Iran imekwisha!

Bado riwaya, ee? na unapendelea kutembea gizani badala ya kuleta majina namba??

basi:
1. Majina ya watu waliochochea vita dhidi ya Iraq: Bush, Cheney, Powell, Blair. Nani Myahudi??
2) Wayahudi wengi wa MArekani walipinga vita ya Iraq kuliko Wamarekani wengine .
chanzo: Jews Against the War
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mkuu huja fuatilia kwa karibu road to war ya Iraq. Wahusika wakuu walio-chochea vita walikuwa NEO-CONS,Wanajiita wazee wa Project for the New American Century . Hawa wapo akina
  1. SCOOTER LIBBY-Chief of Staff to the Vice President of the United States
  2. PAUL DUNDES WOLFOWITZ- Deputy Secretary of Defense
  3. RICHARD PERLE-Assistant Secretary of Defense for Global Strategic Affairs
  4. DOUGLAS FEITH-The Under Secretary of Defense for Policy,Head of Department of Defense (DOD)

hawa wote ni wayahudi na wanajulikana kama second generation of holocaust wakisaidiwa na CHENEY and DON RUMSFIELD. walianzisha kitu kinachoitwa WOLFOWITZ DOCTRINE. Hii ilikua blue print iliyotengenezwa mara baada ya the first Gulf war. Nailifanyiwa study nyingi sana na kuja kutumika one decade after gulf war.Kwa habari zaidi tafuta

  • BUSH'S WAR DOCUMENTARY PART (1-2)-PBS, by Michael Kirk
  • RUMSFIELDS WAR DOCUMENTARY, by Michael Kirk
  • YEAR LOST IN IRAQ-PBS
  • INVASION OF IRAQ-PBS
  • NO PLAN, NO PEACE-BBC
 
Wengi mnaongea history au msichokijua. Kwa ufupi tu, haya yote tunayoyaona asili yake ni vatican, ndo mpangaji mkuu akishirikiana na US na vibaraka wake. Someni Ufunuo 13.
 
Wengi mnaongea history au msichokijua. Kwa ufupi tu, haya yote tunayoyaona asili yake ni vatican, ndo mpangaji mkuu akishirikiana na US na vibaraka wake. Someni Ufunuo 13.
Safi na sante kwa kutuletea!!
Maana hili ni fundisho la kijinga cha kinyume.

la tatu ni: Asili ya maovu yoote ni fremasons

(ila tu: hili linagawanyika kati ya mikondo miwili: wengine wanaosema freemasons wako pamoja na Vatican, wengine wanaosema freemasons wako upande wa wayahudi)

Namsubiri anayekuja na kutueleza jinsi gani vatican ni wayahudi na v-v. Hapa ingekuwa safi!!!
 
mkuu huja fuatilia kwa karibu road to war ya Iraq. Wahusika wakuu walio-chochea vita walikuwa NEO-CONS,Wanajiita wazee wa Project for the New American Century . Hawa wapo akina
  1. SCOOTER LIBBY-Chief of Staff to the Vice President of the United States
  2. PAUL DUNDES WOLFOWITZ- Deputy Secretary of Defense
  3. RICHARD PERLE-Assistant Secretary of Defense for Global Strategic Affairs
  4. DOUGLAS FEITH-The Under Secretary of Defense for Policy,Head of Department of Defense (DOD)

hawa wote ni wayahudi na wanajulikana kama second generation of holocaust wakisaidiwa na CHENEY and DON RUMSFIELD. walianzisha kitu kinachoitwa WOLFOWITZ DOCTRINE. Hii ilikua blue print iliyotengenezwa mara baada ya the first Gulf war. Nailifanyiwa study nyingi sana na kuja kutumika one decade after gulf war.Kwa habari zaidi tafuta

  • BUSH'S WAR DOCUMENTARY PART (1-2)-PBS, by Michael Kirk
  • RUMSFIELDS WAR DOCUMENTARY, by Michael Kirk
  • YEAR LOST IN IRAQ-PBS
  • INVASION OF IRAQ-PBS
  • NO PLAN, NO PEACE-BBC

Kwanza umepata jina na uthebitisho kuwa idadi kubwa ya wayahudi wa Marekani walipinga vita ile. Haifai kwako kwa hiyo unakaa kimya??

Sasa unatafuta kati ya watumishi wengi wa serikali na unapata majina manne ambao ni Wayahudi. Halafu????? Waliowajibika kwa vita ni walewale niliyotaja. hakuna myahudi hata 1 kati yao.

Sasa unaweza kuendelea kulia hadi unapasuka lakini hali halisi kati ya hao waliopinga walikuwa wayahudi wengi na wale waliofanya azimio walikuwa viongozi ambao si wayahudi.
 
Safi na sante kwa kutuletea!!
Maana hili ni fundisho la kijinga cha kinyume.

la tatu ni: Asili ya maovu yoote ni fremasons

(ila tu: hili linagawanyika kati ya mikondo miwili: wengine wanaosema freemasons wako pamoja na Vatican, wengine wanaosema freemasons wako upande wa wayahudi)

Namsubiri anayekuja na kutueleza jinsi gani vatican ni wayahudi na v-v. Hapa ingekuwa safi!!!

naomba unfafanulie kuhus kuhusika kwa freeemasons katika hili,sabab navyojua mm kuna secret societies nyingi tu kama illuminati, satanic ambazo zina influence kubwa hapa duniani
 
naomba unfafanulie kuhus kuhusika kwa freeemasons katika hili,sabab navyojua mm kuna secret societies nyingi tu kama illuminati, satanic ambazo zina influence kubwa hapa duniani
Mpendwa hizi zote ni mifano ya fikra zinazoitwa conspiracy theories.
Kwa jumla hizi zote zinadai kuwepo kwa jamii za kisiri zinazojaribu kutawala dunia.
Na kwa jumla nadharia hizo zote ni fuja na ujinga - pamoja na nadharia yako kuhusu Wayahudi.

Zote hazilingani na dunia halisi bali na haja ya kisaikolojia ya aina fulani ya watu.
Zote zimeshachunguliwa na kuonekana si kweli.
zote zinarudi kwa madai mapya na kupata watu wanaoziamini kwa sababu wanataka kuamini.

Hivyo nadharia hizi zinacheza kwenye uwanja wa aina ya "imani" na hazifikiwi kirahisi na akili.

Mfano bora ni link uliyoleta kuhusu ile "Microsoft empire". Ni takataka tupu. Hakuna ukweli hata kidogo ya kwamba mamake alikuwa Myahudi.
(Mimi sioni ubaya wowote kuwa na mama myahudi lakini si kweli kuhusu Gates!)

Ni rahisi sana kuchungulia dai hili na kupata habari juu ya wazazi wake na mababu.
Ila tu watu kama wewe wanataka "kuamini" na hawachungulii.
Au ulijaribu kutumia dakika 1 tu kuchungulia kama dai hili ni kweli?

Sidhani. Badala yake unaendelea kufuata links za hao vichaa na kusoma uwongo mwinmgi na baadaye unakuja hapa kutangaza "Ninavyojua..."

Sidhani ya kwamba unajua kitu kuhusu mambo haya.
 
kipala dai langu kuhusu wayahudi lina mantiki zaid kuliko mafreemasons wako kwani katika kila conspiracy theory unaona kuna mtu ambae ana asili ya kiyahudi,ni sawasawa na kusema malaria haisababishwi na mbu aitwae anopheles wakati unaona kila ukingatwa anakupa hao bakteria.
kwako ww ni kama riwaya tu, sabab inaonekana huamin katika mipango ya mda mrefu na ndio fikra za waafrika wengi kwan wao wanafikiria mipango ya mda mfupimfupi wakat wenzetu wanapanga ya mda mrefu na kwa staili hiyo hatutaweza kuwashika kamwe na tutabaki kusema wenzetu wana akili sana
na hujajibu swali langu kuhus uwepo wa mafreemasons ,umeishia kuattack hoja zangu ambazo nilizitoa kabla ya swali.
think big and you shalll achieve big!
 
Mpendwa nilikuomba huko juu uchungulie "uyahudi" wa watu uliotaja kuwa wayahudi wa siri au watu wenye asili ya kiyahudi:
Gates, Rockefeller, Bush. Yote si kweli.
Lakini wewe unaleta tu madai ukiulizwa unaleta kopi-paste nyingine ambayo hujachungulia.

Nimekuonyesha huko juu ya kwamba link uliyoleta wewe kuhusu familia bush haina habari kuhusu wayahudi hata punje lakini wewe ulidai inasema vile.

Unasemaje? Unakubali kosa?
 
ukweli ni kwamba waisrael ndio wanashika dunia sasa kwan mataifa yote dunian yamewekwa chini ya mfumo ambao unaongozwa nao,World Bank,UN, IMF,zote hizo na mataifa kama US na mengine makubwa yameshikwa na wayahud ,matajir wakubwa dunian kama akina gates,Rockefeller na wengine wengi wana asili ya kiyahud ingawa wanaishi nje ya israel kwani si wayahudi wote walirud mwaka1948 ilipoanzishwa tena taifa la Israel ndani ya Palestina
Eboo, sijaelewa vizuri. Ina maana Israel ilianzishwa ndani ya taifa la Palestina 1948? Ni kwa nini basi haikuanzishwa ndani ya taifa lingine like Rusia?
 
mtazunguka sana, mtarudi palepale.
Mipango yoote ishapangwa ndani ya Vatican, mnachoongea ni jinsi ya kuimplement mipango hiyo! Freemason, illuminati, jesuits n.k ni vikundi kazi tu na kila kimoja kina 'specific tasks'. na wote hao wamekula viapo 'oaths' Vatican!!
Kama una shaka majibu yoote yapo google!
 
Safi sana! Gooooli tena.
"Protocols of Zion" dhidi ya "illuminati wa Vatican" 2:2!

Ni mashindano ya nadharia mbili za fujo zisizo na ukweli ndani yao - lakini nani atafunga goli ifuatayo??
 
sioni sabab ya kukuletea ushahid ,sabab hakuna taarifa hata moja ulioyoikubal ,nimekupa link za bill gates na rockefeller umezikataa unasema kopi na kupaste sasa ulitaka nikuletee ushahid kwa njia gani ,au ulitaka birth certificate na kuonyesha ww ni mbishi na wala hutak kujua chochote umeletewa info na watu wengine wengi kama akina africa springs kuhus akina cheney walivyohusika nazo umeona kama riwaya tu kwenye hadithi za kufikirika.kama huwez kuchange attitude hiyo sion sabab ya kuendeleza mazungumzo haya kwan nimekuuliza swali moja tu hujaleta ushahid wowote kama mimi nilivyoleta ingawa umeukataa bali unakimbilia kwenye kupinga evidence zangu tu.swali lipo palepale nipe uhusiano wa freemasons kwenye hili suala?
 
Inasikitisha kuona kwamba mbinu za 'watawala dunia' siku zote hufanikiwa. Kwa kweli Iran itakaposalimu amri kutakuwa hakuna tena hope ya kuweza kupambana na mfumo wa dunia 'world order' ulioko hivi sasa, kwani ni Iran pekee iliyokuwa 'haiogopi' kuupa shinikizo mfumo huo, kwa maneno na vitendo.
Wakati vuta -nikuvute baina ya Iran na mataifa ya magharibi na vibaraka wao (Waarabu) inaendelea, siku zote nilifikiria kuwa safari hii dola linalopingana na hawa litashinda. Lakini matukio yanayoendelea hivi sasa Iran, yaliyosababishwa na vikwazo ambavyo havijawahi kuwekewa taifa lolote duniani, hata former Soviet Union, yananifanya nikate tamaa. Labda tuangalie kitu gani kimepelekea kwenye hali hii ambayo sioni kuwa Iran itaibuka mshindi.
Binafsi naona kosa kubwa limesababishwa na mgando 'rigidity' ya uongozi wa Iran baada ya kuja Ahmedinedjad. Pamoja na mambo mengi mazuri aliyoyafanya, Ahmedinedjad amekuwa 'dogmatic' sana badala ya kuwa 'practical' kama rais aliyetangulia. Suala la nguvu za nuklia, ambalo kwa kweli naamini Iran haina haja hivi sasa ya kutengeneza silaha, lilipaswa kuendeshwa kwa ujanja mkubwa na mitego ya kisiasa, badala ya kuvumburuka na kuweweseka kila siku, mara kwa kukanusha Holocaust mara nyingine kwa kuitishia Israel. Ukweli ni kuwa nchi za Magharibi na hasa Marekani ni makoloni ya Israel na hayana hiari isipokuwa kufanya kile Israel inachotaka. Mtu anayetaka kujua undani kwa nini Israel ina nguvu hizi na asome historia ya mapinduzi ya Bolshevik. Kuna video nyingi kwenye utube pia zinazoelezea vizuri.
Yaelekea Ahmedinedjad na Khamenai hawajui vizuri jinsi gani mtandao wa wanaojiita Wayahudi ni mkubwa kiasi gani na ulioanza zaidi ya miaka 150 iliyopita kusuka mambo tunayoyaona hii leo. Ili kuushinda ilibidi waufahamu vizuri na kwenda nao kijanja. Mapambano dhidi ya mtandao huo, Uzayuni, yatachukua kwa uchache miaka 50 (Uzayuni ni mkuba kuliko Israel. Israel ni sehemu tu ya mpango mzima wa Uzayuni).
Si rahisi kuwalaumu viongozi wa Iran pekee, kwani mambo haya ni 'too complicated' kiasi kwamba wengi hapa hamtafahamu ninazungumzia nini! Mapambano ya kujinasua kutoka utawala wa dunia wa hawa jamaa ni makubwa mno na yanahitajia nchi nyingi zishirikiane. Nchi moja pekee haiwezi.
Ila kitu cha kulaumu ni kuwa Ahmedinedjad na Khamenai wanaona mapambano haya yatakwisha katika miaka michache tu na katika kipindi cha utawala wao! Hilo ndio kosa kuu walilofanya.

Haya niyaandikayo hayana uhusiano wowote na dini. Kama utadhani hivyo basi yaelekea hufahamu nazungumzia nini. Mfumo wa sasa wa dunia kwa kweli unaongozwa na watu wanaopinga dini-dini yeyote- infact, wengi huwaita 'Satanists' kwamba wanaabudu mashetani. Isipokuwa mara kwa mara wanatumia dini kuu:Uislamu,Ukristo,Uyahudi, Hindu nk kuendeleza mipango yao.

Very good starting point, ni kwamba tunalo tatizo ulimwenguni? Na kama hakuna tatizo basi haina haja ya kuendelea kwa maana kama ulivyosema hapo juu, watu watakuwa hawafahamu nini kinazungumzwa.

Na nini ufumbuzi wake?

1. Je ufumbuzi huu upo hapa hapa ulimwenguni au inabidi tuulete kutoka sayari nyengine? Mimi naamini upo hapahapa ulimwenguni, na wala hatuhitaji kuutoa kutoka sayari nyengine ya dunia.

2. Je nani anaujua ulipo ufumbuzi huo? Mimi naona kuuona ufumbuzi huo inawezekana kuwa rahisi au kuwa ni vigumu saaana kutegemeana na state of mind ya mtu au watu(yaani ni free thinking mind au ni mind iliyokuwa tayari imeshakuwa-contaminated na hao Mazayuni kwa njia mbali mbali). Maana kumbuka kwamba nao hawapati usingizi katika kuhakikisha kwamba watu hawaigundui hiyo hazina ambayo kiukweli hata wao wanaijuwa fika ilipo ni wapi.

3. Ni nini quality za ufumbuzi huo? Bila ya shaka ni lazima iwe alternative system of life (every aspect of huma life: individual, social, economic, national, global, etc, most importantly in the engine room of human life-spiritual)maana hatuwezi kutegemea kuondosha "system moja dhalimu" na ku-replace with "nothing or no system", can we?. Ama kutambua quality za system hiyo ni lazima mtu au watu a/w/afanye uchambuzi wa kina katika critical appraisal (analysis) ya alternative systems ambazo either tulizonazo hapa tayari ulimwenguni au kuzitoa kutoka sayari nyengine, maana watu (hao Wazayuni na makoloni yao)wana vituko vingi, kama ilivyo kawaida yao wao wao kujifanya kuwa wanaleta ufumbuzi, wanaweza wao wao kuleta mifumo (systems)na kudai kwamba inatoka Mars au Venus, etc, na bado still kuna watu hata humu jamvini, wataamini na kuisifia, maana akili zao tayari zimeshavurugwa na hao Wazayuni na makoloni yao. Hivyo pointi namba 2 hapo juu ni muhimu saana, FREE THINKING, UNBIASED, RATIONAL, REASONABLE STATE OF MIND.

4. Je, in urefu gani safari hii?
All the best to everyone, na zichambuliwe systems (mifumo) mbali mbali na category mbali mbali za mifumo hiyo. Kwa kuwa lengo letu ni ufumbuzi, basi sio vizuri na ni kujitia upofu na ufinyu wa fikra kama zitawekwa restrictions za mifumo, iwe ya kidini, iwe ya kidunia, ni kuchambua na kuendelea kuchambua, na silaha yetu kubwa na tegemezi iwe poit namba 2 above, FREE THINKING, UNBIASED, RATIONAL, REASONABLE STATE OF MIND au INTELLECT

Nafikiri itakuwa busara kulinganisha systems (mifumo) kinamna hii: mmoja wa kidini na mwengine wa kidunia, halafu wakidini na wakidini, halafu wakidunia na kidunia au mtiririko wowote katika hiyo. Na tuchukulie kwamba mfumo uliyojificha wa Zionism ndio huu tulionao ambao ni tatizo. Hivyo nini alternative kati ya mifumo hii na category ambayo tunatafuta uokozi kutoka systems hizo kwao ni mfumo wa kiuchumi. kwa Mfano:
1. Wa kidini ni Christianity na wa kidunia ni Communism
2. Second iwe wa kidini ni Budhism na kidunia ni Perestroika.
3.Tatu iwe wa kidini ni Hinduism na wa kidunia Ujamaa na kujitegemea.
4. Nne iwe wa kidini ni Islam na kidunia ni Capitalism.

N tuanze, pengine Mungu akitujaaliwa tutagundua system yenye kutufaa humo, na tukikosa tena tutasubiri hiyo tutakayoletewa kutoka Mars au Jupiter.
 
[/B]Eboo, sijaelewa vizuri. Ina maana Israel ilianzishwa ndani ya taifa la Palestina 1948? Ni kwa nini basi haikuanzishwa ndani ya taifa lingine like Rusia?

eneo la palestina ni eneo ambalo wana historia nalo ndefu sana kuanzia makaburi ya akina abrahamu,mahekalu ya dini ya kiyahudi,mahekalu ya mfalme solomoni na maeneo mbalimbali ya kumbukumbu.sababu nyingine ni kutokubalika kwao katika maeneo mengine ya dunia,3.wasingeweza kwenda kuweka kambi urusi wala usa kwan huko tayar kulikua kuna wayahudi walioshika madaraka ila wenye itakid tofauti,mf urusi na ukomunisti ,marekani na macapitalist kumbuka woldbank na imf.walioenda kukaa israel ni wenye msimamo wa zionism.kuna sabab nyingi tu zingine kama strategic position nzuri katikati ya waislamu for check and balance of power etc
 
mtazunguka sana, mtarudi palepale.
Mipango yoote ishapangwa ndani ya Vatican, mnachoongea ni jinsi ya kuimplement mipango hiyo! Freemason, illuminati, jesuits n.k ni vikundi kazi tu na kila kimoja kina 'specific tasks'. na wote hao wamekula viapo 'oaths' Vatican!!
Kama una shaka majibu yoote yapo google!

nadhani umegeuza juu chini soma ufuno13 vizuri utakuja kuelewa joka aliyempa uwezo mnyama ni wayahudi kwani ndio waliompa vatican madaraka ya kusimamia na ndio waliomwapisha mfalme constantino na si vice versa na hata alipojeruhiwa na kukaribia kupotea vatican illiishika imani ya wayahudi na ikasurvive na kila mtu anashangaa na kuamini ni vatican mwenye uwezo kumbe nyuma yao kuna zions
 
their ultimate purpose: kuwa na siku moja ya kuabudu (sunday law): nieleweke vizuri, hapa hawatakulazimisha kuhama dini yako bali siku (jumapili), siku moja rasmi ya kuuza na kununua (jumamosi), sarafu moja ya dunia (sio lazima utembee na hela mfukoni, (ndo maana ya atm cards, visa nk.) n.k n.k nk.... Someni "new world economic order" na "sunday law". Kila kitu kipo humo.. Asanteni.
 
nadhani umegeuza juu chini soma ufuno13 vizuri utakuja kuelewa joka aliyempa uwezo mnyama ni wayahudi kwani ndio waliompa vatican madaraka ya kusimamia na ndio waliomwapisha mfalme constantino na si vice versa na hata alipojeruhiwa na kukaribia kupotea vatican illiishika imani ya wayahudi na ikasurvive na kila mtu anashangaa na kuamini ni vatican mwenye uwezo kumbe nyuma yao kuna zions

unaelewa kinyume au unapotoshwa! Joka ni shetani na mnyama wa kwanza anayeongelewa ni Vatican, mnyama mwingine baada ya mnyama wa kwanza ni marekani! Soma zaidi! Au nitafute kwa msaada!
 
Back
Top Bottom