Iran kununua ndege 114 za Airbus

Kuna sms wanatuma US. Wameamua nao kuwawekea "vikwazo" baridi kwa kuachana na bidhaa zao including Boeing.
Acha Uongo Mkuu hizo habari nadhani umepata Msikitini tu hakuan Shaka kwa Hilo na wewe utakuwa ni Msunni tu... Iran Anataka kununua Ndege 500 za Abiria na kati ya ndege hizo nyingi zitakuwa za Kimarekani kwa kampuni ya Boeing nadhani huelewi why Boeing ni kampuni gani ni ndege imara haziwezi fananishwa na kampuni yeyote ile Duniani Airbus ni Nyanya na pia Boeing zipo safe na full of technology ya Mmarekani na Muisrael Ndege za Boeing za abiria zinakwepa hadi makombora thanks to Israel Technology Airbus pia zinatechnology za Israel pia Iran ana urafiki na Russia lakini hawazii ndege zao kwani zimepoteza maisha ya Raia wengi wa Iran kwa Ajari na pia Iran Ndege zilizo kwenye List ya Iran ni kutoka Canada na Brazil na lengo kuu la Iran wanataka kuwa na Tech yao wenyewe Ila Ndege ni Shidaaaaa kutengeneza ghafla ghafla wana long time plan.

Marekani hakomoleki utatapa tapa tu mwisho maji yakikuishia utaomba tu.... Sasa Iran aseme amchunie Mmarekani hawezi kwani amejaribu kwa muda mrefu na alichokuwa anafanya anatumia third party country na wezi wa kimataifa kuwa na bidhaa zote za kimarekani na kuzipa majina yake tu yaani ni vituko so wameona ni ujinga bora wafanye biashara wazi wazi... kwani kila kitu watapata from Marekani na Israel japo kwa kisiri na Israel kama ilivyokuwa Desturi yao...
 
Mimi nilibaki mdomo wazi nilipoona Gari ya Rais wa Iran ni kutoka Marekani,yaani jamaa wanapiga mdomo lakini hapo hapo wanatumia bidhaa za Marekani.
 
Nina mashaka na iran, inaweza kua imekubali masharti ya wakubwa ili kuzuga ili iondolewe vikwazo inunue vipuli na vyombo vipya vingine baada ya hapo iseme itatengeneza silaha za nyuklia kama kawaida.

Maana kwa sasa ndio nchi yenye fleets za ndege za kizamani sana na nzee kwa ajili ya vikwazo. Magaribi wameanza kua na mashaka baada ya iran kuondolewa vikwazo imeobgeza ushirikiano na china kuliko kawaida.

Sijawahi kuelewa kwanini Iran kumiliki nuclear no tatizo kwa dunia ilhali nchi kama marekani,urusi,uingereza,Israel zinamiliki silaha hizo na inaonekana siyo tatizo kwa dunia
 
Record za Iran na vidhibiti huwa haaminiki na ni Mfadhili mkuu wa Ugaidi na elewa Mashia huwa ni watu wa Visasi wapo kama Wameru vile.. Mfano Nassar na Lem Arusha huko....

Iran ana makombora anawapa vikundi vya kigaidi je akiwa na nuclear si balaa hilo na Magaidi hawachagui sehemu iwe na mtoto au wazee uwe umefanya kosa au la ndio maana nchi zote jirani na za mbali zinapinga... pia ile kauli au kauli zake za kusema ataifuta kwenye ramani nchi ya Israel imechangia sana.. Ki ujumla Iran si Sawa kuwa na Silaha hizo..

Nchi kama Marekani Russia Israel na nchi kadhaa zimeweza kuwa nazo hizo kisiri na mwishowe ikawa too late kuzizuia ndio maana waliadhimia kutengeneza vifaa vya kuditect mapema kufahamu mtu anayetengeneza ili wamuwahi mapema... Hiyo mitambo unatakiwa uwe na pesa sana kuyatunza na pia kama unataka kuwa nayo basi yawe wazi kwenye uangalizi wa kimataifa ili yasije kuleta madhara kwa ulimwengu... na kiongozi wa Iran anamatatizo kichwani...
 
hahah hii ni noma Lazima Capitol hill waliongelee hili! Kwa sasa Boeng wanalia chooni! Imagine at a price of 20 mln per jet how much is this deal worthy of?
Acha Ujinga Boeing Haikwepeki... fuatilieni habari vizuri msiwe na akili kama za kunguru akisikia sauti tu anakimbia... Iran ndege anazotaka nyingi ni aina ya Boeing deal bado hajakubaliwa tayari ndio kaanza na hizo kwa shingo upande tu lakini Boeing ndio ndege zake Safe na ndio zilizompa rank ya kuwa na Ndege Salama kabla ya Ban... Iran wanamuamini Mmarekani tu kwa Vifaa na ndio anamuiga sana kasomesha watu wake marekani
 
Acha Uongo Mkuu hizo habari nadhani umepata Msikitini tu hakuan Shaka kwa Hilo na wewe utakuwa ni Msunni tu... Iran Anataka kununua Ndege 500 za Abiria na kati ya ndege hizo nyingi zitakuwa za Kimarekani kwa kampuni ya Boeing nadhani huelewi why Boeing ni kampuni gani ni ndege imara haziwezi fananishwa na kampuni yeyote ile Duniani Airbus ni Nyanya na pia Boeing zipo safe na full of technology ya Mmarekani na Muisrael Ndege za Boeing za abiria zinakwepa hadi makombora thanks to Israel Technology Airbus pia zinatechnology za Israel pia Iran ana urafiki na Russia lakini hawazii ndege zao kwani zimepoteza maisha ya Raia wengi wa Iran kwa Ajari na pia Iran Ndege zilizo kwenye List ya Iran ni kutoka Canada na Brazil na lengo kuu la Iran wanataka kuwa na Tech yao wenyewe Ila Ndege ni Shidaaaaa kutengeneza ghafla ghafla wana long time plan.

Marekani hakomoleki utatapa tapa tu mwisho maji yakikuishia utaomba tu.... Sasa Iran aseme amchunie Mmarekani hawezi kwani amejaribu kwa muda mrefu na alichokuwa anafanya anatumia third party country na wezi wa kimataifa kuwa na bidhaa zote za kimarekani na kuzipa majina yake tu yaani ni vituko so wameona ni ujinga bora wafanye biashara wazi wazi... kwani kila kitu watapata from Marekani na Israel japo kwa kisiri na Israel kama ilivyokuwa Desturi yao...

Mkuu vipi? Hivi hujui kwamba ndege zinazohundwa na Ushirika wa Mataifa ya Ulaya i.e Airbus ziko technically advanced kuliko ndege za Boeing save Dreamliner!!

Si hilo tu hata linapokuja saula la mauzo ya idadi ya ndege za abiria Airbus na Boeing mauzo yao yana run almost neck to neck - actually kuna miaka fulani Airbus ilifanikiwa kuhuza ndege nyingi Duniani kuliko Boeing.

Kitu kingine sio kweli kusema ndege zote za Boeing zinawekewa mitambo ya kujikinga dhidi ya makombola - ni ndege za Marais ndio zinakuwa retrofitted na mitambo hiyo kwa kuombwa na Serikali husika, ni Israel tu ambayo ndege zake zote za abiria zimewekewa mitambo kama hiyo.

Nimeona unamsema mwenzako kwamba taarifa zake labda amezitoa msikitini! Cha ajabu tukipitia thread yako imekaa kaa kama a US Govt handout kwako the World is America!!
 
Mkuu vipi? Hivi hujui kwamba ndege zinazohundwa na Ushirika wa Mataifa ya Ulaya i.e Airbus ziko technically advanced kuliko ndege za Boeing save Dreamliner!! Si hilo tu hata linapokuja saula la mauzo ya idadi ya ndege za abiria Airbus na Boeing mauzo yana run almost neck to neck - actually kuna miaka fulani Airbus ilifanikiwa kuhuza ndege nyingi Duniani kuliko Boeing.

Kitu kingine sio kweli kusema ndege zote za Boeing zinawekewa mitambo ya kunjikinga dhidi ya makombola - ni ndege za Marais ndio zinakuwa retrofitted na mitambo hiyo kwa kuombwa na Serikali husika, ni Israel tu ambayo ndege zake zote za abiria zimewekewa mitambo hiyo.
Quote yako ingekuwa inamuelezea huyo niliyekuwa namjibu angeelewa vizuri ila umeniquote mimi... So nadhani hutegemei nijibu ili iwe ligi... but kwa Ubora nadhani kinaeleweka nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi.... Maana Hata China ilisemwa itaipiku MArekani kiuchumi mwishowe tunasikia Uchumi wa China umeporomoka... so let it be we don't fight hadi tuone the last man Stand... Tech ikishakubalika Dunia haiwezi achwa kwa kuepusha Madhara ndio Maana ule Msemo wa kama ukiona elimu ni ghali basi jjaribu ujinga...

Boeing ndio Ndege atakazotengeneza lazima ziwe na kila kitu... na zile za zamani hupelekwa America au wanatuma maexpart wanakuja kufunga... Kitu kimoja ukiwa Mteja wa Boeing anakuhudumia hadi siku utakaposema PO... ndio maana Iran anawahitaji wamarekani zaidi ya unavyofikiria.. wana ndege kama Mia zipo on ground na bado wanahitaji zipae... Walishaiba sana spare kisirisiri lakini kwa hali ya sasa unahijati new tech kuwa safe zaidi.
 
Jana Raisi wao amesaini mkataba wa $18billion dollar na Italy kuwekeza kwenye natural resources ndani ya Iran to start within a year already this people are thinking external inflow of capital, kabla ya kuelekea kwenda kununua hizo ndege, talk of diversifying the economy washapima mafuta sio kipaumbele pekee kwa hali ya sasa.

Alikadhalika nchi yenye shoreline zaidi ya km 1000 ambapo kuna kila aina ya sea wonders ambazo duniani ni adimu yes apparently Tanzania sio mbuga tu baharini pia kuna vimbwanga vingi sana ambavyo adimu kuonekana duniani kwingine, natural wonders za kila aina area around olduvai george apparently ndio epicentre ya crack ya afrika iliyopo mpaka huko juu inakoonekana na kama kuna mwisho wa dunia basi utaanzia hapo, source of the nile, and several selling point za tourism tunashindwa na chi kama Kenya ambao ata mlima tu inabidi watumie tricks nyingi na nguvu sana kuuza kama wao.

Sisi ndio kwanza tunagombana na sera za kilomita zisizozidi ishini kutoka feli hadi mbezi beach as if its the entire coastline.
 
Quote yako ingekuwa inamuelezea huyo niliyekuwa namjibu angeelewa vizuri ila umeniquote mimi... So nadhani hutegemei nijibu ili iwe ligi... but kwa Ubora nadhani kinaeleweka nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi.... Maana Hata China ilisemwa itaipiku MArekani kiuchumi mwishowe tunasikia Uchumi wa China umeporomoka... so let it be we don't fight hadi tuone the last man Stand... Tech ikishakubalika Dunia haiwezi achwa kwa kuepusha Madhara ndio Maana ule Msemo wa kama ukiona elimu ni ghali basi jjaribu ujinga...

Boeing ndio Ndege atakazotengeneza lazima ziwe na kila kitu... na zile za zamani hupelekwa America au wanatuma maexpart wanakuja kufunga... Kitu kimoja ukiwa Mteja wa Boeing anakuhudumia hadi siku utakaposema PO... ndio maana Iran anawahitaji wamarekani zaidi ya unavyofikiria.. wana ndege kama Mia zipo on ground na bado wanahitaji zipae... Walishaiba sana spare kisirisiri lakini kwa hali ya sasa unahijati new tech kuwa safe zaidi.
Mkuu ungejua kwamba engine zinazo tumika kwenye ndege za Boeing nyingi zinahundwa Uingereza (RollsRoyce) - sio kwamba Merikani hawana gas turbine engines wanazo eg General Electric na Pratt and Whitney tatizo hazina ubora wa kuzipiku Engine za Waingereza na Wafaransa, ukizungumzia masuala ya Airframe ntakuelewa lakini sio upande wa engines na avionics.

Hapa naona unawesema sema wa Iran, we unafikiri ndege zilizo nunuliwa Merikani kwenye miaka ya late 60 na early 1970 wakati wa utawala wa Shah zingukuwa katika hali gani, bila ya ubunifu wa Wairan ndege hizo zingekuwa grounded lakini Phantom zinaruka mpaka leo - just imagine! Dunia nzima inajua umahili wa wanasayansi wa Iran kama ulimsikiliza Obama juzi juzi aligusia umahili wana sayansi wa Iran,tatizo sisi watu baki tunabaki kuwa brainwashed na propaganda za MSM zinazo beza beza mataifa mengine.
 
Mkuu ungejua kwamba engine zinazo tumika kwenye ndege za Boeing nyingi zinahundwa Uingereza (RollsRoyce) - sio kwamba Merikani hawana gas turbine engines wanazo eg General Electric na Platt and Whitney tatizo hazina ubora wa kuzipiku Engine za Waingereza na Wafaransa, ukizungumzia masuala ya Airframe ntakuelewa lakini sio upande wa engines na avionics.

Hapa naona unawesema sema wa Iran, we unafikiri ndege zilizo nunuliwa Merikani kwenye miaka ya late 60 na early 1970 wakati wa utawala wa Shah zingukuwa katika hali gani, bila ya ubunifu wa Wairan ndege hizo zingekuwa grounded lakini Phantom zinaruka mpaka leo - just imagine! Dunia nzima inajua umahili wa wanasayansi wa Iran kama ulimsikiliza Obama juzi juzi aligusia umahili wana sayansi wa Iran,tatizo sisi watu baki tunabaki kuwa brainwashed na propaganda za MSM zinazo beza beza mataifa mengine.
Naona sasa unaleta Uzushi zaidi ya Fact... Hujanisoma nilipoandika Wairan ni Wezi tu hakuna umahili wala nini ndio maana walishangilia sana kuondolewa Vikwazo kwani almost kila kitu nchini kwao ni wanaagiza nje na kuweka lebo zao... na katika Machine nyingi nifrom German Siemens company Engine nyingi sana za ndege wameiba na kuzipitisha kisanii hadi ndani mwao.... Spear za kila aina zilikuwa zinapitishwa kimagendo na mbona kesi nyingi sana na watu wamefungwa kwa kufanya biashara na Iran haswa vifaa vya sayansi... Niambie nini Iran katengeneza nikuchambulie... Sayansi karibu zote ni za Western Iran na Kora Kaskazini wana pay vizuri ndio maana Wsariti ni wengi waliweza kufanya biasha na Iran.. Weka chochote ukijuacho kimefanywa na Iran tuchambue na sio kukaa na kutizama TV kumsikiliza Obama ndio Umuamini mimi hutaki kuniamini eenh!

Spare Parts za hizo ndege zimepitishwa kimagendo ndio maana zinapaa lakini sio safe anymore ni ubishi ubishi tu... subiri wanunue kisha mtauziwa nchi msio na ndege na wairan...

Engine za ndege za Boeing huchagua kutokana na aina ya design ya Ndege huwezi sema Engine za General electric ni nyanya huku Iran akizimezea Mate
 
Record za Iran na vidhibiti huwa haaminiki na ni Mfadhili mkuu wa Ugaidi na elewa Mashia huwa ni watu wa Visasi wapo kama Wameru vile.. Mfano Nassar na Lem Arusha huko....

Iran ana makombora anawapa vikundi vya kigaidi je akiwa na nuclear si balaa hilo na Magaidi hawachagui sehemu iwe na mtoto au wazee uwe umefanya kosa au la ndio maana nchi zote jirani na za mbali zinapinga... pia ile kauli au kauli zake za kusema ataifuta kwenye ramani nchi ya Israel imechangia sana.. Ki ujumla Iran si Sawa kuwa na Silaha hizo..

Nchi kama Marekani Russia Israel na nchi kadhaa zimeweza kuwa nazo hizo kisiri na mwishowe ikawa too late kuzizuia ndio maana waliadhimia kutengeneza vifaa vya kuditect mapema kufahamu mtu anayetengeneza ili wamuwahi mapema... Hiyo mitambo unatakiwa uwe na pesa sana kuyatunza na pia kama unataka kuwa nayo basi yawe wazi kwenye uangalizi wa kimataifa ili yasije kuleta madhara kwa ulimwengu... na kiongozi wa Iran anamatatizo kichwani...

Sawa mkuu nimekuelewa ila hebu tuangalia kwa mtizamo tofauti kuhusu hili suala la ugaidi.kila mwenye akili timamu anauchukia ugaidi.hebu angalia hii situation,anatokea gaidi mmoja kwa mfano,aidha ana silaha au kajivika mabomu,anajiteketeza na kuua watu kadhaa,let say 30,tunasikitika na kulaani kwa nguvu zote.wakati huo huo anakuja rubani mmoja,akipita angani na ndege ya kivita,hatumuoni sura yake wala hajiteketezi,anaangusha chini kama mabomu mia hivi na kuteketeza kama watu mia mbili hivi,bila kujali ni watoto,no shule,ni hispitali ni wodi ya akinamama wajawazito wako leba etc.huyo siyo gaidi.na anafaa kuwa na silaha za nyuklia.

Nadhani umenisoma mkuu
 
Acha Ujinga Boeing Haikwepeki... fuatilieni habari vizuri msiwe na akili kama za kunguru akisikia sauti tu anakimbia... Iran ndege anazotaka nyingi ni aina ya Boeing deal bado hajakubaliwa tayari ndio kaanza na hizo kwa shingo upande tu lakini Boeing ndio ndege zake Safe na ndio zilizompa rank ya kuwa na Ndege Salama kabla ya Ban... Iran wanamuamini Mmarekani tu kwa Vifaa na ndio anamuiga sana kasomesha watu wake marekani
We ndo uache Ujinga Boeng wamekosa deal hilo Airbus is as good as Boeng and a serious competitor in aviation business!
 
Record za Iran na vidhibiti huwa haaminiki na ni Mfadhili mkuu wa Ugaidi na elewa Mashia huwa ni watu wa Visasi wapo kama Wameru vile.. Mfano Nassar na Lem Arusha huko....

Iran ana makombora anawapa vikundi vya kigaidi je akiwa na nuclear si balaa hilo na Magaidi hawachagui sehemu iwe na mtoto au wazee uwe umefanya kosa au la ndio maana nchi zote jirani na za mbali zinapinga... pia ile kauli au kauli zake za kusema ataifuta kwenye ramani nchi ya Israel imechangia sana.. Ki ujumla Iran si Sawa kuwa na Silaha hizo..

Nchi kama Marekani Russia Israel na nchi kadhaa zimeweza kuwa nazo hizo kisiri na mwishowe ikawa too late kuzizuia ndio maana waliadhimia kutengeneza vifaa vya kuditect mapema kufahamu mtu anayetengeneza ili wamuwahi mapema... Hiyo mitambo unatakiwa uwe na pesa sana kuyatunza na pia kama unataka kuwa nayo basi yawe wazi kwenye uangalizi wa kimataifa ili yasije kuleta madhara kwa ulimwengu... na kiongozi wa Iran anamatatizo kichwani...
Iran hadi sasa yahisiwa tu itatumia vibaya silaha za nyuklia,Marekani si hisia tu imezitumia kwenye WWII kule Hiroshima na Nagasaki,na hadi Leo vizazi vyao vinazaliwa na athari ya sumu ,kwa mini Marekani isinyang'anywe silaha hizo?Dunia ni unafiki mtupu
 
Naona sasa unaleta Uzushi zaidi ya Fact... Hujanisoma nilipoandika Wairan ni Wezi tu hakuna umahili wala nini ndio maana walishangilia sana kuondolewa Vikwazo kwani almost kila kitu nchini kwao ni wanaagiza nje na kuweka lebo zao... na katika Machine nyingi nifrom German Siemens company Engine nyingi sana za ndege wameiba na kuzipitisha kisanii hadi ndani mwao.... Spear za kila aina zilikuwa zinapitishwa kimagendo na mbona kesi nyingi sana na watu wamefungwa kwa kufanya biashara na Iran haswa vifaa vya sayansi... Niambie nini Iran katengeneza nikuchambulie... Sayansi karibu zote ni za Western Iran na Kora Kaskazini wana pay vizuri ndio maana Wsariti ni wengi waliweza kufanya biasha na Iran.. Weka chochote ukijuacho kimefanywa na Iran tuchambue na sio kukaa na kutizama TV kumsikiliza Obama ndio Umuamini mimi hutaki kuniamini eenh!

Spare Parts za hizo ndege zimepitishwa kimagendo ndio maana zinapaa lakini sio safe anymore ni ubishi ubishi tu... subiri wanunue kisha mtauziwa nchi msio na ndege nawairan...

Engine za ndege za Boeing huchagua kutokana na aina ya design ya Ndege huwezi sema Engine za General electric ni nyanya huku Iran akizimezea Mate
Tatizo lako unajivuna sana Eti "huchagua kutokana na design"!!!
Iran hadi sasa yahisiwa tu itatumia vibaya silaha za nyuklia,Marekani si hisia tu imezitumia kwenye WWII kule Hiroshima na Nagasaki,na hadi Leo vizazi vyao vinazaliwa na athari ya sumu ,kwa mini Marekani isinyang'anywe silaha hizo?Dunia ni unafiki mtupu
Mkuu unafikiri ni Japan tu, hata vita ya ghuba Merikani ilitumia sana mabom ya depleted Uranium kumshambulia Bunkers na fortfied structuresIraq g
 
Back
Top Bottom