Kwa anayejua IQ za marais wetu tangu mwanzo kuanzia Nyerere atujuze hapa jamvini. Nafanya tafiti ili kubaini ikiwa tunavyofikiri kuhusu umuhimu wa IQ ni kweli una-reflect kwenye utendaji na ubunifu wa kazi.
Unaweza kuwapima mwenyewe kulingana na utendaji wao kuelekea malengo waliyokuwa wamejiwekea:
(1) Nyerere:
Lengo: Kujenga taifa kwa mfumo wa ujamaa na kujitegemea.
Utendaji: Aanzisha vijiji vya ujamaa, anzisha elimu ya kujitegemea, anzisha viwanda vya ndani vingi kuelekea lengo la kujitegemea.........
(2) Mwinyi:
Lengo: Kujenga taifa lenye kujali uwajibikaji (Accountability)
Utendaji: Kila kitu ni ruksa, hata kule kuvunja sheria ni ruksa mradi tu usishikwe............
(3) Mkapa:
Lengo: Kujenga taifa la uwazi na ukweli
Utendaji: Uza kila kitu cha umma kwa siri kali sana, anzisha biashara za kisirisiri ikulu, mambo yote yenye kugusa msalahi ya wanachi yaamuliwe kisirisiri na kutekelezwa kwa nguvu hasa pale ambapo maswahiba wa karibu wanafaidi, ...............................
(4) Kikwete
Lengo: Kujenga Taifa Lenye Ari Mpya na Nguvu Mpya, na kuahkikisha masiha bora kwa kila mtanzania.
Utendaji: Kutembea dunia nazima kujitambulisha, na kuacha nchi haina mwelekeo. Kuwaacha mafisadi wachukue nchi na kujifanyia watakavyo. Kugawa wananchi kwa msingi wa dini ili kubaki madarakani...............

Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu:
NYERERE : IQ ndogo kabisa kuliko wote. Aliingiza nchi katika matatizo ambayo yameigharimu na yataendelea kuigharimu nchi kwa muda mrefu, kutokana na IQ yake ndogo.
MKAPA: Baaada ya MWINYI kurekebisha kwa kiasi kikubwa matatizo aliyoyaacha Nyerere, huyu bwana alikuja kuharibu kila kitu, ikiwa ni pamoja na kufanya ufisadi wa hali ya juu, yeye na baadhi ya mawaziri wake, ambao umeleta hasara kubwa sana kwa Taifa letu.Sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na kuwa na IQ ndogo, ambayo haikumwezesha kumudu madaraka ya Urais
MWINYI: Kutokana na IQ yake kubwa, aliweza kufufua uchumi na kuleta mageuzi makubwa ya kuichumi, na kuwatoa wananchi katika janga la umasikini alilotuachia Myerere. Siwezi sahahu alivyotuondolea adha ya kununa sukari kwa kaya, kilo moja mara moja kwa mwezi, tena kwa foleni, na lazima uwe na kibali toka kwa mkuu wa wilaya au wa mkoa.nafahamu wengi wenu mlikuwa wadogo sana, au hamjazaliwa.
Mifano ya mageuzi aliyoleta ipo mingi sana, na yote hayo yaliwezekana kwa sababu ya IQ kubwa.
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
Nyerere 8
Mwinyi 6
Mkapa 7
Kikwete 2
Nadhani Akili yako na ufahamu wako ni kama kichuguu ambacho kimechimbwa mashimo kibao na mchwa.
nawewe akili yako imeliwa na virusi kiasi kwamba yote unayoyafikiria kuhusu maraisi wako ni mabaya tu.
Yaani hivyo virusi vimekula sehemu yako ya ubongo inayohusika na utumiaji wa busara katika kutafakari mambo.
Kama huamini nenda kawaone wataalamu wa magonjwa ya ubongo(nurosurgeons) wakufanyie kipimo cha ubongo, ni dhahiri utakuta makovu matupu.
Pole kichuguu, kama jina lako lilivyo
Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu
:..............
...............
...............
...............
...............
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
Unadhani Kikwete hafahamu kwamba unamkejeli? Tumfananishe Kikwete na Nyerere aliyebuni na kusimamia sera za ujamaa na kujitegemea ambapo watanzania walipata matibabu na elimu bure na kuna wakati rushwa ilienda likizo? Huyu kila kitu kimemshinda kuanzia mapambano dhidi ya Rushwa hadi umeme. Ukweli nikwamba kati yao hakuna hata mmoja wa kumfananisha na Nyerere.Japo siwezi kuzitaja IQ zao kwa Tarakimu, kama ningewapanga kulingana na IQ zao, basi ningefanya kama ifuatavyo, nikianzia mwenye Iq ndogo kabisa kwenda juu:
NYERERE : IQ ndogo kabisa kuliko wote. Aliingiza nchi katika matatizo ambayo yameigharimu na yataendelea kuigharimu nchi kwa muda mrefu, kutokana na IQ yake ndogo.
MKAPA: Baaada ya MWINYI kurekebisha kwa kiasi kikubwa matatizo aliyoyaacha Nyerere, huyu bwana alikuja kuharibu kila kitu, ikiwa ni pamoja na kufanya ufisadi wa hali ya juu, yeye na baadhi ya mawaziri wake, ambao umeleta hasara kubwa sana kwa Taifa letu.Sababu ya kufanya hivyo ni kutokana na kuwa na IQ ndogo, ambayo haikumwezesha kumudu madaraka ya Urais
MWINYI: Kutokana na IQ yake kubwa, aliweza kufufua uchumi na kuleta mageuzi makubwa ya kuichumi, na kuwatoa wananchi katika janga la umasikini alilotuachia Myerere. Siwezi sahahu alivyotuondolea adha ya kununa sukari kwa kaya, kilo moja mara moja kwa mwezi, tena kwa foleni, na lazima uwe na kibali toka kwa mkuu wa wilaya au wa mkoa.nafahamu wengi wenu mlikuwa wadogo sana, au hamjazaliwa.
Mifano ya mageuzi aliyoleta ipo mingi sana, na yote hayo yaliwezekana kwa sababu ya IQ kubwa.
KIKWETE.Aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya, yanaashiria kwamba IQ yake iko juu kuliko wote waliomtangulia.
Sina haja ya kutaja aliyoyafanya, kwa sababu hata huku kuwa ndani ya JF tukiwajadili maraisi wetu mawzo kwa uhuru kabisa bila kukamatwa na kuwekwa kizuizini, ni mfano tosha kwamba ameleta mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha.
Yaani wewe hadi leo hufahamu historia ya nchi yako? Nyerere wakati alipokabidhiwa nchi na mkoroni ilikuwa katika hali nzuri sana kiuchumi ukilinganisha na alivyokujakuiacha miaka 23 baadae.Kutokana na Akili zake finyu alidhani ujamaa ndo ungekuwa ufunmbuzi wa matatizo ya kiuchumi aliyoyasababisha mwenyewe.Kwa bahati mbaya sana hakuweza kuelewa kwamba tatizo alikuwa ni yeye na udikteta wake, na hii ilichangiwa na IQ ndogo aliyokuwa nayo.Unadhani Kikwete hafahamu kwamba unamkejeli? Tumfananishe Kikwete na Nyerere aliyebuni na kusimamia sera za ujamaa na kujitegemea ambapo watanzania walipata matibabu na elimu bure na kuna wakati rushwa ilienda likizo? Huyu kila kitu kimemshinda kuanzia mapambano dhidi ya Rushwa hadi umeme. Ukweli nikwamba kati yao hakuna hata mmoja wa kumfananisha na Nyerere.