

Na Zanzibar imepewa nini kufanya hivyo? Hivi ndio Maana Makamu wa Rais wa IRAN alikuja kumtembelea Makamu wa

Rais Bilal baadaye akaenda Zanzibar????
 
Now this rings a bell in my head on the recent trip on the top iranian leader to country...plus Uamsho stuff..so they want to make Zanzibar their safe heaven????
 
http://www.theeastafrican.co.ke/image/view/-/1436900/highRes/374057/-/maxw/600/-/pm1ome/-/oil-tanker.jpg img
Iran tankers adopt
Tanzania's flag to avoid
embargo
The international news
agency Bloomberg reported on Tuesday
that an oil tanker company known as NITC,owned by the Iranian Pension Fund, has
renamed at least 10 of its vessels and
switched to the Tanzanian flag.

http://www.theeastafrican.co.ke/news/Iran+tankers+adopt+Tanzanian+flag+to+avoid+embargo/-/2558/1436894/-/93j5i8/-/index.html
 
Huu muungano utakuja kutuponza usikute hata uamusho wanapewa misaada na Iran.Nijuavyo mimi Zanziabr wana bendera yao iweje bendera ya Tanganyika itumike ?.
 
Meli za Iran karibia 10 zimeandikishwa Tanzania lakini sio Tanganyika ni Zanzibar; kwahiyo Mwakyembe hawezi kuongelea

Jambo hilo, sio suala la Muungano ni suala la Zanzibar na Waziri Uchukuzi Zanzibar ndie anayetakiwa kujibu swali hilo.

Tanzania Jina Letu litakuwa baya Kimataifa Sababu tutakuwa tunasafirisha bidhaa zilizopigwa stop na mataifa mengine

Na Zanzibar imepewa nini kufanya hivyo? Hivi ndio Maana Makamu wa Rais wa IRAN alikuja kumtembelea Makamu wa

Rais Bilal baadaye akaenda Zanzibar????

Ndio maana wazenji wanataka kujitenga ili wawatumikie mabwana zao waarabu kikamilifu. Hata hivyo kwa upande mwingine hili suala huwezi kulitenganisha moja kwa moja kutoshirikishwa kwa viongozi wa serikali ya Muungano kwa maana CCM ni wale wale, wawe wa Zenji au Bara. Nina shaka hawa wanaweza wakawa ndo waliowawekea zile bin 300 kule Uswisi na ndio wanaowasaidia kundi la kigaidi la Uamsho.
 
Itachukua uamuzi mgumu kutoka kwa aidha jeshi la TZ au Kenya lakini sana Tanzania kuhakikisha usalama unadumishwa maana kuna CUF na CCM kule Zanzibar. Vita dhidi ya ugaidi ni moto na siyo jinsi ulivokuwa ukichukuliwa kwa uepesi AM
 
Zanzibar sio nchi kwa hiyo hiyo bendera yake inatambulika Zanzibar tu, lazima itumie ya nchi ikiwa kwa shuguli kubwa hizi
 
Haya ni mambo ya Serikali ya Zanzibar, Tanzania mainland haiwezi kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho! Tuko makini sana. Majirani zetu awajuhi kwamba Zanzibar ina bendela yao ya Taifa na wimbo wao na Serikali yao - kwa kifupi mambo mengi ya ku-run nchi yao wanajiamlia wenyewe; kwa hiyo msije kukuza mambo hapa na kuanza kutaka kueleza DUNIA kwamba Tanzania Mainland is part of this mafiosa GAME.
 
Ndio maana wazenji wanataka kujitenga ili wawatumikie mabwana zao waarabu kikamilifu. Hata hivyo kwa upande mwingine hili suala huwezi kulitenganisha moja kwa moja kutoshirikishwa kwa viongozi wa serikali ya Muungano kwa maana CCM ni wale wale, wawe wa Zenji au Bara. Nina shaka hawa wanaweza wakawa ndo waliowawekea zile bin 300 kule Uswisi na ndio wanaowasaidia kundi la kigaidi la Uamsho.
hebu kuwa nastaha sisi dini yetu inatukataza kuwa na mabwana tafadhali tafuta msamiati mwengine
 
Ndio wafadhili wa Uamsho kwa taarifa yenu

Siwezi kushangaa mkuu, maanake nilikuwa nashindwa kuelewa jeuri walikua wanaipata WAPI? Bila Serikali yetu kuwa-contain bila huruma sijuhi saa hizi Zanzibar ingekuwa na hali GANI - Members wa UAMSHO wanapashwa kuwa-monitored closely come rain or shine.
 
nchi ya 3 kwa umaskini duniani hadi rais wake anashindwa kujua kwanini watu wake masikini. sijui kama jina letu linaweza kuharibika zaid ya hivi

Meli za Iran karibia 10 zimeandikishwa Tanzania lakini sio Tanganyika ni Zanzibar; kwahiyo Mwakyembe hawezi kuongelea

Jambo hilo, sio suala la Muungano ni suala la Zanzibar na Waziri Uchukuzi Zanzibar ndie anayetakiwa kujibu swali hilo.

Tanzania Jina Letu litakuwa baya Kimataifa Sababu tutakuwa tunasafirisha bidhaa zilizopigwa stop na mataifa mengine

Na Zanzibar imepewa nini kufanya hivyo? Hivi ndio Maana Makamu wa Rais wa IRAN alikuja kumtembelea Makamu wa

Rais Bilal baadaye akaenda Zanzibar????
 
Haya ni mambo ya Serikali ya Zanzibar, Tanzania mainland haiwezi kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho! Tuko makini sana. Majirani zetu awajuhi kwamba Zanzibar ina bendela yao ya Taifa na wimbo wao na Serikali yao - kwa kifupi mambo mengi ya ku-run nchi yao wanajiamlia wenyewe; kwa hiyo msije kukuza mambo hapa na kuanza kutaka kueleza DUNIA kwamba Tanzania Mainland is part of this mafiosa GAME.
mungelikuwa kama nyinyi mungelikuwa makini kwanini munawaacha barack kuwatapeli kwa maadini yenu! haya matusi mupunguze. nyinyi minatukanikika mbona tunawavumilia!
 
siwezi kushangaa mkuu, maanake nilikuwa nashindwa kuelewa jeuri walikua wanaipata wapi? Bila serikali yetu kuwa-contain bila huruma sijuhi saa hizi zanzibar ingekuwa na hali gani - members wa uamsho wanapashwa kuwa-monitored closely come rain or shine.
uamsho hatuna haja ya pesa za irani - uamsho ni umoja wa wazanzibari wote! Mutasema mwishi mutachoka! Sisi hatutishwi na vikaragosi!
 
wewe unachekesha mno utabaki kulalama tu! Ss tunataka zanzibar yetu na ujanja hamna ! Kelele zenu ni sawa na kekele za mlango hazimkeri mwenye nyumba! Zenjibar allez allez! Aluta continua
 
uamsho hatuna haja ya pesa za irani - uamsho ni umoja wa wazanzibari wote! Mutasema mwishi mutachoka! Sisi hatutishwi na vikaragosi!

Mkileta vurugu zenu za kishenzi kwa kukosa busara za kuona mbali, mkaleta mambo yenu huku bara mtapata fundisho mpaka mjute kuzaliwa. Watu na akili zenu timamau mnawezaje kupeperusha bendera yenu kwenye meli za wizi na kututia aibu Kimataifa - nani atatuelewa, itatuchukua muda kujieleza kimataifa kwamba Tanzania bara aihusiki na ya cosa NOTRA, nimekasilika kweli kweli.
 
Tanzania tunakierere sana kama hizi meli zimesajiliwa zanzbar mbona hawapigi kerere zaidi ya sisi thats why wanataka wajiamulie mambo yao full stop.....Tanzania itachafuka kwa kuwaua viongozi na wanaharakati na sio biashara baina ya nchi na nchi....na tutatengwa na mataifa kwa kuvunjavunja haki za binadamu na sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom