Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,130
they are coming to pay in return for the 'tanker's re flagging saga'
You said it ... and this is totally shameful!!! ... We have compromised our Independence!!
they are coming to pay in return for the 'tanker's re flagging saga'
umeanza vizuri lakini mwisho umeharibu kwa kushindwa kuficha chuki yako kwa kanisa...utamaduni wa kuharibu wanawake/wanaume kinyume na maumbile unajulikana unafanyika sana wapi na akina nani hapa tz...ukitaka kujua zaidi uliza mkunga yeyote kwenye hospitali zetu atakueleza ni wa akina mama/dada wa dini gani ndiyo wanaongoza kwa kuzaa kwa shidashida baada ya kufanyiwa sana hako ka mchezo ka nyuma...Some times hukaa nikaangalia maoni humu na kuangalia mawazo na akili za watu humu lakini nnachokiona ni ujinga mwingi na watu kujifanya kujua sana au kujiona kuwa na uchungu zaidi.Wengine wanaongea kiubaguzi zaidi na kudharau wengine.Ulalahoi wetu unatufanya kuropoka maneno mengine hayako katika ustaarabu.Nauhakika mtu mwenye elimu nzuri huwezi kuona anakoment maneno ya ajabu.Na ukitaka kujua mtu asie na elimu ni rahisi sana kwasababu hata historia au geographia haijui ila kwa kuja na confidence zaidi za mitaani.
By the way Iran au wairan sio waarabu na lugha yao tofauti na wala haifanani na kiarabu.Na kama ni kweli kwa sababu sisi walala hoi tunapenda kuzusha maneno,basi waje na vifaa ili wasaidie kuboresha hospitali zetu zilivo overcrowded na vingine vingi labda inaweza ikawa ni moja ya utatuzi wamambo ya afya.Lakini serikali tunaiomba tena tafadhali wamalize masuala haya na madocta wetu kwa haraka na wawarudishe kazini waje wasaidiane na hao wageni kuja kuboresha zaidi ili wananchi wafaidike.Kwani madocta wa Iran ni mahodari sana hata USA wapo wengi wanawatumia.Ni kutokujua tu au ushabiki zaidi kwasababu tumezoea kuona wazungu tu ndio wanasaidia Africa, maisha yanabadilika ndugu zangu kwani hata huko ulaya mbona wanao foreigners wengi wanaofanya kazi mahospitalini kwani mnadhani hawana akili?Wairan ni watu waliosoma sana na isitoshe wanafanya resarch za madawa hasa za Cancer ili ije isaidie dunia na kutokomeza magonjwa haya.Na kama kweli wanaharibu wanaume mbona makanisa ndio yanajulikana ulimwenguni kwa uchafu huu?Acheni mazungumzo baada ya habari.
Maskini vijana wetu wa kiume si watamalizwa kweli?
Kuna tetesi kuwa nchi ya Iran imejitolea kuleta madaktari 1000 kukabiliana na mgomo wa daktari nchini. Madaktari hao hawatalipwa posho wala mishahara mpaka madaktari wa tz watakapositisha mgomo. Kama kuna mtu ana habari zaidi atujuze
Some times hukaa nikaangalia maoni humu na kuangalia mawazo na akili za watu humu lakini nnachokiona ni ujinga mwingi na watu kujifanya kujua sana au kujiona kuwa na uchungu zaidi.Wengine wanaongea kiubaguzi zaidi na kudharau wengine.Ulalahoi wetu unatufanya kuropoka maneno mengine hayako katika ustaarabu.Nauhakika mtu mwenye elimu nzuri huwezi kuona anakoment maneno ya ajabu.Na ukitaka kujua mtu asie na elimu ni rahisi sana kwasababu hata historia au geographia haijui ila kwa kuja na confidence zaidi za mitaani.
By the way Iran au wairan sio waarabu na lugha yao tofauti na wala haifanani na kiarabu.Na kama ni kweli kwa sababu sisi walala hoi tunapenda kuzusha maneno,basi waje na vifaa ili wasaidie kuboresha hospitali zetu zilivo overcrowded na vingine vingi labda inaweza ikawa ni moja ya utatuzi wamambo ya afya.Lakini serikali tunaiomba tena tafadhali wamalize masuala haya na madocta wetu kwa haraka na wawarudishe kazini waje wasaidiane na hao wageni kuja kuboresha zaidi ili wananchi wafaidike.Kwani madocta wa Iran ni mahodari sana hata USA wapo wengi wanawatumia.Ni kutokujua tu au ushabiki zaidi kwasababu tumezoea kuona wazungu tu ndio wanasaidia Africa, maisha yanabadilika ndugu zangu kwani hata huko ulaya mbona wanao foreigners wengi wanaofanya kazi mahospitalini kwani mnadhani hawana akili?Wairan ni watu waliosoma sana na isitoshe wanafanya resarch za madawa hasa za Cancer ili ije isaidie dunia na kutokomeza magonjwa haya.Na kama kweli wanaharibu wanaume mbona makanisa ndio yanajulikana ulimwenguni kwa uchafu huu?Acheni mazungumzo baada ya habari.
the iran government will want something in return,believe me..!
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe kwa kupendana, kukaa meza moja na kuacha porojo na kushabikia watu wa mataifa mengine. Ukiona nchi imeendelea au ukiona watu wamesoma na kuelimika ni kwa sababu viongozi wao waliamua kukaa pamoja na watu wanaowaongoza wakajadiliana na kupeana mikakati ya namna ya kutatua matatizo yao. Hili la kushabikia nchi au watu kuja (awe mzungu, mwarabu au muasia) kufanya kazi halina ubishi ni kwa sababu ya interests za viongozi wetu na si kwa maslahi ya nchi.Some times hukaa nikaangalia maoni humu na kuangalia mawazo na akili za watu humu lakini nnachokiona ni ujinga mwingi na watu kujifanya kujua sana au kujiona kuwa na uchungu zaidi.Wengine wanaongea kiubaguzi zaidi na kudharau wengine.Ulalahoi wetu unatufanya kuropoka maneno mengine hayako katika ustaarabu.Nauhakika mtu mwenye elimu nzuri huwezi kuona anakoment maneno ya ajabu.Na ukitaka kujua mtu asie na elimu ni rahisi sana kwasababu hata historia au geographia haijui ila kwa kuja na confidence zaidi za mitaani.
By the way Iran au wairan sio waarabu na lugha yao tofauti na wala haifanani na kiarabu.Na kama ni kweli kwa sababu sisi walala hoi tunapenda kuzusha maneno,basi waje na vifaa ili wasaidie kuboresha hospitali zetu zilivo overcrowded na vingine vingi labda inaweza ikawa ni moja ya utatuzi wamambo ya afya.Lakini serikali tunaiomba tena tafadhali wamalize masuala haya na madocta wetu kwa haraka na wawarudishe kazini waje wasaidiane na hao wageni kuja kuboresha zaidi ili wananchi wafaidike.Kwani madocta wa Iran ni mahodari sana hata USA wapo wengi wanawatumia.Ni kutokujua tu au ushabiki zaidi kwasababu tumezoea kuona wazungu tu ndio wanasaidia Africa, maisha yanabadilika ndugu zangu kwani hata huko ulaya mbona wanao foreigners wengi wanaofanya kazi mahospitalini kwani mnadhani hawana akili?Wairan ni watu waliosoma sana na isitoshe wanafanya resarch za madawa hasa za Cancer ili ije isaidie dunia na kutokomeza magonjwa haya.Na kama kweli wanaharibu wanaume mbona makanisa ndio yanajulikana ulimwenguni kwa uchafu huu?Acheni mazungumzo baada ya habari.
Hatuna Serikali,full STOP,ni GENGE la watu wasiojua maana ya dhamana waliyopewa! Shame on em!