Iran Offers to Share Nuke Technology With Africa that have Uranium Reserves

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Published January 07, 2012| Associated Press

TEHRAN,
Iran -- Iran's nuclear chief says his country is willing to help what he called "friendly" African nations that have uranium reserves to set up facilities to process the ore into nuclear material.

Fereidoun Abbasi says Iran has mastered the entire nuclear fuel cycle from extracting uranium ore to producing fuel for reactors and is ready to share the technology. Abbasi's comment was reported by the semi-official Mehr news agency Saturday.

The offer appears aimed at touting Iran as a nuclear power that has mastered the technology and is willing to help others create peaceful nuclear programs. Iran says its program is solely aimed at generating electricity and denies Western accusations that it seeks to build a bomb.

Tanzani hawawezi kuchangamkia hili dili kwa sababu zifuatazo
1.mkwele japo ni wa dini yetu ile lakini hatataka support kutoka Iran kwani US watamzuia kwenda kuangalia NBA
2. Viongozi wote wa TZ ni vilaza..mimate imewajaa mdomoni kina ngeleja badala ya kusolve matatizo ya wizara yake amechukua nafasi ya Nape Nauye "uvuvuzela"
3.Viongozi wetu wanawaogopa kina kameruni kwani huko ndiko wanakopitisha bakuli kulia lia kama malaya na kuomba omba huku wakisamehe kodi kwenye migodi na madini
 
watanzania na viongozi wetu yap mchangamkie dili hili lina faida kubwa na nyingi kwanza tutapata umeme wakutosha maisha. Pili tutakuwa na ujuzi na wataalam kutoka kwetu wenyewe baada ya mda. Nasi tutaweza sambaza utaalam
 
Tanzani hawawezi kuchangamkia hili dili kwa sababu zifuatazo
1.mkwele japo ni wa dini yetu ile lakini hatataka support kutoka Iran kwani US watamzuia kwenda kuangalia NBA
2. Viongozi wote wa TZ ni vilaza..mimate imewajaa mdomoni kina ngeleja badala ya kusolve matatizo ya wizara yake amechukua nafasi ya Nape Nauye "uvuvuzela"
3.Viongozi wetu wanawaogopa kina kameruni kwani huko ndiko wanakopitisha bakuli kulia lia kama malaya na kuomba omba huku wakisamehe kodi kwenye migodi na madini

Yaani hapo tu nachoka na viongozi wetu. Hawataki kuonyeshwa wapi wanapokosea, wala hawafikrii nje ya US, na kila wanaloambiwa na US basi ni zuri. Tunahitaji kuamua moja, hizi siasa za kutofungamana upande wowote nazo zinatufanyia mbaya. Nchi haina cha kujivunia!! Tunaendelea kuimport kila kitu hata vile tunaweza kuzalisha wenyewe hata kama ni soko huru lakini tunaweza kulitawala hilo soko huru.

Inshu ya umeme tunawafuga sisi wenyewe hawa viongozi!! tuna kila aina ya resources za kuzalisha umeme! tuna gesi, tuna jua, upepo na maporomoko ya maji achilia mbali mafuta na katani lakini bado tunaona shida kuhakikisha hili linaisha kabisa.
 
Kuomba omba kutatumaliza.
Tunatoa rasilimali zetu bure alafu tunaenda kuuomba, tukipata nafasi ya kufanya kitu cha maana tunaacha ipite kwa kua hatujielewi, hatuna msimamo wala sauti.

Juzi tu hapa watu walikua wanatoa povu kuhusu "kutukanwa na Israel" haya sasa nafasi hiyo ya kuwaonyesha waIsraeli umuhimu wa Tanzania itumieni.
 
Nchi moja inasema tutatoa ofa ABC kwa mwenye madini ya uranium, wakati huo huo kuna nchi ilishatangulia zamani, ikafanya utafiti na kuya spot maeneo yenye uranium na wamesha makubaliano ya awali kuhusiana na hiyo uranium.
Mpaka sasa hivi anayeshughulika na teknology ya uranium nchini Iran ni Urusi, na urusi hakuwahi kuumuuzia Iran hiyo technology na ndiyo maana hata technical suppport hufanywa na warusi, wao Iran huishia ku operate tu hiyo mitambo ya nuclear, sasa najiuliza hiyo technology wataayo to offer ni ipi?
 
Ata kama Iran anaya tekinologia lakini tatizo ni lazima akubaliane na Taasisi ya Atomiki ya kimataifa,vinginevyo tutawekwa kwenye blacklist ya mataifa korofi.Kusema kisiasa ni rahisi kutenda ni kitu kingine.
 
Tusidanganyike na nchi ya Iran, ni mpito wa hatari kwa dunia nzima. Offer yake ya kutaka kushare Nuclear technology
na nchi za Afrika ni udangaynifu wa kujirahisishia kupata madini ya Uranium kutoka kwa nchi za Kiafrika kihurahisi.
Kwanza inaeleweka wazi kabisa kwamba Russia, China na watu wa kunuliwa kutoka ulaya ya magharibi ndio wanaosimamia
Teknolojia ya Nuclear nchini Iran. Wao hawajakuwa na uwezo huo. Na lengo kubwa la Iran ni kutengeneza silaha za
maangamizi, ( Atomic Bomb ) na Uranium wanayohitaji ailengi sana katika matumizi ya kuzalisha umeme.
Na matumizi ya Uranium yanachangia kiasi kikubwa mabadiliko ya hali ya hewa Duniani, na madhara yake yanaonekana
Dunia nzima na sio kama sisi tutauza Uranium ndio hatuathiriki, Vimbunga vikiambatana na mvua kubwa ambazo vimeshaua
Watu wengi Duniani na kuharibu mazingira ya nchi, katika majanga yaliyokwishwa tokea ikiwemo nchi ya Tanzania.
Kwa hiyo tujihadhari na tuhadhalishe Dunia. Na jambo ilo la Uranium ndio lililomgusa Ehud Barak na kutoa kauli chafu
ya kuidharau Tanzania, mbali na hilo Barak anahitajika awaombe radhi watanzania kwa kauli yake. Na zaidi kinachendelea
ambacho kinaleta mtafaruku kwa mataifa mengine ni tamaa na ufisadi wa watu ndani ya Serikali ya Ccm kuuza kinyemela
madini ya Uranium kwa Taifa la Iran.
 
Ni habari njema sana kama tutapata hiyo technologhy itusaidie na tatizo kubwa sana la energy, tukifanikiwa hapo imetoka hiyo, tutatendelea, wairan wanminywa kutokana na proximty yao na Israel.
 
Wapenda dezo changamkieni halafu siku mkipata ajali kama zile za Japan muwahi kuwapigia magoti kina Cameron na wenzao wawasaidie!!
 
Back
Top Bottom