Iran ready to be paid in gold, national currencies for oil

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
[h=2][/h]
Published: 29 February, 2012, 00:37
Edited: 29 February, 2012, 03:44

Central Bank of Iran (REUTERS/Morteza Nikoubazl)

TRENDS: Iran tension
TAGS: Oil, Conflict, Currencies, Iran, India, USA, Global economy

Tehran announced Tuesday that it is ready to receive payment for oil supplies in gold as well as the national currencies of importer countries. That’s according to Mahmoud Bahmani, Governor of the Central Bank of Iran.
­In trade operations with foreign countries Iran does not limit itself to dollars, and any state is free to use its own currency, Bahmani is quoted as saying by Russia's Itar-Tass news agency. He also added that if any client state wants to pay in gold, Iran would accept it without hesitation.
In 2012 the US toughened sanctions against the country that attempt to obstruct the activities of the Central Bank of the Islamic Republic of Iran. Washington warned that sanctions would also be applied against international banks that use US dollars in deals with Iran. As a result, countries that buy Iranian oil have faced the problem of how to pay for it. Now, the Islamic country is working to accommodate its clients through the offer to accept their national currencies.
­Last week India angered the US by continuing to import oil from Iran, while Washington is trying by any and all means to persuade the country take its oil needs elsewhere. The US is expected to make every effort to find alternate suppliers for Iran.
There are currently no sanctions that would restrict India from continuing to do business with Iran, but any disruption in their relationship could cause the Iranian economy to be impacted significantly. Traditionally, India purchases around 12 per cent of all its crude from Iran, a transaction worth around $12 billion each year. As the Obama Administration continues to warn Iran over its nuclear energy program, American officials are getting creative in finding ways to get them to crack.

SOURCE:Iran ready to be paid in gold, national currencies for oil — RT

MY TAKE:
GEOPOLITICAL CHESS IS BEING PLAYED BEFORE OUR EYES, SO FAR THIS IS ANOTHER EXCELLENT MOVE BY THE IRANIANS, NGOJA TUONE NANI ATASHINDWA KWENYE HII GEMU, HUYO NDIYE ATAKAYERUSHA NGUMI WA KWANZA!
 
Lol...sanction zimeanza kupiga penyewe na endeleeni kuwapa vichwa,hakuna nchi itatoa gold reserve yao kwa ajiri ya mafuta,sasa tufanye mpango lets go and print trillions of shillings tukanunue reserve ya miaka mitano,hawa kamba tuu will never take national currency ya nchi maskini ni propaganda tuu,Chinese na Russia wanawapa vichwa tuu lakini ukweli global Economy iko west na hawatawasaidia chochote mafia wakubwa wale sana sana watawauzia fake weapons tuu watakazolipa kwa contracts za mafuta.
 
lol...sanction zimeanza kupiga penyewe na endeleeni kuwapa vichwa,hakuna nchi itatoa gold reserve yao kwa ajiri ya mafuta,sasa tufanye mpango lets go and print trillions of shillings tukanunue reserve ya miaka mitano,hawa kamba tuu will never take national currency ya nchi maskini ni propaganda tuu,chinese na russia wanawapa vichwa tuu lakini ukweli global economy iko west na hawatawasaidia chochote mafia wakubwa wale sana sana watawauzia fake weapons tuu watakazolipa kwa contracts za mafuta.

india tayari ananunua kwa kutumia gold
china anaweza kununua kwa kutumia yuan
ni opportunity kwa nchi masikini kufanya barter trade in exchange ya resources kama vile mchele, ngano,dhahabu,chuma, nafaka mbali mbali kwa mafuta.

Kilichobaki ni marekani kurusha mabomu tu na kuua wanawake, wanaume na watoto wasio na hatia, ila kwa geopolitical chess, hawana chochote, wamebaki na nato lakini uchumi kwishney!

Wanajidanganya eti saudi arabia atafidia mafuta yatakayopungua kwa irani kutouza mafuta!, speculation pekee yake inasababisha mafuta kupanda bei, na hii inasaidia kufidia pato ambalo analikosa kwa kutokuuza kiasi fulani cha mafuta yake.

Wakiivamia irani, ni dhahiri irani analipua mitambo ya kusafisha na kusafirisha mafuta vilivyoko mashariki mwa saudi arabia, katika mtindo wa ukimwaga mboga namwaga ugali, then tuje tuone saudia atafidia vipi hicho kiwango cha mafuta pungufu katika soko.

Hawa jamaa watapiga mikwara tu, lakini at the end iran ana karata zake nzuri tu.
Mpini wenyewe ni
(1) kuziba strait of hormuz
(2) uwezo wa kuidisrupt saudi arabia isifidie mafuta pungufu sokoni, kwa kulipua vinu vyake vya mafuta
(3) missiles za kufika tel-aviv
(4) uwezo wa ku-unleash hizbola na kuiletea israel matatizo
(5) uwezo wa kupunguza bei ya mafuta yake na kumpa stake nzuri mchina
(6) uwezo wa kuikatia greece na spain mafuta na kusababisha euro izide kuelemewa

wakiamua kwenda vitani, basi ujue bila kutumia bomu la nyuklia waandae dola trilioni 3 na maelfu ya wanajeshi wao ili kuweza kuachieve regime change ndani ya irani, otherwise moves zao ni counter-productive kwao wao wenyewe
 
Tanzania sasa hatuna haja ya kuangaika kutafuta Dollar kununua mafuta ! Yebaaa !!! kuruu kruuu kruu.
 
Lol...sanction zimeanza kupiga penyewe na endeleeni kuwapa vichwa,hakuna nchi itatoa gold reserve yao kwa ajiri ya mafuta,sasa tufanye mpango lets go and print trillions of shillings tukanunue reserve ya miaka mitano,hawa kamba tuu will never take national currency ya nchi maskini ni propaganda tuu,Chinese na Russia wanawapa vichwa tuu lakini ukweli global Economy iko west na hawatawasaidia chochote mafia wakubwa wale sana sana watawauzia fake weapons tuu watakazolipa kwa contracts za mafuta.
One of the long term strategy is to look for oil in the areas that are not as troublesome and could be easily controlled if not contained. Tanzania tunashangilia hizi investment za mafuta, lakini zimekuja for a reason...to give these trouble makers an alternative if middle east becomes chaotic
 
+Usianze kusherehekea mapema. Dhahabu ya Tanzania si mali yetu. Ni mali ya Barrick.

And the people involved in the global carteling are the same and one, whether in Tanzani, Saudi Arabia or anywhere else in the world.
 
Hawa jamaa watapiga mikwara tu, lakini at the end iran ana karata zake nzuri tu.
Mpini wenyewe ni
(1) kuziba strait of hormuz
(2) uwezo wa kuidisrupt saudi arabia isifidie mafuta pungufu sokoni, kwa kulipua vinu vyake vya mafuta
(3) missiles za kufika tel-aviv
(4) uwezo wa ku-unleash hizbola na kuiletea israel matatizo
(5) uwezo wa kupunguza bei ya mafuta yake na kumpa stake nzuri mchina
(6) uwezo wa kuikatia greece na spain mafuta na kusababisha euro izide kuelemewa

wakiamua kwenda vitani, basi ujue bila kutumia bomu la nyuklia waandae dola trilioni 3 na maelfu ya wanajeshi wao ili kuweza kuachieve regime change ndani ya irani, otherwise moves zao ni counter-productive kwao wao wenyewe

...wewe gamba acha hizi fantasy zako za Bob of Baghdad hakuna hata kimoja hapo wanaweza,na no need of regime change dawa yao ni kuwapatia unrecoverable damage in their military and financials to bring them to their knees,Saddam wasted billions kwa fantasy zake with military machines na kuwapeleka wananchi wake in many unnecessary wars na wakafa in millions bila sababu aliishia wapi?haya manchi yana mafuta kuliko hata Kuwait lakini angalia Kuwait wananchi wake wana higher standard of life kuliko hata America na hakuna mtu anawasumbua au kuwaambia wache dini zao au waishi kama west,nakuhakikishia Iran kuna maskini wengi kuliko Dar es salaam kutokana na siasa za hawa kina Ayatollah
 
Iran Siyo Sawa na Iraq wewe, Iran iko more advanced kijeshi kuliko nchi za Kiarabu, Wairan wana Ingenuity, ni wabunifu, wanatengeneza silaha zao wenyewe.

Saddam Hussein alikuwa Kibaraka ambaye aliamua Kurebel na kwenda against maslahi ya wakubwa, Mijamaa ikamfix kwa kudanganya ulimwengu juu ya Silaha za maangamizi zisizokuwepo!

Kusema kuwa eti watulie tu kama Wakuwait ili makampuni ya Kimagharibi yafyonze wese tu huku mkibakishiwa makombo ni ujinga waliokataa Wairan mwaka 1979. Wairan wanataka kuwa Independent kutoka katika makucha ya Neo-colonialism, wanataka justice katika security council, financial institutiions.

Partly huu mkwara wa Kutaka Iran isitishe programu yake ya Nyuklia, ni katika conspiracy za kuizuia Iran isipige hatua katika medani ya Kisayansi na hivyo kuendelea kuwa dependent kwa "few self chosen countries". Hii haikubaliki hata kidogo.

Kama unachukia Neo-Colonialism na Emperialism wala huitaji kujua au kuona kwamba Policies wanazoziadopt West Countries ni unfair na ni vyema kuziunga mkono Sauti za resistance duniani.
 
Tanzania sasa hatuna haja ya kuangaika kutafuta Dollar kununua mafuta ! Yebaaa !!! kuruu kruuu kruu.
Tanzania kuna machimbo ya dhahabu ila nchi haina dhahabu. Na hapo bado hamjapata mafuta. Hapo ndipo mtajua kwanini wakubwa hawatoki Afghan !
 
Back
Top Bottom