kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,087
- 450
hakuna wakuzungwa hapa. Tayari nchi yetu imengia kwenye mgogoro wa kimya kimya na baraza la usalama wa mataifa(UN), pamoja na marekani na washirika wake," kuwa Tanzania inasajili meli za mafuta za Iran kusaidia ziuze mafuta duniani bila kutambulika, wakati ina Irani inatambulika kuwa na vikwazo vya kimataifa.Ni kichekesho kuona serikali inayotegemea bajeti yake ya maendeleo kupata misaada; huku inakorofisha jumuiya ya kimataifa , kwa msaada wa madaktari.au ndo kuuza uranium, ili tupate fedha ya madaktari.Itakuwa wendawazimu mno.Serikali yetu haina kiongozi bali yupo dhaifu sana, masuala ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi ina hitaji sera ya ulinganisho tusiwe kisiwa, kwa kutengwathe iran government will want something in return,believe me..!